Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,744
Hawawezi kuwa Masultani wadogo wakati wapo kwenye mapambano ,watapimwa watakapo itia nchi mikononi.Una hakika kuwa hao wanamapinduzi wanaotakiwa kumuondoa Sultani toka madarakani na wao sio masultani wadogo?
Utasemaje Lowasa kuwa si fisadi wakati CCM yote ni mafisadi japo wanajaribu baadhi yao kujipapatua.