Mbunge MARTHA MLATA

Status
Not open for further replies.
Huyu mama yuko UK sasa mwaka wa Pili anasoma pale Westminster. Lakini cha ajabu hatumuoni kwenye misiba wala magonjwa lakini anaonekana sana kwenye mikutano ya kufungua matawi ya CCM uingereza nzima.

Swali ninalojiuliza ni je anasoma saa ngapi na saa ngapi anakuwa yuko kwenye shughuli alizochaguliwa kufanya?

Maana Sumaye alipokuwa ansoma kule HARVARD huyu mama alikuwa haishiwi vijitripu vya kwenda kule Cambridge. Nimepata nafasi kadhaa kuongea naye kwa karibu lakini naweza kusema kuwa sijui alikuwa na sifa zipi mpaka JK akampa huo ubunge wa kuteuliwa

Uwanja wenu wana JF

Ukiteuliwa na Muadilifu utakuwa muadilifu, ukiteuliwa na fisadi utakuwa nawe fisadi, ukiteuliwa na Mtalii nawe utakuwa mtalii, nafikiri umenipata
 
SHy,
Mbunge Tom Mwangonda hajawai kuchangia hoja yoyote tangu achaguliwe, na bungeni haonekani...ni uchapaji kazi gani huo unaosema

Hahaha hivi kuchangia hoja ndio uchapaji wa kazi??? Kwa hiyo tunawapigia kura wabunge wakachangie hoja?!
 
Mimi nahisi hii ilikuwa mbinu ya GT kama kawaida yake kuleta SPIN ya kutaka kumchafua Sumaye through this gospel singer. Kama alikuwa anakwenda Cambridge Mass. so what? Inatusaidia nini kutatua matatizo yetu huku bongo?
 
Mwacheni huyu Mama, na watu acheni umbeya........shida alizopitia mpaka kufikia hapo alipo........anahitaji kupongezwa na kumpa moyo..........

Naamini kuna Ndugu za Dr. Lunyoro hapa JF..........mambo mliyomfanyia huyu Mama mkishirikiana na ndugu yenu Dr. Lunyoro hayapendezi kabisa.............
 
Huyu mama yuko UK sasa mwaka wa Pili anasoma pale Westminster. Lakini cha ajabu hatumuoni kwenye misiba wala magonjwa lakini anaonekana sana kwenye mikutano ya kufungua matawi ya CCM uingereza nzima.

Swali ninalojiuliza ni je anasoma saa ngapi na saa ngapi anakuwa yuko kwenye shughuli alizochaguliwa kufanya?

Maana Sumaye alipokuwa ansoma kule HARVARD huyu mama alikuwa haishiwi vijitripu vya kwenda kule Cambridge. Nimepata nafasi kadhaa kuongea naye kwa karibu lakini naweza kusema kuwa sijui alikuwa na sifa zipi mpaka JK akampa huo ubunge wa kuteuliwa

Uwanja wenu wana JF

Huu utakuwa ni umbeya,Kama hafiki kwenye misiba na umesema umewahi kuongea nae kwa karibu ,je umewahi kumueleza kuhusu hiyo tabia ajirekebishe na akakataa.Inaonyesha jinsi gani mnaishi bila upendo na wewe ndio unaongoza kwa sababu pengine ana matatizo ambayo yanasababisha hayo na hujataka kumuuliza na unakimbilia kumtangazia hapa jf.
Na kama anasoma au hasomi,inakuhusu nini? ulimsponsa wewe mpaka unasikia uchungu?au unakaa nae muda wote na kujua anafanya nini?Mbona unapeleleza maisha ya watu,unapata wapi muda?
 
Mwacheni huyu Mama, na watu acheni umbeya........shida alizopitia mpaka kufikia hapo alipo........anahitaji kupongezwa na kumpa moyo..........

Naamini kuna Ndugu za Dr. Lunyoro hapa JF..........mambo mliyomfanyia huyu Mama mkishirikiana na ndugu yenu Dr. Lunyoro hayapendezi kabisa.............

Ogah wamemfanyia nini tena?
 
Dr Lunyoro wa Engineering UDSM au yupi? na alimfanyia nini?
 
huyu mama yuko uk sasa mwaka wa pili anasoma pale westminster. Lakini cha ajabu hatumuoni kwenye misiba wala magonjwa lakini anaonekana sana kwenye mikutano ya kufungua matawi ya ccm uingereza nzima.

Swali ninalojiuliza ni je anasoma saa ngapi na saa ngapi anakuwa yuko kwenye shughuli alizochaguliwa kufanya?

Maana sumaye alipokuwa ansoma kule harvard huyu mama alikuwa haishiwi vijitripu vya kwenda kule cambridge. Nimepata nafasi kadhaa kuongea naye kwa karibu lakini naweza kusema kuwa sijui alikuwa na sifa zipi mpaka jk akampa huo ubunge wa kuteuliwa

uwanja wenu wana jf

jamani ye anwahusu nini aonekane kwenye misiba ;sembuse balozi wenu mlie nae ahudhurii yeye aje kufanya nini...mi nafikiri tuwape uhuru awa watu jamani..yaani kwa kuwa zito yuko ujerumani nae awe anahudhuria kila misiba...oooh no gve m a break..unless mna somthing else na huyu mama
 
Kwanza kuhudhuria misiba ni hiari na inategemea na nafasi unaweza kuchangia tu kama mchango unahitajika lakini kuhudhuria si lazima kwa ni kila mtu atakufa siku yake ikifika.
 
Tatizo Shy kila kitu unaamini maadamu kimefanywa na mkulu,vingapi kavifanya mkulu na haviaminiki?
 
Dr Lunyoro wa Engineering UDSM au yupi? na alimfanyia nini?

uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii jamani ni yule shetwani wa engineering???????????????????????????????mmmmmhhh mbona na huyu mama awafanani???????????maskini alikiingia kwenye kichaka///pole mama yangu endelea kumshika mungu yuko pamoja nawe awezi kukuacha
 
Kwanza kuhudhuria misiba ni hiari na inategemea na nafasi unaweza kuchangia tu kama mchango unahitajika lakini kuhudhuria si lazima kwa ni kila mtu atakufa siku yake ikifika.

sio wote watakaolala wengine watabadilishwa miili yao na kuwa ya kutokufa umeipata mkulu???
 
wiki ijayo nitaanzia na MAFISADI walivyojipanga kuimaliza NEC YA CCM YA SASA KWAKATI WA UCHGAGUZI 2007,hapo ndugu wananchi mutapata kujua nguvu yao ndani ya CCM YAO kwani kuna imani kwamba wananguvu ndani ya serikali ya JAKAYA.
 
KATIKA KUCHAMBUA SUALA HILI NITAKUWA NAWEKA MJENGONI KILA BAADA YA SIKU MBILI ili kila mdau aweze kujua mambo ya hao MAFISADI NA UFISADI ambao mm naimani ipo siku wataanguka na ufisadi wao kuanguka kwa namna yeyote ile.
 
Dr Lunyoro wa Engineering UDSM au yupi? na alimfanyia nini?

Yes, ndiye huyo huyo (mechanical engineer)........aliyoyafanya Dr. si fair kwa watoto wao watatu na sio fair kwa Mama Mlata...........jambo la msingi hapa....tumpe moyo Mama Mlata ili aweze kuwalea watoto wake (kama alifanikiwa kupata access ya watoto).......na maisha yake yaende vyema..........

Binafsi nampongeza sana kwa hatua aliyofikia kwani wanawake wengi hukata tamaa wanapokumbana na hali ya matatizo kama yaliyomkuta huyu Mama
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom