Mbowe atikisa gereza la Lema

Alienda kimya kimya sio kama hao viongozi na wabunge wa CCM wanakusanya waandishi wa habari ndo waende kumsalimia mgonjwa jamaa wanapenda sana promo mpaka misibani

Wanapenda sana show off ambazo hazina mpango na kichwa wala miguu ndio tatizo hapo,so wanajuwa na mbowe anythin akifanya lazima awaite waandishi wa habari.....waendelee tu kuota time will tell....
 
Mbona kuna uzi hapa uliwekwa kwamba katoka kimyakimya?but good!we want to hear from you mzee Mbowe
 
Hata kama wamem-CAMERON?
Naona topic ya ushoga ina wakuna sana pro CCM mwenzako ritz hadi kaianzishia thread,
hivi hamjiulizi kwa nini Cameron ameilenga Tanzania na sisi tume react haraka hivyo kuliko siku zote?
 
Humjui Lema msamiati wa kujidhalilisha kwake haupo kama sivyo saa hizi angekuwa anatanua uraiani na VX lake hakuna anayemzuia hata leo akiamua kutoka anatoka, upo?

Wewe ndio msemaji wa Lema JF?
Eti Lema na VX lake katoa wapi pesa ya kununua VX? sema Lema na VX la kupewa na Magamba
 
Naona topic ya ushoga ina wakuna sana pro CCM mwenzako ritz hadi kaianzishia thread,
hivi hamjiulizi kwa nini Cameron ameilenga Tanzania na sisi tume react haraka hivyo kuliko siku zote?
Usicheze na Jela muulize Ndada Kosovo
 
Tupo pamoja makamanda,nguvu ya uma haijawahi kushindwa Muda huu tumetoka mahabusu watu ni wengi wanaokwenda kumuona Mh lema,tupo pamoja daima katika vita hii ya kumuondoa mkoloni mweusi CCM,wao wanapesa CCM sisi tuna Mungu CHADEMA.
 
Hata kama wamem-CAMERON?
Umesharudi kwenye upumbavu wako wewe. Lema ni komando sio legelege kama mnavyodhani hata kidogo. Kama waziri kivuli wa Mambo ya ndani sasa atapigania mambo anayoyafahamu kuhusu magereza yetu na raia wanavyoonewa kwa ushahidi wa kuona sio kuambiwa.
Kumkebehi Lema ni kuonyesha upofu wa mawazo kama wewe ni Mtanzania kweli. Kaingia jela kama shujaa na atatoka jela kama shujaa zaidi.
 
Tupo pamoja makamanda,nguvu ya uma haijawahi kushindwa Muda huu tumetoka mahabusu watu ni wengi wanaokwenda kumuona Mh lema,tupo pamoja daima katika vita hii ya kumuondoa mkoloni mweusi CCM,wao wanapesa CCM sisi tuna Mungu CHADEMA.
Sasa ingetakiwa atoke ila aweze kumwondoa huyu mkoloni mweusi unayesema..atamwondoaje akiwa gerezani? Au kuna mbinu nyingine mkuu?
 
Mbowe, Mnyika, Lissu, hawa hakuna hata mmoja aliokwenda kumjulia hari Zitto..

Dr. Slaa, peke yake ndio alikwenda
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom