Itakuwa jumatatu, waajiriwa watapatikana?
Chadema wakati mwingine jaribuni kuchambua mambo kisomi kuliko kufuata siasa za matukio.
Hivi tatizo la vijana kufeli limesababishwa n Waziri wa Elimu mkifanya maandamano hao watoto ndiyo watafahulu.
Jaribu kutafuta tatizo siyo kila kitu maandamano.
Mna uhakika gani kama akija waziri mwingine watoto hawatafeli.
huyu huenda ni miongoni mwa waliofeli au alifeli zamani hana upeo hata hapa ashukuru tu mchina na hivi visimu venye internet computer hajui inawashwaje!ndugu yangu hapa ndo tunapokosea!mambo ya msingi kabisa tunaleta utani.hivi kufeli wanafunzi 260000 ni jambo la kawaida?think twice my friend
Muda mfupi uliopita hapa katika Viwanja vya Shule ya Msingi Mkendo, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe, ametoa tamko la Musoma, likiwataka Watanzania wote wapenda nchi yao, kujiandaa kwa maandamano makubwa ya wananchi yatakayofanyika Machi 25, 2013, nchi nzima, kushinikiza uwajibikaji (kujiuzulu au kufukuzwa kazi) kwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Shukuru Kawambwa na Naibu wake, Phillip Mulugo, kutokana na matokeo mabaya ya kidato cha nne.
"Yatakuwa maandamano makubwa ya kuisimamisha nchi...tunataka siku hiyo mama ntilie wawe barabarani, watoto waliofeli na wazazi wao wawe barabarani, bodaboda wawe barabarani, wamachinga wawe barabarani,
More updates to come...
Chadema wakati mwingine jaribuni kuchambua mambo kisomi kuliko kufuata siasa za matukio.
Hivi tatizo la vijana kufeli limesababishwa n Waziri wa Elimu mkifanya maandamano hao watoto ndiyo watafahulu.
Jaribu kutafuta tatizo siyo kila kitu maandamano.
Mna uhakika gani kama akija waziri mwingine watoto hawatafeli.
Mkuu,
Hapa kinachofanywa ni ku-'instil sense of responsibility'. Hatuwezi kuendelea kuwa na viongozi wasioweza kuwajibika ktk matukio yanayolitia haibu Taifa.
Kujiuzuru kwa waziri kutamfanya anayeingia awe na hofu ya utendaji kazi. Ajaye ajue mambo yakiaribika hawezi kuvumiliwa. Hatuwezi kuendeleza sisa za kulindana hata ktk mambo ya muhimu kitaifa! Isiwe Kawambwa tu bali hata wengine akiwemo rais.
Siasa za matukio, hawa kwisha kazi yao.hamna sera tena, la ufisadi limevunda sasa wamebaki kusubiri matukio ndio wawike.Lissu amebuma Dar,Mnyika amebuma UK,Slaa kaingia mitini,lema amebaki kufoka foka kama muimba rap. M4C wamekosa usafiri baada ya mikweche yao kukwama kenya. Naona mtoa roho anazunguka anga za CDM
Waunganishe na yale maandamano ya mnyika.
Demonstrations have never proved to be an effective way of making demands heard, as they always culminate in violent clashes between the police and protesters. If he believes he's influential enough to mobilize countrywide demonstrations, why doesn't he use the same influence to put pressure on JK to sack the two ministers without seeking protesters' support? Republicans didn't need to ask Americans to come out in streets in order to turn up the heat on Susan Rice to withdraw her name from race for secretary of state. Mbowe and his fellow Chadema politicians have to emulate that non-violent means of getting message across.
Du,kwani kuandamana ndo suluhu,kimsingi hiyo haitasaidia,kitakachokuja ni raia kuswekwa rumande,je atakaye wapa dhamana ni nani ?Poleni mtakaoandamana mie naaona rundu la dola liko nyuma yao.
Hakika hebu kweli watoto siku hizi wanafeli kiasi hicho? Huduma mbovu kila siku, mashuleni!! Mtoto hana msingi mzuri wa elimu toka shule ya awali amekuwa akisoma kwa mateso kukaa kwenye vumbi na chakula hakuna!! Mwishowe akimaliza shule anapata average ya alama D unampeleka shule ya kata hakuna mwalimu!!! Je huyu atafaulu kwa muujiza au ni vipi?
wewe unafikiri alikua anajua itakua jumatatu,mtu mwenyewe alikua amekolea lager.yeye ni kuropoka tu
Itakuwa jumatatu, waajiriwa watapatikana?
Mkuu wangu,
Hivi mmefanya utafiti kwanza na kutambua kuwa tatizo la watoto kufeli linasabishwa na Waziri.
Katika ulimwengu wa watu waliostaarabika kama hapa nchini Tanzania, Dr Kawambwa na msaidizi wake wala hawakuhitaji kusubiri mpaka wasukumwe nje ya ofisi kwa maandamano ya nguvu ya umma.