Taarifa ya Mbowe pamoja na ya Bunge hakuna aliyemkweli

mandago shululu

Senior Member
Mar 24, 2013
124
34
Juzi mwenyekiti wa chadema Taifa freeman Mbowe alisema kwamba wabunge wamejiongezea mshahara kutoka M13 hadi M18 pasipo kuweka ushahidi wowote ule,Taarifa hiyo ilikanushwa na Bunge kwamba sio kweli kwamba wabunge wamejiongezea mishahara na taarifa hiyo ipuuzwe.

Aliyetoa taarifa ya kukanusha ongezeko la hiyo mishahara alipaswa aweke ushahidi ili kumuumbua Taarifa ya mbowe.

Kwa hiyo wote wapuuzwe kwani hakuna mwenye taarifa kamili.kama Kuna yoyote mwenye ushahidi kutoka hata upande mmoja aweke hapa ili tuelewane.
 
Unajua kwa hali ya usiri ulioko Q-ba, Che Guevara anaweza kuamua tu kulirusha jiwe gizani kutokana na fununi anazozipata, ili kama siyo za kweli basi serikali iwajibike kuzikanusha kwa vithibitisho mahususi.

Serikali inawajibika kwa wananchi wake. Isiishie tu kusema eti hakuna kitu kama hicho, kwamba Che Guevara apuuzwe.

Ilikuwa hivyo pia raia walipohoji kuhusu afya ya Magufuli, serikali ikajibu juujuu, ^yuko ofisini buheri wa afya, anachapa kazi!^

Serikali itoe majibu kamili yasiyo na mashaka.
 
Juzi mwenyekiti wa chadema Taifa freeman Mbowe alisema kwamba wabunge wamejiongezea mshahara kutoka M13 hadi M18 pasipo kuweka ushahidi wowote ule,Taarifa hiyo ilikanushwa na Bunge kwamba sio kweli kwamba wabunge wamejiongezea mishahara na taarifa hiyo ipuuzwe.

Aliyetoa taarifa ya kukanusha ongezeko la hiyo mishahara alipaswa aweke ushahidi ili kumuumbua Taarifa ya mbowe.

Kwa hiyo wote wapuuzwe kwani hakuna mwenye taarifa kamili.kama Kuna yoyote mwenye ushahidi kutoka hata upande mmoja aweke hapa ili tuelewane.
Most likely and this is so, Kuna reliable source kutoka kwa Mbunge wa chadema (Aida Joseph Kenani) anaweza akawapa reliale information. uwe unawaza zaidi ya uchawa!
 
Juzi mwenyekiti wa chadema Taifa freeman Mbowe alisema kwamba wabunge wamejiongezea mshahara kutoka M13 hadi M18 pasipo kuweka ushahidi wowote ule,Taarifa hiyo ilikanushwa na Bunge kwamba sio kweli kwamba wabunge wamejiongezea mishahara na taarifa hiyo ipuuzwe.

Aliyetoa taarifa ya kukanusha ongezeko la hiyo mishahara alipaswa aweke ushahidi ili kumuumbua Taarifa ya mbowe.

Kwa hiyo wote wapuuzwe kwani hakuna mwenye taarifa kamili.kama Kuna yoyote mwenye ushahidi kutoka hata upande mmoja aweke hapa ili tuelewane.
Kwa mfano ukawekwa ushahidi kweli wanavuta hayo maburungutu yawalipa kodi watakua tayari kuwajibika kwa kuudanganya umma wa wadanganyika? By the way mishahara na maslahi ya viongozi haipaswi kuwa siri kwa sisi tunaowalipa lakini kwakua kuna uchafu mwingi ndio mana hawako tayari kufanya hivyo wanamiliki mali zaidi ya vipato vyao
 
Back
Top Bottom