Mbowe amtolea uvivu Lipumba

Acheni kudanganya watu chadema ni chama cha ukabila hata Zitto Kabwe yumo kwa nguvu tu na munamwogopa kumfukuza.

haaku acheni kudanganya watanzania chadema ni chama cha ukabila saaana na hili wala siyo jungu lipo wazi kwani hata zito kabwe mmemfanyia zengwe sana yumo kwa kibuli chake tu. Nani hajui kuwa vyeo chedema ni mpaka wachaga waamue?
 
Waislam wa Leo sio wale wa enzi zile za NCCR MAGEUZI wala wa CUF ya awali, waislam wa leo ni wanaharakati na sio wanasiasa, wanashida na ukombozi kwao na kizazi chao kilichonyimwa haki siku nyingi, vita tulionayo ni kuikomboa nchi dhidi ya mafisadi sote kama watanzania pasipo hizo propaganda za udini na ukabila. CUF ni kama mimba iliondani ya CCM so mama akifa mimba lazima ifuate kwa kutapatapa hivyo ni haki yake Lipumba.
 
Hii santuri inachuja kwa kasi sana sasa.
Itakapofika 2015 patakuwa hapatoshi maana zote hizi zitakuwa zilipendwa.
Hamna cha udini wala nini!
Yangu macho na masikio.
 
Acheni kudanganya watu chadema ni chama cha ukabila hata Zitto Kabwe yumo kwa nguvu tu na munamwogopa kumfukuza.

haaku acheni kudanganya watanzania chadema ni chama cha ukabila saaana na hili wala siyo jungu lipo wazi kwani hata zito kabwe mmemfanyia zengwe sana yumo kwa kibuli chake tu. Nani hajui kuwa vyeo chedema ni mpaka wachaga waamue?
Sawa cha ukabila una jingine.
 
Piga mwendo Mzee Mbowe. kwani nani ambaye watu wake hawana dini katika chama chake. Tapatapa zao hizo. lakini watu hawadanganyiki. Chadema kina wakristo na waislamu. Mwenye macho haambiwi songa mbele na PIGA KOTE KOTE MPAKA KIELEWEKE. waachieni VUMBI TU.
 
Lipumba ana chuki binafsi na chadema kwa sababu chadema kimeipiku cuf kwa kura,idadi ya wabunge na pia umaarufu.Lipumba badala ya kukijenga chama chake kilichoolewa na ccm yeye ana kalia majungu na fitina zisizokuwa na maana.Cuf acheni unafiki.
 
chama cha ukabila na chama cha mijizi ni kipi bora? Kama hamna hoja si mkae kimya tena ukome kabisaaaaaaaaa
 
chama cha ukabila na chama cha mijizi ni kipi bora? Kama hamna hoja si mkae kimya tena ukome kabisaaaaaaaaa

Bora majizi unaweza kuyadhibiti, kuliko kuleta ukoo na kuhadaa watu ili kutimiza ajenda ya kabila au ukoo huo.
 
Acheni kudanganya watu chadema ni chama cha ukabila hata Zitto Kabwe yumo kwa nguvu tu na munamwogopa kumfukuza.

haaku acheni kudanganya watanzania chadema ni chama cha ukabila saaana na hili wala siyo jungu lipo wazi kwani hata zito kabwe mmemfanyia zengwe sana yumo kwa kibuli chake tu. Nani hajui kuwa vyeo chedema ni mpaka wachaga waamue?

Umekalia ukabila ukabila mtu mzima hauna haya,siku moto utawaka juu ya kuni unzookotea sasa hivi utakuchoma mpaka wewe na hautaishia hapo utateketeza na kizazi chako chote.Acha kupanda mbegu ya chuki,wa kuijenga Tanzania yetu ni Mimi na wewe sisi sote ni mdege yafaa turuke pamoja acha tabia za popo
 
ukoo gani ?kikwete na ridhiwan?makamba na january?mwinyi nahussein?samwel sita na mke wake ?sijaona ndani ya chadema majina ya kufanana.kuna mbowe.slaa.zito.lisu.sugu.silinde.arfi.wenje.msigwa.mdee.mnyika.nk
 
Wakuu zangu kuna habari nzito sana kuhusu huyu jamaa yetu Lipumba na sijui baada ya kuisoma hii habari kama mtakuwa na hamu naye tena..

Nikiwa Chef Pride na wanachama wa CUF ambao kwa uhakika wana asili ya Zenj, walinijulisha habari moja tata sana sasa sielewi kama ni udaku wa kumpaka Mbowe na Chadema au ndio ilivyotokea haswa..

Yasemekana baada ya Muafaka wa Zanzibar na CCM viongozi wa Chadema waliwafuata viongozi wa juu wa CUF bara na kuwaomba wajumuike pamoja kuunda nguvu moja itakayowawezesha kuishinda CCM bara..Na Lipumba akiwa mwakilishi wa CUF aliyapokea maombi hayo na kuyapeleka Zenj kwa makusudi ya kuwambia mbinu ya Chadema kuwatenganisha CUF visiwani na bara..

Hawa jama kwa uhakika wanaichukia Chadema kwa kufanya move hiyo ambayo haikuwajumuisha Wazanzibar hata baada ya kuungana na CCM hivyo ktk mtazamo wao kuungana kwa CUF na Chadema bara ni njama ya kuiangusha CUF visiwani na ndio hapo chuki kubwa ya wanachama wa CUF ambao wengi ni Wazenj kwa asili ulipoanza na hakika CUF yenyewe kutangaza vita kati yake na Chadema..

Sasa mimi nisichoelewa haswa ni kwa nini iwe vigumu kwa CUF na Chadema waungane bara lakini halali kwa CUF na CCM visiwani kuungana, tena chuki hii imetokana na Lipumba mwenyewe kumwaga mboga visiwani..Je hivi kweli Inahusu? hata kama hakupendezewa muungano wa vyama hivi bara kulikuwa na maana gani kwa Lipumba, msomi mwenye nia ya kuwaondoa CCM madarakani kwenda kufitinisha vyama ktk wakati muhimu sana wa uchaguzi..

Hata hivyo, msinitoe roho hizi ni habari za kijiwe cha Wapemba hivyo tuyapokee kama yalivyo..
 
- Vita vya Chadema na CUF, good for CCM!, Ukitaka wagombane mpe mmoja ruzuku nyingi kuliko mwenzake, utawatawala mpaka mwisho wa dunia!

William @ NYC, USA.
 
Bora majizi unaweza kuyadhibiti, kuliko kuleta ukoo na kuhadaa watu ili kutimiza ajenda ya kabila au ukoo huo.

Whaaaaaaaaat?! U must be sick and u need to see a psychiatrist! Hadi sasa mmedhibiti majizi mangapi? Tuanze na EPA, Richmond, Dowans, IPTL etc..... Familia za CCM huzioni au waishi wapi wewe?
 
Back
Top Bottom