Tumsifu Samwel
JF-Expert Member
- Jul 30, 2007
- 1,407
- 159
Dudu,asante kwa update
mh.mtarza anaendelea kusema:
kwa kipindi cha miaka 9 serikali imegoma kutoa hela tsh billion 1 kwa ajiri ya kujenga chuo cha wauguzi.
tunashukuru serikali sababu general tyre imerudi.
kwa kipindi cha miaka 10 serikali imeshindwa kuunda bodi kwa ajili ya wafanya biashara wa k/koo.
Tunaweza kukaa mwaka mzima hapa kisitokee kunacho tarajia.sawa na kukamua chura maziwa.
Mbona sikuelewi??
hii ni day light robbery kwetu, vikao vya chama vinafanyika wakati wa bunge session
Mbona sikuelewi??
Tatizo la JK ni washauri wake, wanamdanganya kuwa mambo ni shwali, mwisho wa siku atashuudia ccm ikimfia mikononi!!!!!
Milioni 180 zatumika kukarabati nyumba ya waziri wa Afya!!
Really?!!!! are we crazy??!!