huyo mbunge hamna kitu, kuna rafiki yangu alikuwa naye anasoma huko. kila kukicha anapigiwa simu na huyo mama akitaka asaidiwe kujibu essays/homeworks. hamna kitu!!!
Linahusiana vipi na thread husika?
Akili ni nywele ndugu yangu kila mtu ana zake, na kukosa akili za darasani, sio kwamba hana akili za maisha na sio kwamba hawezi kuongoza. And may be ni katika mambo ya Team work na sio kwamba anaomba majibu kama unavyosema wewe.
MAJUNGU HAYAJENGI NA HAYATUFIKISHI POPOTE!