Hapa sijaelewa kamanda unamaanisha nini. Watu kupigwa risasi na kuhama kwa watu connection iko wapi. Au umevurugwa kamanda.Upumbavu mtupu!! Na waende, furaha yao ni kuona watu wanapigwa risasi
Hapa sijaelewa kamanda unamaanisha nini. Watu kupigwa risasi na kuhama kwa watu connection iko wapi. Au umevurugwa kamanda.Upumbavu mtupu!! Na waende, furaha yao ni kuona watu wanapigwa risasi
Sio Abdallah Mtulia bali ni Abdallà MtoleaAbdallah Mtulia wa Temeke CUF muda wowote pia....na ndo mbunge pekee aliyebaki Dar kwa upande wa CUF mwenye Nguvu upande wa CUF Maalim
Anzia kwa Mh. Nyarandu ndiye alianzisha mchezo huu wa wabunge kujihuzuru! Itapendeza zaidi!!!Waarabu hua wana adhabu kali sana ya kukata kichwa kwa cowards and traitors nimeanza kuwaelewa why
Just imagine wananchi waliomchagua na kumpigania wanajisikiaje ?this kind of person is so selfish kuunga jitihada za fulani ndio uwasaliti wananchi?definition ya usaliti ni ipi kama sio hii???
We pumba nn wePombe!! Anataka acheze mwenyewe!! Kama ana ushawishi na asiwawekee vikwazo ukawa nao wafanye siasa!!
Unapigana ngumi na mtu uliemfunga mikono?!
Mjinga mkubwa sana wewe, unaongea hivyo ukiwa una maana gani?Ubongo ukitumika vyema japo kwa asilimia 5 tu ya uwezo wake, binadamu angekuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri. Hivi kweli, kuna mtu hapa Tanzania, awazaye, kwamba Magufuli anaweza akatumia fedha ya nchi ama kusababisha itumike, kisa tu Ccm na mavyama vyao?
Ukiongeza kufikiri kidogo tu, utayajua mengi sana. Jiulize, hivi nani ambaye, kwa wale wenye mawazo ya kununuana kwa wanasiasa kama wanavyo sajili timu za mipira,,,, ni ngazi ipi inayoratibu na kwa pesa zipi?
Halmashauri ndo itumie fedha zake kununua madiwani? Tena kwa mfano wa Arusha haiingii akilini kwa halmashauri ya Cdm kuwauza madiwani wake kwa Ccm. Au ni ofisi za ma DC ambazo hata hela za mafuta hazina na Oc hazitoshi?
Upinzani sio chama, ni dhamira, hata ikibaki CCM pekee bado upinzani utakuepo na huu sasa ni hatari zaidi maana unakua ni UASI na ndiyo hapo biashara ya silaha kutoka Russia itakapoanza.Kweli Magufuli ni Pombe, amepoteza upinzani TZ.
Mbona unajibu jumla jumla, jamaa amekuuliza swali gumu sana tupe kipimo sahihi, unakauja na hawana hoja za msingi? Ebu tuambie hoja za msingi nini nini? Acheni majibu mepesi kwenye maswali magumu.Nadhani kipimo sahihi ni kwa wapinzani kukosa hoja za msingi, wanakurupuka tu.
Huu mpango ni wa Lipumba na timu yake. Ndio wanaobagain wakishamaliza, wanakula chao kazi inaendelea.Naombeni kuuliza,wakisha hamia ccm,uchaguzi ukirudiwa CUF watasimamisha mgombea tena?
Kama watasimamisha,kulikuwa na haja gani ya cuf kuachia kiti?
Kweli UKAWA inauwa kwa gharama,haya bana.
Let make it simple brother Nyalandu ,Ntulia and co wamewasaliti wananchi wao ila hawa wa upinzani ndio zaidi kwa sababu umasikini wa Watanzania wamesababisha CCM tangu uhuru sasa ahadi gani ambazo Magufuli anatekeleza ?kama mikataba ya madini Dr slaa na wapinzani kama Zito wameimba sanaAnzia kwa Mh. Nyarandu ndiye alianzisha mchezo huu wa wabunge kujihuzuru! Itapendeza zaidi!!!
Hayo ni mawazo yako mgando ndugu yetu. Kutokwenda kupiga kura hakudaidii kitu, bali ndio kunaongeza matatizo na ndio hayo unayoyapata. Kura yako 1 inathamani mara 1000 na zaidi ya unavyofikilia.Ndio maana toka mwanzo mchezo wa kitoto kupiga kura huwa siuchezi na haitotokea kwenda kupigwa na jua eti kumchagua mgonbea wangu aniletee maendeleo..siasa za bongo UNAFKI MTUPU...
Wamelambishwa fedha kvpLet make it simple brother Nyalandu ,Ntulia and co wamewasaliti wananchi wao ila hawa wa upinzani ndio zaidi kwa sababu umasikini wa Watanzania wamesababisha CCM tangu uhuru sasa ahadi gani ambazo Magufuli anatekeleza ?kama mikataba ya madini Dr slaa na wapinzani kama Zito wameimba sana
Waulize hao waliohama kuna sababu ya msingi zaidi espec wanaohama upinzani wamelambishwa fedha ndio maana ya usaliti inapokuja
Temeke ???Abdallah Mtulia wa Temeke CUF muda wowote pia....na ndo mbunge pekee aliyebaki Dar kwa upande wa CUF mwenye Nguvu upande wa CUF Maalim
Nani ananunua na mimi nikanunuliwe?kapoteza upinzani kwa kununua watu kwenye vyombo vya habari? upinzani uko kwenye mioyo ya watu siyo kutangaza hadharani.