Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,104
- 26,070
Wangemkataa basi kura nyingi za hapana zisingemuweka msigwa!Lakini kapata kura nyingi za ndio!Okay
Unapo ongea ongea kwa fact kidogo..nataman kujua lilikiwa pandikizi kivipi ??
Na kwann mbowe asinge litimua chaman na kuweka mpinzan wa msigwa kufwata katib ya chama watu wapige kura..??
Maana watu wana haki yao kumchagua mtu wanae mtaka....
Imekaa km uchaguz wa mwenyekit wa upande ule huoni bado
Hilo la upandikizi naliandikia makala,thread nitakutag!