Mbunge MARTHA MLATA

Status
Not open for further replies.
Babu Ubwete karibu tena jamvini...........pole na majukumu..........na heshima mbele sana..........

Ahsante sana Ogah. hapa ni nyumbani lazima tupite japo mara ingine tunasoma tu na kuongeza maarifa, Mimi na Mke wangu bila kujijua wote ni active member wa JF maana kila anapobreak down issues naona zinafanana na JF
 
Nimefuatilia kwa makini thread ya mbunge wa viti maalum, Martha Mlata.

Mimi binafsi nimekutana na huyu mama, ni mwenyeji wa Singida.
Hakufanikiwa kupata elimu ya juu (A-level+university).

Akabahatika kuolewa na Dr. wa hapo UDSM. Kwa kumwangalia mama ni mzuri kwa kweli tusifu uumbaji. Vigogo hawawezi kuvumilia pindi akiwapitia karibu.

Maisha ya honeymoon yalikuwa mazuri tu, ila baada ya kupata mtoto wa pili, maisha yalianza badirika, ukichanganya Dr. kujenga nyumba ya ghorofa, ikawa shida moja kwa moja.

Ndoa iliingiliwa na ndugu, huyo "Dr. ni NSHOMILE" mnawajua hawa ndugu zetu. Hata kwenye sherehe wewe kama huna jina la kihaya utaambulia kunywa maji ya chupa, wakikuheshu sana.

Dr. akaambiwa aowe mhaya, martha siyo mke. sijui Dr. naye karogwa!! akaanza kumfanyia vituko, kumpiga hata kutaka kummuua huyu mama.

Hii ndiyo iliyomtoa Martha ktk ndoa yake. Dr. akachukua vitoto kuvipeleka boarding school, na kumwekea mama wanted kuona watoto.

Martha asili yake ni mwimbaji kwaya kanisani, ndiko alikotokea kabla ya kuolewa, hata baada ya ndoa yake Martha aliendelea kumwimbia Mungu. Huenda huko ndiko Mungu alikomtoa na kumweka hapo alipo.

Binadamu tuna mapungufu mengi tu, lakini tukipatiwa nafasi nadhani kila mmoja wetu anaweza akafanya vizuri.
Binafsi naona hatua aliyochukua huyu mama ya kwenda masomoni inaonyesha kweli she need a change. Huenda kutokuwa na elimu pia kulipelekea ndoa yake kwenda mlama. ingawa hata wasomi ndoa zao zinamatatizo.

Wabunge VIHIYO ni wengi sana bungeni, issue je wanatumiaje nafasi hii kujinasua ktk hali ya uvihiyo? Je ipi inapendeza, kwa Martha kwenda shule au kwa John Komba nawengine kununua degrees?

Hadija Kopa ni mjumbe wa NEC Je ana elimu na uwezo gani wa kutuchagulia Rais?? na wengine wengi tu.

Uliyekerwa na Martha kwamba hahudhurii shida na sherehe za watu, ni vyema ukamwambia, kuliko kumzungumzia ubaya. Kila mtu ana uhuru wa maisha yake.

Wa-Tanzania, mara zote mke anaposhindwa kuvumilia yanayomsibu ndani ya nyumba, aondokapo basi lawama anarushiwa yeye, kwamba amekimbia ndoa na kwenda kufanya umalaya. Akina mama wengine wamefikia hata kuuawa na waume zao, kwa kungángánia kulinda heshima ya ndoa.

Ni wamama wengi wanapitia maisha ya kunyanyaswa ktk ndoa zao, wengi wanakata tamaa, wanaoinuka na kuendelea na maisha ni jambo la kuwapongeza.

Jamani tubadirike na tujifunze kuheshimu maamuzi ya wenzetu, bado tuna nafasi ya kuwashauri wale wanaohitaji mawazo. Tuwape nafasi wale walioathirika na mfumo dume wa maisha, ndiyo maana hii JF inatufunza mengi. Na kupitia hii JF tunaupiga vita ufisadi, tunajifunza jinsi ya kuwapenda na kuwasaidia wenzetu, wasio na ajira wanapatiwa links za ajira n.k.

Asante.

Wanawake tunaweza tukuanza wenyewe. kweli usolikua litakusumbua, huyo dada amenufurahisha sana, japo story yake imenisikitisha. Mungu amfikishe mbali na hapo, na huyo Dr atamtafuta sikumoja.
 
Wanawake tunaweza tukuanza wenyewe. kweli usolijua litakusumbua, huyo dada amenufurahisha sana, japo story yake imenisikitisha. Mungu amfikishe mbali na hapo, na huyo Dr atamtafuta sikumoja.
 
Namtafuta huyu mama, naskia anapenda serengeti boyz. Mwenye contact zake aniPM
 
Huyu mama yuko UK sasa mwaka wa Pili anasoma pale Westminster. Lakini cha ajabu hatumuoni kwenye misiba wala magonjwa lakini anaonekana sana kwenye mikutano ya kufungua matawi ya CCM uingereza nzima.

Swali ninalojiuliza ni je anasoma saa ngapi na saa ngapi anakuwa yuko kwenye shughuli alizochaguliwa kufanya?

Maana Sumaye alipokuwa ansoma kule HARVARD huyu mama alikuwa haishiwi vijitripu vya kwenda kule Cambridge. Nimepata nafasi kadhaa kuongea naye kwa karibu lakini naweza kusema kuwa sijui alikuwa na sifa zipi mpaka JK akampa huo ubunge wa kuteuliwa

Uwanja wenu wana JF

Chakula ya kubwa hiyo!
 
nimekuwa naamini na nitaendelea kuamini kwamba jk sio chizi mpaka kuamua kumchagua mtu wowote kuwa mbunge naamini pia wale wote walio teuliwa wameteuliwa kutokana na uchapaji kazi wao sehemu kadhaa walizowahi kufanya kazi mpaka hapo walipo

hata huyu naamini ni mchapa kazi na ni mwaminifu kwake na kwa taifa kwa ujumla ndio maana mheshimiwa raisi kampa wadhifa huo

sasa tusianzishe propaganda ambazo hazina mpango dhidi yake , au kuanza kumchokonoa kama amefanya jambo baya ataambiwa lakini mtu amekaa ametulia anajisomea ya nini kuanzia kumsumbua na kumsakama kama vile na yeye ni kafisadi ??

feel shy!!
 
attachment.php

Mwacheni mama wa watu unless kuna watu wanachuki binafsi na huyu mama.
 
Martha Mlata sio mbunge wa kuteuliwa na Raisi jamani bali ni mbunge wa viti maalumu mkoa wa singida, lete accurate data jamvini sio ushabiki na hisia mzee
 
nimekuwa naamini na nitaendelea kuamini kwamba jk sio chizi mpaka kuamua kumchagua mtu wowote kuwa mbunge naamini pia wale wote walio teuliwa wameteuliwa kutokana na uchapaji kazi wao sehemu kadhaa walizowahi kufanya kazi mpaka hapo walipo

hata huyu naamini ni mchapa kazi na ni mwaminifu kwake na kwa taifa kwa ujumla ndio maana mheshimiwa raisi kampa wadhifa huo

sasa tusianzishe propaganda ambazo hazina mpango dhidi yake , au kuanza kumchokonoa kama amefanya jambo baya ataambiwa lakini mtu amekaa ametulia anajisomea ya nini kuanzia kumsumbua na kumsakama kama vile na yeye ni kafisadi ??

vp mamaa sugu hajambo? Anachapa kazi? Mpe hi sana
 
Huyu mama yuko UK sasa mwaka wa Pili anasoma pale Westminster. Lakini cha ajabu hatumuoni kwenye misiba wala magonjwa lakini anaonekana sana kwenye mikutano ya kufungua matawi ya CCM uingereza nzima.

Swali ninalojiuliza ni je anasoma saa ngapi na saa ngapi anakuwa yuko kwenye shughuli alizochaguliwa kufanya?

Maana Sumaye alipokuwa ansoma kule HARVARD huyu mama alikuwa haishiwi vijitripu vya kwenda kule Cambridge. Nimepata nafasi kadhaa kuongea naye kwa karibu lakini naweza kusema kuwa sijui alikuwa na sifa zipi mpaka JK akampa huo ubunge wa kuteuliwa

Uwanja wenu wana JF

hawa ndo wanapata 'degree za chabo' af badae wanakuja kutangaza nia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom