Huyo ni mmoja wa waandamanaji cheki wanavo mdhiditi usala kwanza kwa wote police na Mwandamanaji! Sijui ingekuwa bongo hapo angekuwa kaisha pata nini kari ya Risasi ya Moto na Bomu la machozi??
Hapa lazima itakuwa china tu make huwa hawana mchezo! Niliwahi kusikia kuwa kuna mwaka wanafunzi chuo kikuu waliandama rais akaamuru vifaru viende vvikawakanyage na kuwacrash du!
Tatizo police wetu wamaleta hasira binafsi utasema wao ndio wamekosewa kumbe mtu kavunja sheria iliyotungwa na serikali alafu yeye kama police role yake ni kuhakikisha mtu anakamatwa anapelekwa kunakohusika lakini wao wanakuja na hasira binafsi huku wakiwaza jamaa ANADHALILISHA JESHI endapo itaonekana wamezidiwa nguvu (hapa ndio shida badala ya kuangalia sababu zilizofanya raia kuwazidi nguvu wao wanatumia nguvu kupita kiasi kikubwa waonekane washindi wao)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.