Mbowe atikisa gereza la Lema

BigMan

JF-Expert Member
Feb 19, 2007
1,096
135
Taarifa nilizopata ni kwamba dakika chache zijazo mwenyekiti wa chadema mheshimiwa freeman mbowe atamtembelea mbunge wa arusha mhe godbless lema huko gerezani kisongo
 
Aliacha kumtembelea Zitto akiwa Muhimbili anaona ni bora kumtembelea Lema akiwa gerezani?
 
Nafikiria mbali sana.Niliowaona wamezuiwa kwenda kumwona Mh.Godbless Lema,walikuwa wengi mno.Mawazo yangu yanakwenda mbali zaidi,hivi siku hiyo ya kesi itakuwaje?Japokuwa jana kulikuwa na tetesi kwamba katoka lupango,sitaki kuziamini kwan sijamwona kwa macho yangu.Hivi polisi hawajapata taarifa za kiintelijensia,pengine kutakuwepo na vurugu?Na pale bungeni kutakuwa na taswira gani labda pale atakapotaka kuelezea yaliyojiri gerezani?Naomba kuwasilisha.
 
Nafikiria mbali sana.Niliowaona wamezuiwa kwenda kumwona Mh.Godbless Lema,walikuwa wengi mno.Mawazo yangu yanakwenda mbali zaidi,hivi siku hiyo ya kesi itakuwaje?Hivi polisi hawajapata taarifa za kiintelijensia,pengine kutakuwepo na vurugu?Na pale bungeni kutakuwa na taswira gani labda pale atakapotaka kuelezea yaliyojiri gerezani?Naomba kuwasilisha
What do you expect from such a small creature? Hawezi kuelezea chochote alichofanyiwa gerezani sana sana akifanya hivyo atakuwa anajidhalilisha tu.
 
Mambo yanayoendelea gerezani ni aibu kuelezea ukitoka nje. Sidhani kama atakuwa tayari kuyaeleza hata kwa mke wake achilia mbali ndani ya bunge.
 
What do you expect from such a small creature? Hawezi kuelezea chochote alichofanyiwa gerezani sana sana akifanya hivyo atakuwa anajidhalilisha tu.
Humjui Lema msamiati wa kujidhalilisha kwake haupo kama sivyo saa hizi angekuwa anatanua uraiani na VX lake hakuna anayemzuia hata leo akiamua kutoka anatoka, upo?
 
Aliacha kumtembelea Zitto akiwa Muhimbili anaona ni bora kumtembelea Lema akiwa gerezani?

Gerezani hawa ruhusu kuongea na simu labda uwe fisadi, sasa lema na mbowe si mafisadi, wange ruhusu simu angeongea na lema kwa simu kama alivyo fanya kwa zitto. Zitto alikuwa anatembelewa na kuhudumiwa na viongozi wa serikali ya ccm ambao ndio anawatumikia zaidi hapo cdm.
 
Halipo mtembelea Zitto Hospitali wahandishi wa habari na wapiga picha hawakuwepo.
 
Taarifa nilizopata ni kwamba dakika chache zijazo mwenyekiti wa chadema mheshimiwa freeman mbowe atamtembelea mbunge wa arusha mhe godbless lema huko gerezani kisongo

Asisahau kubeba sabuni na mafuta ya kujipaka Lema gerezani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom