Balozi wa Uingereza nchini: Serikali zinatakiwa kuzingatia nafasi za wanaowafadhili. Ni kuhusu haki za LGBTQ

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,446
7,820
Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, David Concar akihojiwa kuhusu Uganda kupitisha sheria ya ushoga, amesema nafasi ya Uingereza juu ya haki za LGBT+ duniani iko wazi.

"Tunaunga mkono haki za makundi yote kutendewa kwa usawa na wasibaguliwe. Makundi yenye watu wachache ikiwemo jamii ya LGBT+ wana haki ya kutendewa kwa usawa na wasikutane na ubaguzi.

Nafasi ya Uingereza juu ya sheria ya Uganda iko wazi, hatukubaliani na sheria husika na hatudhani kama inafuata haki za kibinadamu na viwango vya dunia.

Serikali zinatakiwa kuzingatia nafasi ya watu wanaowafadhili na kuwapa jukwaa ambalo wanaweza kufanya kazi duniani. Hii inamaanisha endapo baadhi ya mistari itavukwa, maamuzi magumu yanahitaji kufanyika.

Hakuna anaefurahi taasisi inapofanya maamuzi magumu lakini muda mwingine ni lazima. Tunaamini jambo hili litasuluhishwa lakini tunatambua kuna hisia kali kwa pande zote"

Alisema Balozi

============

David Concar.png

During an exclusive interview with The Citizen, British High Commissioner to Tanzania, David Concar, was asked about the concern that Western aid comes with stringent rules that require developing countries to conform to certain ideals or standards, in the absence of which access to such financial aid is frozen. Taking the case of Uganda, the envoy was asked whether the need to conform to certain principles trumps the dire requirements of the Ugandan people.

His response: "The UK’s position on LGBT+ rights around the world is very clear. We support the rights of all groups to be treated fairly and not face discrimination. The Universal Declaration of Human Rights covers such rights. All minorities, including the LGBT+ community, deserve to be treated equally and not be subject to discrimination. The UK’s position on Uganda’s legislation is clear; we disagree with that legislation, and we do not think it’s in line with meeting human rights commitments and standards around the world.

Governments need to take into account the position of the people who finance them and give them the platform on which they operate around the world. That means that once certain lines are crossed on human rights, difficult decisions will have to be made.

No one is happy when institutions have to make such tough decisions, but sometimes it is necessary. We hope that things can be resolved on the issue, but we recognize that there are strong feelings on both sides."

The Citizen
 
Hivi tunaposena WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUM.........hiyo JINSIA inawasilisha nini hasa? msaada pls.
 
Una maana kwamba wanaotoa ufadhili wa mabilioni ya dola ni watu wenye LGBTQ++?

Kwa hiyo watanzania wananufaika na haramu kama mwiko wa muislamu na Msabato safi kutokula nguruwe? Halafu kuna watu wanashangilia rais amefungua nchi ya kuruhusu sumu ya nyoka kujichanganya kwenye maji ya kunywa ya wananchi wengi?
Ulikuwa hujui...hivi Vituo vya Afya ,Shule ,ArV,vitendnishi ,vifaa tiba(Mama Anaupiga Mwingi😁) asilimia kubwa vina mafungamani na Ushoga!
 
Yaani hawa jamaa huwa wanafadhili serikali hata kama ikivunja haki za binadamu....kamata, teka, ua wananchi wako utaendelea kupata ufadhili...ila usiguse ushoga....
 
Kumbe tunapewa misaada na watu wanaofir..? basi tuipige vifuani na kusema sisi ni maboya
 
hawa Citizen wanaleta chokochoko kwanini waingize mambo ya mashoga na serikali iweke wazi kama inakubaliana na hivi vitu wakati msimamo wa nchi yetu unajulikana.
 
Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, David Concar akihojiwa kuhusu Uganda kupitisha sheria ya ushoga, amesema nafasi ya Uingereza juu ya haki za LGBT+ duniani iko wazi.

"Tunaunga mkono haki za makundi yote kutendewa kwa usawa na wasibaguliwe. Makundi yenye watu wachache ikiwemo recognize that there are strong feelings on both sides."

The Citizen
R.i.p magufuli, ulishasema sana haya
 
Hivi tunaposena WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUM.........hiyo JINSIA inawasilisha nini hasa? msaada pls.
Jinsia (Gender) ni uhusiano au nafasi ya mwanamke na mwanaume ndani ya jamii

Jinsi (Sex) ni tofauti za kibailojia kati ya mwanamke na mwanaume. Mfano, jinsi yake ni me au ke.

Hapo kwenye makundi maalumu inajumuisha watu ambao kwa namna moja wanahitaji sapoti kutoka katika jamii kwa sababu mbalimbali mfano, walemavu, watoto wa mitaani, wazee, labda na hao LGBT sasa waingie humo!
 
Back
Top Bottom