Petition: Mradi wa Maji Kutoka Ziwa Victoria Uitwe Edward Lowassa Channel

Huihui2

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
5,277
8,000
Mengi yamesemwa kuhusu mchango wa Edward Lowassa akiwa Waziri wa Wizara mbalimbali na akiwa Waziri Mkuu.

Katika mazuri aliyofanyia Taifa ni kuongoza nchi za ukanda wa mto Nile (Riparian states) kupinga Mkataba wa Waingereza na Egypt wa mwaka 1929 kuhusu matumizi ya maji ya mto Nile.

Waanaofaidika na miradi wa maji ya Ziwa Victoria ni kazi ya Lowassa, tunamkumbuka na kumshukuru kwa hilo.

Petition: Mradi huo wa maji kutoka Lake Victoria uitwe Edward Lowassa Channel ili kulinda historia hii.
 
Petition: mradi huo wa maji kutoka Lake Victoria uitwe Edward Lowassa Channel ili kulinda historia hii.

Naunga mkono hoja
 
Kwamba miradi yote ya maji kwa ukanda wa ziwa iitwe Lowassa au unaimanisha mradi upi maana kuna miradi mingi inayotoa maji ziwa Victoria kwenda sehemu mbalimbali

Halafu mbona mtu akifa huwa mnataka apewe sifa nyingi sana!
Ndiyo kwamba ya Richmond na Escrow yameshasahaulika?!

Ama kweli hujafa hujasifiwa
Kiongozi wa serikali kufanya majukumu yake siyo hisani ni wajibu!.
 
Acha kumuonea wivu marehemu.
 
Kwa hiyo ndugu hujamsikia hata Rais Samia akimsifia kuhusu mradi wa maji wa Lake Victoria?
 
Mengi yamesemwa kuhusu mchango wa Edward Lowassa akiwa Waziri wa Wizara mbalimbali na akiwa Waziri Mkuu.

Katika mazuri aliyofanyia Taifa ni kuongoza nchi za ukanda wa mto Nile (Riparian states) kupinga Mkataba wa Waingereza na Egypt wa mwaka 1929 kuhusu matumizi ya maji ya mto Nile.

Waanaofaidika na miradi wa maji ya Ziwa Victoria ni kazi ya Lowassa, tunamkumbuka na kumshukuru kwa hilo.

Petition: Mradi huo wa maji kutoka Lake Victoria uitwe Edward Lowassa Channel ili kulinda historia hii.
Naunga mkono hoja
 
Mengi yamesemwa kuhusu mchango wa Edward Lowassa akiwa Waziri wa Wizara mbalimbali na akiwa Waziri Mkuu.

Katika mazuri aliyofanyia Taifa ni kuongoza nchi za ukanda wa mto Nile (Riparian states) kupinga Mkataba wa Waingereza na Egypt wa mwaka 1929 kuhusu matumizi ya maji ya mto Nile.

Waanaofaidika na miradi wa maji ya Ziwa Victoria ni kazi ya Lowassa, tunamkumbuka na kumshukuru kwa hilo.

Petition: Mradi huo wa maji kutoka Lake Victoria uitwe Edward Lowassa Channel ili kulinda historia hii.
Waanaofaidika na miradi wa maji ya Ziwa Victoria ni kazi ya Lowassa, tunamkumbuka na kumshukuru kwa hilo.
 
Kwa ule ujasiri (kupingana na mkataba wa kikoloni na kujenga hoja mbele ya nchi nufaika za maji ya Ziwa Victoria) na umakini wake katika kuwezesha huo mradi wa maji, hakika anastahili kwa 100%.
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Lowassa apewe maua yake.
 
Kingereza kweli tatizo

Uitwe Lowasa Channel? Aiseee kazi ipo .Walimu wa kingereza kazi kwenu
 
Screenshot_20240217_171951_Google.jpg
 
Back
Top Bottom