JFK wabongo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2015
- 3,887
- 3,189
Hutaelewa hadi siku yakukute. Siku jina lako likikatwa utajua maana ya hiki alichokiandika.Kuna alieelewa kidogo anifanyie ufupisho?
Hutaelewa hadi siku yakukute. Siku jina lako likikatwa utajua maana ya hiki alichokiandika.Kuna alieelewa kidogo anifanyie ufupisho?
Tatizo letu tuna judge kwa kutumia maelezo ya upande mmoja mlalamikaji, na wengi wanaopiga kelele ni Lumumba, think twice.Km CCM mwenyekiti aligombea peke ake ndio CHADEMA nao waige upuuzi wao?
Sasa tofauti itakuwa wapi kati ya chama cha magamba na chama cha demokrasia huoni km wote wana sail ktk same boat?
Hold up,una maana gani?Mimi huwa siwaelewi wachangiaji wengi humu JF!Ccm haiwezi kutoka madarakani kama hamjitofautishi nayo kabisa, nyie mna fikiri kuwa mkifanya madhambi watu wata wachekea simply kwa kuwa siyo chama tawala!!? Hakuna kitu kama hicho sisi kama wana nchi tuna jaji vyama vya siasa kisawasawa.
Na huwa nawacheki hata hapa kwenye forum mtu akiwakosoa mnapanic sana, kwa mfano umesema jamaa kakurupuka but he is a citizen ana toa girevances zake, kwa nini msiheshimu kukosolewa!?, sasa kama kipindi ni wapinzani mnatujibu jeuri hivo wapiga kura wenu nani ata fikiria kuwaamini awakabidhi madaraka!!? Msi itaje tu demokrasia bali hiyo demokrasia ionekane ikitendeka, arrogance haitawapa madaraka.
Hii kali, leo Mzee Tupatupa kasahau kuandika location. Nilizoea kuona vibwagizo 'Mzee Tupatupa - Lumumba, Dodoma n.k Hii habari kweli 'kitorondo, kitorondo, nyumba ya shetani mwendawazimu kaingiaje?'Kada mwenzangu wa CCM,waachie CHADEMA mambo yao. Tangu lini kura za hapana na za waliosusia zinahesabiwa? Ingekuwa hivyo,CCM tungekuwa tunashinda wapi?
Mzee Tupatupa
Kwa hiyo mtu akilalamika na kukosoa anapigwa kibuti...Mb
Mbona unalalamika, si uanzishe chama chako
Kama lipumba aliyekuwa mwenyekiti cuf Taifa alipenyezewa rupia,itakuwa huyo!duuh ama kwl ccm ni balaa, yaan sosopi ambaye ndo makamu mwenyekit BAVICHA kumbe ni pandikizi lao, duu CCM ni balaa kwa kweli.
Kama hujui taratibu za uchaguzi Marekani bora kunyamaza.Hukuona clintoni alivyochaguliwa na wananchi wengi lakini uraisi kaukosa.
Mimi si mwamachama wa Chadema na wala simjui huyo Sosopi ila maomba kukuuliza swali moja tu,[HASHTAG]#Inauma[/HASHTAG],[HASHTAG]#inakatisha[/HASHTAG] [HASHTAG]#tamaa[/HASHTAG]
pole sana patrick ole Sosopy
kilichofanyika leo kwenye uchaguzi wa chama kanda ya Nyasa na chama chetu ni [HASHTAG]#shambulio[/HASHTAG] dhidi ya mfumo wa demokrasia kwa sisi wote tuosimama na kupigana kuheshimika kwa misingi ya demokrasia ndani ya taifa letu
Ipo wapi People'spower yaani mamlaka yote ya Viongozi yanatoka kwa wanawachama
kitendo cha mwenyekiti wa chama taifa na kamati kuu kwenda na jina la mgombea kwenye mkoba ni ukiukaji mkubwa wa demokrasia hususani haki ya kuchaguliwa na kuchagua
kitendo cha kumkata makam mwenyekiti Bavicha Taifa Patrick Ole Sosopi na kumuacha mbunge Peter Msigwa Kupita bila kupingwa kwa kupigiwa kura ndio au ya hapana ni sawa na kuturudisha Nyuma miaka 30 iliyopita ambako wazazi wetu walifanya hivyo kipindi cha mwinyi
Kwa kitendo hiki kinatunyima na ni sawa na kujivalisha pingi mkutononi juu ya kupinga Ukiukaji wa misingi ya demokrasia ndani ya taifa
hatuwezi kumkosoa magufuli
tujisahihishe
im very dissapointed
Tumemkata Sosopi kwa maslahi mapana ya chama..... Na Tumempitisha Msigwa kwa maslahi mapana zaidi ya chama ..
Msigwa amegombea peke yake Kanda ya Nyasa.... Yaani Msigwa na Kivuli.
Kura za ndiyo alizopata Msigwa ni 62
Kura za hapana. 44
Wajumbe waliosusia kikao ni 28.
Hapana ni 44 + Waliosusia kikao ni 28 =Jumla 72.
Hivyo Msigwa amepata kura 62 sawa na 58. 46.
Hivyo Sosopi asingelikatwa angepata kura 72 dhidi ya kura 62 alizopata Msigwa.
Kuna la kujifunza hapo.
Tatizo letu tuna judge kwa kutumia maelezo ya upande mmoja mlalamikaji, na wengi wanaopiga kelele ni Lumumba, think twice.
Mzee TUPA TUPA subiri hangover iishe ndio ukae na kusoma tena mleta mada ana maana gani, acha ujinga bwana maana jina lako hapa linaheshimikaKada mwenzangu wa CCM,waachie CHADEMA mambo yao. Tangu lini kura za hapana na za waliosusia zinahesabiwa? Ingekuwa hivyo,CCM tungekuwa tunashinda wapi?
Mzee Tupatupa
Kali kwako kwa sababu huna akili, ile ni automatic signature ambayo ukiseti kila mwisho wa sentesi yako ni lazima itokee, kama ulikuwa unadhani Tupatupa kila post huwa anaandika neno Lumumba basi pole sana bado unaishi zama za mawe.Hii kali, leo Mzee Tupatupa kasahau kuandika location. Nilizoea kuona vibwagizo 'Mzee Tupatupa - Lumumba, Dodoma n.k Hii habari kweli 'kitorondo, kitorondo, nyumba ya shetani mwendawazimu kaingiaje?'