Mbowe amekutana na Balozi wa Uingereza (British High Commissioner) David Concar hii leo kuzungumzia maswala kadhaa ya kuhusu siasa nchini Tanzania

Tuliwaambia Tangu Jana , nadhani sasa wanaelewa
Tunaelewa kaenda kumwambia kuwa tutaaandamana wakituvurumishia mabomu kama Lisu alivyofanya kukimbilia ubalozi wa Marekani na yeye Mbowe kamwambia kikiinuka nitakimbilia kwako jiandae kunipokea

Waandamanaji wengine watajijua kama ambavyo Lisu ,God bless Lema na Heche walitimkia nje wakaacha wengine wanyonge wanakiona Cha mtema Kuni

Mazungumzo ya kutafuta ukimbizi hayo anajiandalia mazingira yake na familia yake baada ya kuona Lisu na Godbless Lema familia zao zala Bata nje
 
CDM vibaraka wa wazungu, Pole sana Kagame na wenzio ambao mnaipigania Afrika, kumbe wapinzani wenu wanaenda kuitoa Afrika yotee bila huruma
 
CCM mkijifanya wajanja mnaorodheshwa kwenye orodha ya Vikundi vya Kigaidi mnachanganywa na Wahouthi wa Yemen.

Halafu kinachifuatia ni Air Strikes 😆🤣
 
Katika Ukurasa wa Ubalozi wa Uingereza Tanzania,

Umeonyesha Mwenyekiti wa CHADEMA akiwa amafanya mazungumzo na Balozo huyo kuhusu Mambo kadhaa ya Mustakabali wa siasa nchini..

Huu ni muendelezo wa vikao vyake na Mabalozi kadhaa wa.nchi za ulaya na Marekani kabla ya kuenda kwenye Maandamano yaliyopangwa kufanyila Tarehe 24/01/2024
View attachment 2876549
Muraa lazima wataficha marungu wakiona ngozi nyeupe,

Na ingekuwa vizuri mabalozi wakaalikwa kushiriki maandamano ya Amani.
 
Huyu jamaa ni fala sana juzi katoka Ubalozi wa belgium, Kaenda ubalozi wa Marekani, Kaenda ubalozi wa brazili , kaenda ubalozi wa china kaenda ubalozi sjui wa wapi kama anahubiri injili..
Fla sana huyu..

Ye apeleke makalio yake kwenye maandamano aone tutamfanya nini yeye hata aende kwenye UBALOZI WA MBINGUNI kipigo ni pale pale
Freeman kawaweza safari hii..hahahaha..unamuita fala?...
Wewe maskini wa kutupwa....unamtukana Freeman?..
Unadharau wahubiri wa injili takatifu?...
Kaa chini tafakari...
 
Aliitwa kukatazwa kuandamana
images (30).jpeg

Katiba imeruhusu maandamano vipi hawa mbona hawakukatazwa?

Haya maandamano mbona hawakuzuiwa?
images (31).jpeg
 
Huyu jamaa ni fala sana juzi katoka Ubalozi wa belgium, Kaenda ubalozi wa Marekani, Kaenda ubalozi wa brazili , kaenda ubalozi wa china kaenda ubalozi sjui wa wapi kama anahubiri injili..
Fla sana huyu..

Ye apeleke makalio yake kwenye maandamano aone tutamfanya nini yeye hata aende kwenye UBALOZI WA MBINGUNI kipigo ni pale pale
Akienda hofu yako Nini? Wenye hatia siku zote ni waoga.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wewe huna akili.

Kwenye nchi hizi za kidikteta na unafiki wa demokrasia, ukiandamana kwa vile tu ni haki ya kikatiba, mashetani yanaweza kukufanya lolote kama yalivyomfanya Akwilina. Hivyo inatakiwa utengeneze mazingira mazuri ya maandamano yako ikjwa ni pamoja na kuijulisha jumuia ya kimataifa kwa nini unaandamana, kuna hatari gani unaiona, na unaiomba jumuia ya kimataifa isaidie nini kama mashetani yatafanya ushetani wao.

Pia unatakiwa uviandae vyombo vya habari vya kimataifa kuifuatilia maandamano yanavyoenda hatua kwa hatua. Hawa mashetani hawachelewi hata kuchoma majengo ya watu au kupora maduka ya watu ili tu waseme walilazimika kufanya ushetani wao kwa sababu maandamano yalikuwa ya uvunjifu wa amani.

Mbowe anafanya jambo zuri sana. Ili hata jamii ya kimataifa, ikiweza itume wawakilishi wao kuyashuhudia maandamano, waone kama ni maandamano ya amani au vurugu, na kama kuna vurugu waje waseme ni nani aliyeleta au kusababisha vurugu.

Hongera sana Mbowe kwa maandalizi mazuri ya maandamano ya amani.
Waachwe waandamane kwa amani chini ya uangalizi wa polisi,mbona itatujenga sana nje ya nchi na ni haki yao ya demokrasia ili mama kwa mtihani huu apate high ranking! itamjenga kimkakati.
 
Haina tofauti yeyote na walamba miguu.

Mnashindwa kumaliza tofauti zenu ambazo kiuhalisia hazipo, halafu mnaenda kukatikakatika kama mbwa koko kwa Mabeberu?

Nimejaribu kufuta, haifutiki.
 
Ujinga mtupu

Kama umeamua kufanya maandamo nenda straight kwa wananchi, huyo Balozi ndio atandamana?
 
Back
Top Bottom