Bepari
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 904
- 329
Mbinu zipi chafu?Angeupoteza upinzani kwa hoja na utendaji bora ningemuelewa sio kwa hizi mbinu chafu zinazotumika.
Mbinu zipi chafu?Angeupoteza upinzani kwa hoja na utendaji bora ningemuelewa sio kwa hizi mbinu chafu zinazotumika.
Ccm hawakurupuki?Nadhani kipimo sahihi ni kwa wapinzani kukosa hoja za msingi, wanakurupuka tu.
Nassari kawakatalia wamepiga risasi 13..idiotsKweli Magufuli ni Pombe, amepoteza upinzani TZ.
Mtulia alisharudi kwa LipumbaAbdallah Mtulia wa Temeke CUF muda wowote pia....na ndo mbunge pekee aliyebaki Dar kwa upande wa CUF mwenye Nguvu upande wa CUF Maalim
Mm sijawai kuwaamini Cuf hata sikumoja .
Hujui unalolisema!! Furahia ushetani huu unaotuongoza kuzimu .We pumba nn we
Kwani huyo mbunge si anahama kwa hiari yake
Nyarandu alivyohama mbona ilikuwa fresh tu
Kisa katoka ukawa kwenda ccm
Wasese nn
kuunga mkono juhudi la kuwanunua yani awamu hii ufisadi kuliko wa jkMuda wowote kuanzia sasa, kuna uwezekano mkubwa wa Mbunge wa jimbo la Liwale(CUF)Mh ZUBERI KUCHAUKA kuhamia CCM kuunga mkono juhudi za Mh Rais kama wahamiaji wengine wanavyosema.
Jumapili njema kwenu nyote!!
We unaejua unajua nnHujui unalolisema!! Furahia ushetani huu unaotuongoza kuzimu .
Bado nasema hujui unalolitaka