Mbowe apigilia msumari

mh.mtarza anaendelea kusema:
kwa kipindi cha miaka 9 serikali imegoma kutoa hela tsh billion 1 kwa ajiri ya kujenga chuo cha wauguzi.
tunashukuru serikali sababu general tyre imerudi.
kwa kipindi cha miaka 10 serikali imeshindwa kuunda bodi kwa ajili ya wafanya biashara wa k/koo.
Tunaweza kukaa mwaka mzima hapa kisitokee kunacho tarajia.sawa na kukamua chura maziwa.
 
huyu mbunge anaitwa Dastun Mkapa ni kibogoyo au ni nini? mbona anamun'gunya maneno
 
Mh.Dunstan Mkapa anasema;
namshukuru cag kwa kazi anayo ifanya.
Kamati hizi tatu hazina meno. wenzetu Uganda kamati ya serikali inapoenda kukagua miradi wanenda na polisi wakikuta mtendaji wa serikali kafuja hela wanamwambia polisi ondoka na huyu mtu.
Serikali yetu ina mali nyingi lakini serikali yenyewe haijui mali ilizo nazo.
barabara ya nundu somanga tangu ninasoma hadi leo ni matatizo.
 
Wakati CDM na viongozi wake wanajiandaa kuchukua nchi mimi naandaa mashtaka ya viongozi wa serikali ya ccm ya sasa na kuyapeleka kwa moreno ocampo soon tu CDM wakiichukua nchi hawa viongozi wote watakamatwa na kupelekwa kujibu kesi zao
 
DUnstan Mkapa anaendelea kusema;
nawapongeza wananchi wanaodai madai ya korosho(tandahimba), tra wanataka kuleta hasara eti tuifute(wabunge subilini mtaletewa) kaeni macho.
Naomba yasitokee yaliyo tokea Ugiliki. serikali inadaiwa sana. nssf sio pesa za serikali ni fedha za wanachama.
cag ipewe uhuru wa kuajili watu wake wenyewe iwe wafanye kazi kwa uhuru.
 
Kuna tetesi nimezipata kutoka kwenye kikao cha wabunge wa CCM kuwa wanataka rais awawajibishe waziri wa fedha,waziri wa viwanda na pia waziri wa nishati na madini pamoja na naibu wake aka mzee wa totoz.

Uliona wapi wafu wakazika wafu wenzao? Ama kipofu akamvusha kipofu mwenzie barabara? Ni janga hili CCM kuongoza nchi hii kwani tayari wamechanganyikiwa hawajui watendalo
 
Tatizo la JK ni washauri wake, wanamdanganya kuwa mambo ni shwali, mwisho wa siku atashuudia ccm ikimfia mikononi!!!!!
 
sio kwamba wabunge wengi wa serikali walichaguliwa na wananchi bali wamewekwa na jk ccm na serikali yake ndio maana hawawezi kuiwajibisha serikali. si unajua walivyochakachua matokeo 2010 bana
 
...mh rais na watu wake ina imani sana na wananchi but wanao muangusha ni mawaziri. nishati ya madini walikaa kimya katibu mkuu akaamua kufanya anayo yafanya. sasa kama unaona waziri umechoka acha tutafute watu wengine..hii ya kila siku maonyesho, mnaonyesha nini ambacho tunasema tumejivunia zaidi ya kuharibu fedha za uma kwenye hayo maonyesho...
 
wenzetu india wanafanya majaribio ya kurusha makombora ulefu wa km5000. sisi tunalalama.
 
vicent Nyerere anasema;
Nimeshangaa sana majibu niliyopata kwenye swali namba 92. 25/5/2007 movenpick wakatengeneza makampuni ya nje sio ya nje.jk ya kimanga ,abudul tashi, eaa, filikunjombe,(nimeshindwa kuandika majina yote. hao ndo wanaomiliki kampuni hewa nje ya nchi) so tbs wajanja wachache ndo wamegawana dili.
 
Back
Top Bottom