Mbowe aenda na jina la Msigwa mfukoni, Olle Sosopi atemwa

Km CCM mwenyekiti aligombea peke ake ndio CHADEMA nao waige upuuzi wao?

Sasa tofauti itakuwa wapi kati ya chama cha magamba na chama cha demokrasia huoni km wote wana sail ktk same boat?
Tatizo letu tuna judge kwa kutumia maelezo ya upande mmoja mlalamikaji, na wengi wanaopiga kelele ni Lumumba, think twice.

Demokrasia inayohubiriwa ni ulaghai tu wa wanasiasa hata huko marekani ilikotokea ni ulaghai tu

Hukuona clintoni alivyochaguliwa na wananchi wengi lakini uraisi kaukosa.

Hata Cdm mbowe ndiye mwamuzi wa mwisho ukitegemea vinginevyo unapoteza mda wako bure labda utarajie kuitwa majina haya,msaliti,huku saba,umetumwa kutoka Lumumba.

Mwisho wanamalizia kaanzishe chama chako.

Ccm haiwezi kutoka madarakani kama hamjitofautishi nayo kabisa, nyie mna fikiri kuwa mkifanya madhambi watu wata wachekea simply kwa kuwa siyo chama tawala!!? Hakuna kitu kama hicho sisi kama wana nchi tuna jaji vyama vya siasa kisawasawa.
Na huwa nawacheki hata hapa kwenye forum mtu akiwakosoa mnapanic sana, kwa mfano umesema jamaa kakurupuka but he is a citizen ana toa girevances zake, kwa nini msiheshimu kukosolewa!?, sasa kama kipindi ni wapinzani mnatujibu jeuri hivo wapiga kura wenu nani ata fikiria kuwaamini awakabidhi madaraka!!? Msi itaje tu demokrasia bali hiyo demokrasia ionekane ikitendeka, arrogance haitawapa madaraka.
Hold up,una maana gani?Mimi huwa siwaelewi wachangiaji wengi humu JF!
Kwanini michango ya wanaJF mnaichukulia kama misimamo ya vyama?Kwa mfano comment yako hii,wewe umejiweka upande wa wananchi na mpiga kura halafu mimi na wengine umetuweka kama viongozi wa upinzani na wagombea!Ndio maana unasema "wapinzani mnatujibu jeuri wapiga kura wenu"!Ni kiongozi gani wa upinzani kwa niaba ya chama amekujibu vibaya?Umeshasikia kauli rasmi ya chama juu ya hili jambo?
Mimi na wewe na wachangiaji wengine ni wapiga Kura na wananchi,aina ya michango yetu sio msimamo wa vyama vyetu,iwe kwako au kwangu!
Itakuwa so low of you kuchukulia michango JF ndio msimamo wa chama!Hili ni jukwaa la kutoa maoni na kila mtu anachangia atakavyo,ndio maana kama ni tamko la chama chochote lazima taarifa hiyo ijieleze kuwa hili ni tamko la chama fulani!
Usiandike upupu huo tena

Kada mwenzangu wa CCM,waachie CHADEMA mambo yao. Tangu lini kura za hapana na za waliosusia zinahesabiwa? Ingekuwa hivyo,CCM tungekuwa tunashinda wapi?

Mzee Tupatupa
Hii kali, leo Mzee Tupatupa kasahau kuandika location. Nilizoea kuona vibwagizo 'Mzee Tupatupa - Lumumba, Dodoma n.k Hii habari kweli 'kitorondo, kitorondo, nyumba ya shetani mwendawazimu kaingiaje?'

Tumeshazoea, hoja/tuhuma nzito zinajibiwa na hoja dhaifu au za kitoto. Oh, mara Lumumba au buku saba. Mnakuwa kama Mbuni anayeficha kichwa chake kwenye kakichaka akiona hatari wakati msambwanda wote uko nje!!

duuh ama kwl ccm ni balaa, yaan sosopi ambaye ndo makamu mwenyekit BAVICHA kumbe ni pandikizi lao, duu CCM ni balaa kwa kweli.
Kama lipumba aliyekuwa mwenyekiti cuf Taifa alipenyezewa rupia,itakuwa huyo!
Ccm inaamini katika kubomoa upinzani ili iendelee kitawala badala ya kufanya maendeleo ili watu waiamini!

[HASHTAG]#Inauma[/HASHTAG],[HASHTAG]#inakatisha[/HASHTAG] [HASHTAG]#tamaa[/HASHTAG]
pole sana patrick ole Sosopy

kilichofanyika leo kwenye uchaguzi wa chama kanda ya Nyasa na chama chetu ni [HASHTAG]#shambulio[/HASHTAG] dhidi ya mfumo wa demokrasia kwa sisi wote tuosimama na kupigana kuheshimika kwa misingi ya demokrasia ndani ya taifa letu
Ipo wapi People'spower yaani mamlaka yote ya Viongozi yanatoka kwa wanawachama

kitendo cha mwenyekiti wa chama taifa na kamati kuu kwenda na jina la mgombea kwenye mkoba ni ukiukaji mkubwa wa demokrasia hususani haki ya kuchaguliwa na kuchagua

kitendo cha kumkata makam mwenyekiti Bavicha Taifa Patrick Ole Sosopi na kumuacha mbunge Peter Msigwa Kupita bila kupingwa kwa kupigiwa kura ndio au ya hapana ni sawa na kuturudisha Nyuma miaka 30 iliyopita ambako wazazi wetu walifanya hivyo kipindi cha mwinyi

Kwa kitendo hiki kinatunyima na ni sawa na kujivalisha pingi mkutononi juu ya kupinga Ukiukaji wa misingi ya demokrasia ndani ya taifa

hatuwezi kumkosoa magufuli

tujisahihishe

im very dissapointed

Tumemkata Sosopi kwa maslahi mapana ya chama..... Na Tumempitisha Msigwa kwa maslahi mapana zaidi ya chama ..

Msigwa amegombea peke yake Kanda ya Nyasa.... Yaani Msigwa na Kivuli.

Kura za ndiyo alizopata Msigwa ni 62
Kura za hapana. 44
Wajumbe waliosusia kikao ni 28.
Hapana ni 44 + Waliosusia kikao ni 28 =Jumla 72.

Hivyo Msigwa amepata kura 62 sawa na 58. 46.
Hivyo Sosopi asingelikatwa angepata kura 72 dhidi ya kura 62 alizopata Msigwa.

Kuna la kujifunza hapo.
Mimi si mwamachama wa Chadema na wala simjui huyo Sosopi ila maomba kukuuliza swali moja tu,

Huyo Sosopi kama ndio makamu mwenyekiti wa Bavicha wewe unaitasmini vipi Bavicha hii ya kina Sosopi na ya John Heche?

Hivi nyinyi uwezo wa kiongozi mnaupima kwa kutumia vigezo gani? Ndio maana mimi sitaki uanachama wa vyama watu kama nyinyi kwenye vikao ningekuwa nawatandika ngumi tu.

Haiwezekani failure leader aliyeshindwa kuinogesha wing ya vijana ati anataka aongoze kanda ya chama huu ni utani wa asubuhi kabisa.

Kwanza la kujiuliza kwa nini Msigwa alikuwa mgombea pekee?
Kama Huyo Sosopi alikatwa ina maana hakuwa na sifa. Mahaba ya watu kwako hayakufanyi kupitishwa na chama kuwa mgombea.
Mfano mzuri mahaba ya wanaccm kwa Lowasa hayakumfanya Jakaya ampitishe.
Sosopi anaweza kuwa kiongozi mzuri katika baadhi ya nafasi na siyo zote.

Tatizo letu tuna judge kwa kutumia maelezo ya upande mmoja mlalamikaji, na wengi wanaopiga kelele ni Lumumba, think twice.

Sawa nakubali ila km Mbowe amemuondoa Sosopi ili kuondoa ile dhana ya ukaskazini nakubaliana naye 100% otherwise kinakoelekea chama siko

Kada mwenzangu wa CCM,waachie CHADEMA mambo yao. Tangu lini kura za hapana na za waliosusia zinahesabiwa? Ingekuwa hivyo,CCM tungekuwa tunashinda wapi?

Mzee Tupatupa
Mzee TUPA TUPA subiri hangover iishe ndio ukae na kusoma tena mleta mada ana maana gani, acha ujinga bwana maana jina lako hapa linaheshimika

Hii kali, leo Mzee Tupatupa kasahau kuandika location. Nilizoea kuona vibwagizo 'Mzee Tupatupa - Lumumba, Dodoma n.k Hii habari kweli 'kitorondo, kitorondo, nyumba ya shetani mwendawazimu kaingiaje?'
Kali kwako kwa sababu huna akili, ile ni automatic signature ambayo ukiseti kila mwisho wa sentesi yako ni lazima itokee, kama ulikuwa unadhani Tupatupa kila post huwa anaandika neno Lumumba basi pole sana bado unaishi zama za mawe.

Shukrani arejee tena huu Uzi

[quote uid=45513 name="Ally Kanah" post=18985788][HASHTAG]#Inauma[/HASHTAG],[HASHTAG]#inakatisha[/HASHTAG] [HASHTAG]#tamaa[/HASHTAG]
pole sana patrick ole Sosopy

kilichofanyika leo kwenye uchaguzi wa chama kanda ya Nyasa na chama chetu ni [HASHTAG]#shambulio[/HASHTAG] dhidi ya mfumo wa demokrasia kwa sisi wote tuosimama na kupigana kuheshimika kwa misingi ya demokrasia ndani ya taifa letu
Ipo wapi People'spower yaani mamlaka yote ya Viongozi yanatoka kwa wanawachama

kitendo cha mwenyekiti wa chama taifa na kamati kuu kwenda na jina la mgombea kwenye mkoba ni ukiukaji mkubwa wa demokrasia hususani haki ya kuchaguliwa na kuchagua

kitendo cha kumkata makam mwenyekiti Bavicha Taifa Patrick Ole Sosopi na kumuacha mbunge Peter Msigwa Kupita bila kupingwa kwa kupigiwa kura ndio au ya hapana ni sawa na kuturudisha Nyuma miaka 30 iliyopita ambako wazazi wetu walifanya hivyo kipindi cha mwinyi

Kwa kitendo hiki kinatunyima na ni sawa na kujivalisha pingi mkutononi juu ya kupinga Ukiukaji wa misingi ya demokrasia ndani ya taifa

hatuwezi kumkosoa magufuli

tujisahihishe

im very dissapointed

Tumemkata Sosopi kwa maslahi mapana ya chama..... Na Tumempitisha Msigwa kwa maslahi mapana zaidi ya chama ..

Msigwa amegombea peke yake Kanda ya Nyasa.... Yaani Msigwa na Kivuli.

Kura za ndiyo alizopata Msigwa ni 62
Kura za hapana. 44
Wajumbe waliosusia kikao ni 28.
Hapana ni 44 + Waliosusia kikao ni 28 =Jumla 72.

Hivyo Msigwa amepata kura 62 sawa na 58. 46.
Hivyo Sosopi asingelikatwa angepata kura 72 dhidi ya kura 62 alizopata Msigwa.

Kuna la kujifunza hapo.[/QUOTE]
Mimi si mwamachama wa Chadema na wala simjui huyo Sosopi ila maomba kukuuliza swali moja tu,

Huyo Sosopi kama ndio makamu mwenyekiti wa Bavicha wewe unaitasmini vipi Bavicha hii ya kina Sosopi na ya John Heche?

Hivi nyinyi uwezo wa kiongozi mnaupima kwa kutumia vigezo gani? Ndio maana mimi sitaki uanachama wa vyama watu kama nyinyi kwenye vikao ningekuwa nawatandika ngumi tu.

Haiwezekani failure leader aliyeshindwa kuinogesha wing ya vijana ati anataka aongoze kanda ya chama huu ni utani wa asubuhi kabisa.

Mbowe anajua kucheza na akili za magamba, na ndio maana kila mbinu wanayotumia kutaka kuimaliza cdm inafail, mwishowe wanabakiwa na mbinu moja tu ya kuiba kura.

Magamba endeleeni kujiandaa na wizi wa kura ndio mnacho weza maana hata kuwatumikia watanzania mmeshindwa mnaishia kuwafunga midomo.

Jamani, pamoja na michango mingi mizuri kwenye mada hii, ninachokiona kwa mshangao mkubwa ni kwamba mada imefikisha kurasa tisa, mada tamu namna hii halafu Lizaboni hajaonekana. Kapotea? Popote alipo mwambieni kumekucha huku.

Back
Top Bottom