mimi nataka kuona kama kuna mchaga atafunga duka moshi.We tulia nchi isimamishwe kwanza!
mimi nataka kuona kama kuna mchaga atafunga duka moshi.We tulia nchi isimamishwe kwanza!
Siasa za matukio, hawa kwisha kazi yao.hamna sera tena, la ufisadi limevunda sasa wamebaki kusubiri matukio ndio wawike.Lissu amebuma Dar,Mnyika amebuma UK,Slaa kaingia mitini,lema amebaki kufoka foka kama muimba rap. M4C wamekosa usafiri baada ya mikweche yao kukwama kenya. Naona mtoa roho anazunguka anga za CDM
Mkuu wangu,
Hivi mmefanya utafiti kwanza na kutambua kuwa tatizo la watoto kufeli linasabishwa na Waziri.
Chadema wakati mwingine jaribuni kuchambua mambo kisomi kuliko kufuata siasa za matukio.
Hivi tatizo la vijana kufeli limesababishwa n Waziri wa Elimu mkifanya maandamano hao watoto ndiyo watafahulu.
Jaribu kutafuta tatizo siyo kila kitu maandamano.
Mna uhakika gani kama akija waziri mwingine watoto hawatafeli.
Chadema mmefanya mpaka
maandamano yamekosa hadhi yake.
Watanzania wamechoka na Matamko yenu ambayo hayana tija yeyote kwa
taifa.
Hiki kipindi cha mvua mngetoa matamko kwa wafuasi wenu wajikite na
kilimo kwanza na uzalishaji kuinua kipato chao na uchumi wa taifa.
Sasa nyie kila kitu maandamamo.
Guys tel us what is the problem ndio tuandamane why cant you organise it three years ago mlipoanza kusiskia watoto wasiojua kusoma wanaenda kidato cha kwanza. Let us talk about our future country then haya mambo mengine yaje kama maadahimisho ya mafanikio.
Chadema hili ni tamko la ngapi? Mwaka huu!
Mkimaliza hayo maandamano fanyeni mengine ya kutaka mwenyekiti wenu arudi shule.
hivi yale maandamano ya mnyika yameishia wapi
Chadema mmefanya mpaka
maandamano yamekosa hadhi yake.
Watanzania wamechoka na Matamko yenu ambayo hayana tija yeyote kwa
taifa.
Hiki kipindi cha mvua mngetoa matamko kwa wafuasi wenu wajikite na
kilimo kwanza na uzalishaji kuinua kipato chao na uchumi wa taifa.
Sasa nyie kila kitu maandamamo.
Mkuu wangu,
Hivi mmefanya utafiti kwanza na kutambua kuwa tatizo la watoto kufeli linasabishwa na Waziri.
Ulimwengu uliostaarabika hauongozwi na DJ.
Yeye biashara yake ni ya usiku, na jumatatu sio siku ya biashara kwake.Nawahurumia watu watakaopoteza kazi zao kwa sababu siku hiyo itakuwa ni siku ya kazi.
Kama kweli Mh. Mbowe anataka mawaziri wawajike kwa uzembe, haoni kama kuna uwekezekano wa watu wengine kuwajibishwa kwa uzembe wa kutofika makazini na watoto kutokuenda mashuleni.
kama kweli kazi ni msingi wa maisha, Inaonekana kama haya maandamano hayawahusu wafanyakazi na wanafunzi.
Kwa mtazamo wangu, Mh. Mbowe anatingisha kiberiti kuona kana serikali ina jinti. Huku ni kucheza kamali ya kisiasa.
Kibaya zaidi, ni watu wachache sana wanaofahamu sera za CHADEMA kuhusu elimu kuanzia chekechea mpaka vyuo vikuu.
Hizi ndiyo siasa zetu.
Mikutano na maandamano yao
hata hivyo huudhuriwa na watu wasiokuwa na kazi za kufanya, huku wakiwa
wameshanyweshwa pakti za Konyagi.
kesha jadilianan na Raisi Kikwete rafiki yake aliyemjengea barabara
?