Mbowe apigilia msumari

anasema ... wabunge wa ccm na serikali wemeiweka nchi rehani kwa kulikimbia bunge ...wapo kwenye kikao cha party caucus

Kwa hali hii, tutafika kweli? Ule uhuru wa wabunge kujenga hoja zinazomgusa mwananchi utakuwepo? Huu ni ubakaji wa demokrasia? Kwa hakika haya hayavumiliki, lakin hatuna wa kumlaumu zaidi yetu.
Ni kwa nini wananchi waliwachagua wabunge wengi wa CCM? Nafasi tulikuwa nayo, lakin wapo waliozichezea. Tafakari
 
Milioni 180 zatumika kukarabati nyumba ya waziri wa Afya!!

Really?!!!! are we crazy??!!
 
mohamed anasema; nyumba moja ya wazili ilikarabatiwa kwa millioni 480/- akajiuliza hiyo nyumba ni gorofa, kama gorofa ni gorofa ngapi? akaongeza tena sherehe za uhuru peke yake ziligharimu tsh billioni 56. anaomba serikali ipunguze sherehe. sherehe za nanenane ziligharimu zaidi ya billion 1, serikali na wizara zaidi ya 30 na kila wizara inafanya sherehe kila mwika. anasema hizi ni hela za walala hoi tunatumia tuache.
 
la nchi wala haliko mbali, anaye nimaliza ni mkuu wa kaya yeye yuko na maximo wanachekeana huku uchumi unaelekea kutisha
 
Kuna tetesi nimezipata kutoka kwenye kikao cha wabunge wa CCM kuwa wanataka rais awawajibishe waziri wa fedha,waziri wa viwanda na pia waziri wa nishati na madini pamoja na naibu wake aka mzee wa totoz.
 
mbunge wa kasulu mh. machali anasema; asilimia kubwa ya mishahara ni hewa. so anasema tufike mahali tufanye maamuzi kama ya ujerumani. ujerumani walikuwa wanasema mambo yale yale. anasema wahalifu wa nchi hii wakamatwe ikiwezekana wanyongwe. leo mawaziri wengine wanachakachua kauli ya mh. filikunjombe eti siyyo kweli. kama nmachakachua kauli ambazo tunaziona huko kwenye makaratasi mnatuchakachuaje? huwezi ukadanganya watu wote wakati wote. anasema hivi nikiomba mawaziri wote wajiuzulu mtaniunga mkono?..
 
magamba, nadahani wote sasa watatimukia CDM, kama wameamua kukimbia bunge hii ni noma
 
Rais wa nchi ina maana haoni yanayoendelea kwenye serikali yake mpaka aambiwe awajibishe watu aliyewaweka yeye. Mnacheza tu mbona Ngelesah bado anaula? Nafikiri hapa hamtaki kuwa wazi mnapita pembeni maana mngesema raisi hawajibike maana ndiye aliyewaweka.
 
mbunge mtarza ally Mangungu anasema:
namshukuru zitto kabwe kwani kwa mara ya kwanza tumepata gawio jimboni.
hizi report za cag zinatokana na mapungufu yaliyo bainiwa na kamati za bunge so muache kumlaumu kwenye vyombo vya habari.
Kwenye taarifa ya cag mpaka leo kuna halnashauri hazijapata gawio, vilevile kuna maeneo watendaji wamefanya doublication ya miradi.
 
hebu fikiria, Nyumba ya waziri wa afya inakarabatiwa kwa zaidi ya Tsh 400m wakati hospitali ya tumbi haina X-ray. hebu wandugu pigeni picha jinsi nchi inavyoliwa na wenye meno
 
Back
Top Bottom