Mbowe, Kunahitajika mkakati wa haraka Bungeni

akichangia hoja bungeni,simbachawene awapongeza polisi kwa kuua waandamanaji eti wasingefanya hivyo nchi ingeingia kwenye machafuko
aponda sera ya kutokuwepo wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya.
asema hata watu wanaouawa kwenye maandamano hawana majina(akimaanisha viongozi hawauliwi)
awatahadharisha wananchi wataendelea kuuawa wakienda kwenye maandamano
 
Hivi, huwa mnashindwa kueleza hoja bila munkar na lugha za kuudhi ? hata kama hukuridhisha na hoja ya mtu, uungwana ni kumjibu vizuri na kumuelewesha anapokosea.
 
wapi nape juniour? Mwambie Ndugai kuwa anafanya kazi yako inazidi kuwa ngumu. How can we love Ccm this way?
 
Nadhani tukiwa wasomi,tulipaswa kulijadili suala hili ki-mantiki badala ya kupachika ushabiki pasipo kujali haki,taratibu,sheria na kanuni za sakata hili.Vinginevyo hatuna tofauti na wenzetu huko mjengoni.
 
Watakaoonekana hawana akili ni CCM. Waje wanikute muhimbili labda waende ulaya, na hakutakuwa na sri ya majibu.
 
Huyu nae ni wale wale, hana kipya Magamba mkubwa. Strategy ya chama tawala tumeishaijua. WATAPAMBAAANA NA WATASHINDWAAAAA!
 
kwanza apimwe yeye,kijana lakini ana akili za kizamani,badala awe chachu ya mabadiliko,lakini kwanza ndo anaongea pumba,
 
so far sio mbaya. kuonewa wakati unapambana ndio kawaida ya mapambano ya ukombozi. kusifiwa na serikali kandamizi ni fedheha. kuteswa na serikali kama hii ndio kujenga CV. wananchi wanaona na wanasikia. mapambano mbele kwa mbele hakuna kulala. kwa jinsi wanavyofanya, serikali ya ccm inajimaliza yenyewe
 
huyu simbachawene amelewa maji ya bendera ya ccm! Ameongea hovyo hovyo! Ingekuwa ana ndg/jamaa alyekufa kat ya hao 50 angeongea kwa busara.
 
Nimemkubali sana huyu mama. She's got the balls!..Ile funga kazi yake ilikuwa muhimu sana kulingana na Magamba walivyohandle hotuba ya kamanda Lema...Hawa watu wamejaa kiburi sana na dharau,kila wakiambiwa ukweli wanawabeza wapinzani na kutafuta sympathy ya wananchi eti wananchi hawataki kuckiliza wananayoyasema wapinzani bila kujua kuwa wao ndo wako out of touch na wananchi. ....Viva CHADEMA!
 
katika hali iliyo ya kushangaza habari iliyokuwa kwenye headline au muhtasari haijasomwa mpaka habari za kitaifa zinaisha. kweli kuna haja ya vyama vya upinzani kuanzisha television zao ili kuwapa wananchi taarifa za ukweli na bila kuficha chochote.
 
Back
Top Bottom