Mbowe aenda na jina la Msigwa mfukoni, Olle Sosopi atemwa

Sio sisiem hata chadema sijui cafu wote wale wale tu

Mnakisingizia na kukizushia Chama makini chenye washauri makini kama Mzee Kingunge,Wah.Mawaziri wakuu wastaafu Sumaye na Lowasa hawawezi kufanya "porojo" zenu mlizounda
 
Jamani tuonyeshe basi kuwa wapenda ukweli, tusiwe tunawalinda viongozi pindi wanapokanyaga haki za wanachama, sisi tunahitaji mazingira ambayo yatamruhusu kila mwenye ushawishi wa kisera,kimbinu na kimkakati aweze kushika nafasi, sasa leo ukimkosoa mtoa mada kisa kahoji ushindi wa Msigwa utakuwa hujui misingi ya kuanzishwa kw chama cha chadema,haiwezekani Mbowe awe mminya haki za baadhi ya wanachama
Mkuu hakuna mahali nilipomkosoa mtoa mada zaidi ya kumpa pole tu.inaelekea alikuwa na hasira sana wakati anaandika..Mbowe ni opportunist tu
 
Anaandika Boniface Mwabugusi

HAKIKA SIWEZI KULA CHAKULA KATIKA MEZA HII.

HATUNA UHALALI TENA WA KUMLALAMIKIA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI.
Mwenyekiti yule aliingia na majina ya Wagombea kwenye KARATASI MFUKONI ila Mwenyekiti huyu amekuja na majina yake yenye jina la wake kwenye MKOBA WA KOKOA.

Kimsingi sikuamini kama kuna weza kuwa na Maagizo.Asubuhi yaleo nilipata Ujumbe wa kinabii kuhusu UKWELI.Neno la Mungu ni Upanga ukatao kotekote kumbe nilipewa neno lile ili kujua kwamba mida hii nitalazimika kutoa neno hili.

Uchaguzi wa CHADEMA NYASA siyo tu ni uhuni uliovuka Mipaka bali ni viini macho maluweluwe na Hardakadabra za Kisiasa.Haiwezekani chama chenye uwoga wa Demokrasia namna hii ya ndani tu kijinasibu eti kina kwenda kuchukua Nchi mwaka 2020 labda nchi ya kufikirika.cHAMA CHA NAMNA HII NI HATARI KABISA NA IWAPO HAKI JIAMINI NA KINAKIMBIZANA NA KIVULI CHAKE CHENYEWE SIKU KIKIKUTANA NA KIVULI KINZANIA KITA UWA KWA BOMU.ETI WANAKATA WAGOMBEA WOTE NA KUTULETEA JINA LA MGOMBEA NA KIVULI CHA MTU ....KHAAA KARNE HIIII

Sihoji sifa za walio bebwa na Mbeleko hii wengi wanasifa stahili kabisa na najuwa wamelazimika kufika hapo kama mbinu shirikishi tu ya Kiti kufika hapo ...hao wengi wangeweza kupita kwa hiyari yao kabisa bila hizi ila kwa sababu TOTO PENDWA atapitaje ilibidi TOTO TUNDU AKTWE....Kumbe kale kaposti ka nimetumwa na chama kalikuwa na ukweli ...Wagombea wanafasi zingine ni watu waadilifu ila kwa Hofu ya Mwenyekiti wa Chama anaonekana kutaka kufanya kile anacho kiamini yeye kuwa ni sahihi na kuweka watu anao wataka yeye kumpigia vigelegele.Kwanini aminye demokrasia....kwanini vikao voiendeshwe na kukanyaga kanyaga katiba....Nivema tukajua chama hiki kina Katiba AU KINAONGOZWA NA FIKRA SAHIHI ZA MWENYEKITI MBOWE?! AIBU?!

Nilikuwa pale nimejisikia aibu kupindukia na sina TABIA YA KUSEMA UWONGO NA PENDA KUSEMA KWELI DAIMA NA KULIPA GHARAMA YA UKWELI HUO. CHADEMA kwa yaliyotokea Kanda ya Nyasa Mbele ya sehemu ya Kamati Kuu unafanyika utumbo na uhuni huu Sasa tunapata Viongozi kwa njia za kimachiaveli.....hILA,GHILABA NA USIGINAJI WA kATIBA ...tUNA HAKI GANI YA KUMKOSOA MAGUFULI...Tuna haki gani ya kumkosoa TULIA pale Bungeni...Tuna haki gani ya Kumlaani Jecha...Jecha alifuta matokeo sisi tunafuta wagombea UJINGA !

Hii ni aibu kubwa na Kuanzia sasa ni MNAFIKI...MBUMBUMBU ,**** NA MTU MWENYE TAAHIRA YA AKILI ATAKAYE KUBALIANA NA KAULI ZA HOVYO KAMA KUPINGA UDIKTEKTA WA MAGUFULI....SIJUI KUPINGA UDIKTETA WA TULIA ACKSON kwani kwa hila hizi za kusafirisha wajumbe kuja kushuhudia viini macho na maluweluwe TUNA LAZIMISHWA KUTHIBITISHA UNYUMBU KWA KUWEKA SAINI ZETU ZA VIDOLE....HII NI AIBU YA MWAKA NA MWENDA WAZIMU TU ATAKAYE KUBALIANA NA HILI.Kama Kamati Kuu inabusara kiasi hiki kwanini haikuwazuia wajumbe kwamba wasije kutoka huko waliko KAMA BUSARA ZA KITI ZINA TOSHA?!

Usiniulize kwamba ukaseme kwenye vikao vya chama mimi nitakujibu kwamba TUNAPO MKOSOA MWENYEKITI YULE WA CHAMA KILE HAPA HAPA BASI NA MWENYE KITI HUYU WACHAMA HIKI NA MAZINGAOMBWE YAKE TUTAMKOSOA HAPA HAPA.......

NIMEJISIKIA AIBU KUBWA KUWA SEHEMU YA HISTORIA HII YA KIJINGA ...SIWEZI KUKWEPA KUWAJIBIKA KWA KUKUBALI UJINGA HUU ....

Nilikuwa mbishi mara nyingi na nikipenda kusimama katika haki NI UHUNI NA UTAAHIRA KUENDELEA KUPIGA MBIZI KWENYE LAMI.

1. WATU WANAUWAWA
2.WATU WANASHITAKIWA
3.WATU WANA POTEA
4. WATU WANAFUNGWA

nimesema mara nyingi TUKIENDELEA KUPINGA UDIKTETA WA VIONGOZI HAWA TUSI SAHAU UKORA KATIA VYAMA VYETU ...TATIZO NI PALE UKORA UNAPOFANYWA NA ALIYETAKIWA KUZUIA UKORA.TUMEKWENDA HATUA 30 MBELE NA KURUDI NYUMA HATUA 29 NA KWA UJUHA TUTAKAA CHINI TUKIPONGEZANE ETI KUIONDOA CCM MWAKA 2020 .....TUKIFANIKIWA KWA NJIA HII HAKIKA HATA SHETANI ATAOKOKA.....HE BU ANGALIA TOFAUTI HII KURA ZA NDIYO 62 NA ZA HAPANA 44 yaani KIVULI NA MTU kwa nafasi ya mwenyekiti wana pishana kwa kura chache kiasi hiki nini maana yake?!

SIOGOPI KUSEMA UKWELI NITASEMA TU EVEN IF IT MEANS THE SKY TO FALL HAYA NI MATUSI KWA WATU WOTE WENYE AKILI TIMAMU NA MIMI NINALAANI KWA NGUVU ZOTE UPUUZI NA UJINGA HUU WA KIPUUZI KABISA...LETS COME AS IT MAY IAM READY TO PAY THE COST

Wajumbe halali ni 98
Waliosusia 28
Waliopiga kura ni 106
Kura za ndio kwa msigwa 62
Kura za hapana ni 44

Hii ikiwa na maana Ukichukua 44+28=72 ndio ulikuwa ushindi wa Sosopi. Kura zilizoongezeka kwa zile zilizopigwa ni 8
Yaan 106-8=8

Wajumbe waliopaswa kubaki ndani ukiondo waliokuwa wamekataa kuingia ndani ni 70 ni 98-28=70

Hii ikiwa na maana kulikuwa na wapiga kura 36 walioletwa na kuwa wajumbe wasio halali yaani 106-70=36
Hii inamaanisha kwamba katika hali ya kawaida hata kama wajumbe wale 28 wasingeingia kama walivyofanya mh Msigwa angeshinda kwa kura 26 tu 70-44=26

Yaani kwa ufupi kwa kutumia wajumbe halali
Sosopi 72 (73.5%)
Msigwa 26 (26.5%)
We kada enhee? Nakushauri ujikague tena kama upinzani usingekuwepo Tanzania cdm/ukawa wangepoteza nini? Anayefaidi upinzani ni maskini siyo ukawa, ila maskini ameshindwa kucheza karata vizuri ili aweze kuendelea.
 
Pole.sana kada wa ccm,CDM tunasonga mbele na tuwakumbushe tu.2020 afe kipa afe beki lazima JPM ang'oke kwa dalili zote
 
We kada enhee? Nakushauri ujikague tena kama upinzani usingekuwepo Tanzania cdm/ukawa wangepoteza nini? Anayefaidi upinzani ni maskini siyo ukawa, ila maskini ameshindwa kucheza karata vizuri ili aweze kuendelea.
Mi nimekaa zangu usiku huu nacheka sana unafiki wa vijana wa lumumba,eti na baadhi ya makamanda wenzetu nao wametekwa kiakili very.simple.Hivi si watu walikua kutwa nzima wananung'unika eti oooh mbowe anataka kuitawala CDM kwa kuweka pandikiz la mtu wa kaskazin.Sasa nyimbo yao ya CDM ni chama cha ukanda imekosa mdundo wamegeuka na wao makada wa CDM eti tulingane na wao kua democracy haipo CDM
 
Uovu hauhalalishwi Na uovu.

Jibu hoja hapo juu...
Sasa mbona wewe hapa unauhalalisha uovu, kwaiyo unalinganisha uovu wa sehemu fulani ili kulainisha pale unapoona panakufaa kwa uovu mlioufanya kwa kuonesha sio dhambi sasa hii ndio unataka utuambie nini hapa?
 
Watu walilalamika kuwa sosopi ni wa kaskazini sasa maamuzu yamezingatiwa atapangiwa majukumu mengine
 
Kwani lazima kila mjumbe awepo?Mbona BMK walipiga kura pamoja na UKAWA kutokuwepo?Mbona magufuli kapata kura mil 8 wakati waliojiandikisha ni mil 20?
yaani unatumia madhambi ya ccm kuharalisha uovu wa chadema. sasa kuna ulazma gani wa kuitoa ccm madarakani kwa kisingizio cha udikteta wakat upinzani na nyny ni madikteta?

Ndio,Magufuli ni dikteta zaidi
zaidi ya nani?
 
Lakini Vijana Wa Lumumba Walilalamika Sana Humu Jf Kuwa Uwepo Wa Sosopi Ni Mwendelezo Wa Ukaskazini . Mbowe Akaona Ni Heri Kubaka Demokrasia Kuliko Dhambi Ya Ubaguzi Wa Kikanda.. Kina Lizaboni Na Wenzake Wamesikilizwa Mawazo Yao
Wangeenda katika sanduku la kura
 
ikumbukwe kuwa hapo alipo huyo Sosopi ni mchango mkubwa wa Msigwa,alimpigania kugombea nafasi hiyo na kushinda,na Msigwa ndio aliompigania akashinda kura za maoni kugombea ubunge dhidi ya Mama Chiku Abwao ktk jimbo la Isimani.
Kwahiyo kama alipiganiwa basi ndio jina lake likatwe, katika hili Chadema wamekosea hakuna sehemu yoyote ya kidemokrasia katika ndani ya Chadema wamewai kufanya vizuri na kua kielelezo, mara nyingi Mbowe amekua akipanga safu yake.. Hakuna utetezi wowote mtakao utoa.. Tuache demokrasia ifanye kazi
 
Mi nimekaa zangu usiku huu nacheka sana unafiki wa vijana wa lumumba,eti na baadhi ya makamanda wenzetu nao wametekwa kiakili very.simple.
Bora unafiki wa vijana wa Lumumba kuliko wa Chadema..

Chadema walisema Lowasa fisadi.. Baadae Lowasa sio fisadi.. Na sasa hivi anaijenga Chadema..
 
Kuna alieelewa kidogo anifanyie ufupisho?
Soma upya mkuu
Nilivyo muelewa mbowe hajafwata katiba...
Kaja na.jina mfukoni,so jamaa analalamika chama ambacho kilitakiwa kiwa mfano wa kuigwa nacho kinafwata nyendo zilezile


Kiufupi
CHADEMA na CCM ni wale wale

Jamaa nimemuelewa.vizur sana hata Mzee wangu.HASHIMU RUNGWE nazan kamuelewa
 
yaani unatumia madhambi ya ccm kuharalisha uovu wa chadema. sasa kuna ulazma gani wa kuitoa ccm madarakani kwa kisingizio cha udikteta wakat upinzani na nyny ni madikteta?

zaidi ya nani?
Elewa mantiki,Sio kukurupuka!
Ccm itoke madarakani maana imeishiwa pumzi!Hayo mambo sijui ya mwenyekiti mkoa ndio iwe angle yenu,ni upuuzi tu!
Kuna watu wanapenyeza mapandikizi,lazima yazuiwe kwa namna yoyote!
 
Soma upya mkuu
Nilivyo muelewa mbowe hajafwata katiba...
Kaja na.jina mfukoni,so jamaa analalamika chama ambacho kilitakiwa kiwa mfano wa kuigwa nacho kinafwata nyendo zilezile


Kiufupi
CHADEMA na CCM ni wale wale

Jamaa nimemuelewa.vizur sana hata Mzee wangu.HASHIMU RUNGWE nazan kamuelewa
Pandikizi limedhibitiwa ndio maana mnaona yowe!
 
Ccm ndio wamepanic,pandikizi lao limefeli kupenya,kiufupi wamelichomoa!
Okay
Unapo ongea ongea kwa fact kidogo..nataman kujua lilikiwa pandikizi kivipi ??

Na kwann mbowe asinge litimua chaman na kuweka mpinzan wa msigwa kufwata katib ya chama watu wapige kura..??

Maana watu wana haki yao kumchagua mtu wanae mtaka....

Imekaa km uchaguz wa mwenyekit wa upande ule huoni bado
 
Back
Top Bottom