Mbowe atikisa gereza la Lema

Tunamsubiri Lema kwa hamu zote sisi wana ARUSHA huku wana magamba hawatakiwi kabisa,yani CCM huku haitakiwi.
 
Wewe ndio msemaji wa Lema JF?
Eti Lema na VX lake katoa wapi pesa ya kununua VX? sema Lema na VX la kupewa na Magamba

Hela zinazoebdesha serikali ni za Watanzania wote hata na sisi tusio na chama
 
Sio kweli mkuu CHADEMA wana sera nzuri sana, Naweza kusema kuliko vyama vingi hapa Tanzania.
Ila kumbuka kuwa na sera nzuri ni jambo moja na kuzitekeleza ni issue nyingine.

tatizo la chadema wanatafuta cheap popularity, wanacheza na akili za watu, ni wapenda sifa.

Baada ya uchaguzi walianza kuzunguka kila mkoa kuhamasisha vurugu, wameona hilo halitoshi sasa wanaamua kujipeleka wenyewe polisi.

Kama sio kukosa akili ni nini?.
 
Tupo pamoja makamanda,nguvu ya uma haijawahi kushindwa Muda huu tumetoka mahabusu watu ni wengi wanaokwenda kumuona Mh lema,tupo pamoja daima katika vita hii ya kumuondoa mkoloni mweusi CCM,wao wanapesa CCM sisi tuna Mungu CHADEMA.
siku hizi kumbe chadema ni mungu wenu?
 
Chadema wanajitahidi kwa kazi nzuri lakini tatizo lao hawajapata kiongozi ambaye ni 'unifying figure'. Wanaicheka CCM kwa mgawanyiko lakini na wao wenyewe ndiyo kitu kinachowanyemelea kwa sasa na wasishangae wakasambaratika hata kabla ya CCM. Kitendo cha Mbowe kutomtembelea Zitto akiwa hospitali eti tu kwakuwa alishindana naye kwenye kiti cha uenyekiti hakijengi bali kinabomoa.
 
tatizo la chadema wanatafuta cheap popularity, wanacheza na akili za watu, ni wapenda sifa.

Baada ya uchaguzi walianza kuzunguka kila mkoa kuhamasisha vurugu, wameona hilo halitoshi sasa wanaamua kujipeleka wenyewe polisi.

Kama sio kukosa akili ni nini?.
Mkuu nikusahihishe kidogo, maana hata ww unakurupuka! Lema hakujipeleka mwenyewe Polisi alipelekwa kwa kosa la kufanya mkutano na maandamano bila kibali, Kilichotokea ni kwamba, Dhamana ilikuwa wazi ila mbunge huyu kutokana na malengo flani anayosema ni ya kiharakati alikataa dhamana ile! Kingine ninachojua ni kwamba CHADEMA tayari ni "popular party" ..hilo suala la cheap popularity wanayotafuta sijakuelewa vizuri.
 
Tupo pamoja makamanda,nguvu ya uma haijawahi kushindwa Muda huu tumetoka mahabusu watu ni wengi wanaokwenda kumuona Mh lema,tupo pamoja daima katika vita hii ya kumuondoa mkoloni mweusi CCM,wao wanapesa CCM sisi tuna Mungu CHADEMA.
Mtachoka bure.Na mnakwenda kufanya nini naye,si alikwenda mwenyewe.Hasira za mkizi hizo.
 
Mbowe, Mnyika, Lissu, hawa hakuna hata mmoja aliokwenda kumjulia hari Zitto..

Dr. Slaa, peke yake ndio alikwenda
sikuamini kama kweli hawa viongozi wajuu kabisa wa chadema hawakwenda kumjulia hali kiongozi mwenzao tena wa rank yao. This is fan. Or there is something behind, na si hivi hivi tu.
 
Naona kuna masaburi kama matatu manne hivi humu yanapasiana mpira yenyewe kwa yenyewe nadhani wengine tunaweza kuondoka kwenye hii thread tuwaachie waendelee maana wanaulizana na kujibu wenyewe. Wametawala hapa wakati hawafiki hata watano. Vipi mmepata msosi? Au Bosi hajarudi toka Huston kusuluhisha migogoro ya wananchama wake walionyang'anyana mademu.
 
What do you expect from such a small creature? Hawezi kuelezea chochote alichofanyiwa gerezani sana sana akifanya hivyo atakuwa anajidhalilisha tu.
hivi kwa nini mnaupromote ushoga hivi? yale maadili yetu ya kiTZ tumeyaacha wapi? Hebu tuwe wastaarabu wakati wakuchangia humu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom