MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,966
Muda wowote kuanzia sasa, kuna uwezekano mkubwa wa Mbunge wa jimbo la Liwale(CUF)Mh ZUBERI KUCHAUKA kuhamia CCM kuunga mkono juhudi za Mh Rais kama wahamiaji wengine wanavyosema.
Jumapili njema kwenu nyote!!
=======
UPDATES; 13 AG 2018 1230hrs
Dkt. Bashiru Ali amempokea Zuberi Mohammed Kuchauka aliyekuwa Mbunge wa CUF Liwale
Anasema anarejea CCM imebadilika. CCM aliyoiacha mwaka 2005 sio hii ya leo. Hii CCM ya awamu ya tano nmekubali kwamba imerejea kwenye Misingi ya TANU. Misingi ya TANU imerejea, hivyo sikuona kigugumizi cha kurejea.
Habari zaidi, soma=>Mbunge wa jimbo la Liwale(CUF) Zuberi Kuchauka atangaza kujiuzulu na kuhamia CCM - JamiiForums