Mazuri ya Edward Lowassa

Sikumbuki mazuri yake ila ntasema "Mazuri tunayomfanyia sisi wananchi na kodi zetu"
a) Anapata kiinua mgongo (pension) kama "retired PM ambayo ni amount nzuri kwelikweli! japo ni mwizi na mhalifu
b) Bado ni MP japo hajatutendea vema wananchi wa TZ kama PM kashfa kibao
c) Hajapelekwa mahakamani kama Mramba, Yona, Mgonja etc kwanini? I can't wait that happening.
 
a]ni ishu ya katiba hiyo hata waliopita wanapata hiyo kiinua mgongo,umemuona huyu tu ndio mchafu?

b]ni jambo ambalo ni la wananchi wa monduli kuamua kumuondoa au kumwacha mwakani,kama nawe ni mmoja wao hamasisha mmpinge asirudi mjengoni.

c]uchunguzi[kama upo]unaendelea
 
a) Yes ni yeye pekee ndio amedhihirisha bila hofu kwamba ni mchafu -soma ripoti ya Mwakyembe hakuna PM mwingine -kimsingi kuendelea kumlipa mafao kutokana na kodi zetu ni favour au huruma tu ya wabongo
b) Jihamasishe na wewe kutokuwapigia mafisadi hata kama ni ndugu zako popote walipo ikiwemo monduli hakika hatopata kitu mwakani labda aibe
c) Sidhani hata kama anachunguzwa ingekuwa hivyo safi ntafurahi akipelekwa mahakamani kama wenzake.
 
mbona nchi ingeendeea, jamaa alikuwa mtenda kazi mzuri sana, aneweza kuwafunika kikwete na kina pinda wote, na alikuwa anamsaidia sana jk kwenye urais wake na kama lowasa bado angekuwepo madarakani, nakwambia kungekuwa na badiliko fulani....achana na richmond, ktk hao wote uongozini hakuna mtakatifu. walimtoa muhanga tu ila wengi wapo na hatuna proof kwamba alikula rushwa so hatuna la kusema. ninamshukuru sana kwa kuhamasisha ujengaji wa shule za kata ambazo watoto wengi wamesoma hadi sasa hata kama walimu wachache, at least we have school buildings, angeendelea hata hao walimu wangekuwepo tu...pinda hafanyi lolote, ukimjumlisha na kikwete ndo hamna kitu kabisa...bora lowasa pengine angekuwa anawaficha kidogo.
 
Msitake kuifanya Tanzania haina watu wengine wenye akili wanaoweza kuiongoza nchi. Kwa nini turudie matapishi? Lowassa anayo kesi kubwa ya kujibu kwa Watanzania kwa sababu ameihujumu nchi kwa kutumia vibaya madaraka yake. Ni fedha ngapi Tanzania imepoteza kutokana na Richmond? Angelistahili kabisa kutakiwa airejesheee nchi hasara iliyotokana na mkataba huo tata na feki. Lowassa ndiye aliyetia sahihi ujenzi wa jengo la Vijana lililozua utata mkubwa. Huyu jamaa ambaye amekuwa akitumia vibaya madaraka yake ndio mnataka arudi tena kumaliza nchi?

Hata hizo shule mnazosema alijenga, alitumia mabavu zaidi ya kutumia akili. Utajengaje shule bila kuwa na uhakika wa walimu watakaofundisha kwenye shule hizo. Tulipopata Uhuru viongozi makini na waliokuwa na akili vichwani mwao walianza kwa kufundisha wananchi. Mara baada ya Uhuru vyuo vilivyokuwepo vilipanuliwa na vingine kujengwa ili watakaohitimu waweze kufundisha wengine. Lakini nyie wenzetu mnashabikia shule ambazo hazina walimu wala madawati! Ama kweli akili ni nywele kila mtu ana zake!
 
M

ndo we wakuuliza utajenga nyumba kama hauna uhakika wa mtu kuja kukaa? ndiyo, jenga kuna siku tu mtu mhitaji atajitokeza kuja kukaa kwenye hiyo nyumba, so are for schools, kama alijenga bila kuwa na uhakika na waalimu mbona walimu wanazaliwa kila siku, si bora hata hizo zipo? na kama unasema alitumia mabavu, bora anayetumia mabavu kufany akitu kinachoonekana kuliko anayetumia maneno laini halafu hakuna chochote kinatendeka. haujui kama udictator wakati mwingine ni bora kuliko demoncracia?
 
Namkubali sana mzee pinda, namkubali sana huyu kiongozi wangu wa nchi kwa kuwa ni mchapakazi.lkn ningalitamani waziri mkuu mstaafu El kurudi tena bungeni na kuwa waziri mkuu , kwani licha ya kuwa mkali kwa watumishi wabovu, lkn pia utendaji kazi wake hasa pale alipoamuru bandari ya dsm kufanya kazi masaa 24 pale nimemkubali na matunda yake tumeyaona

Ni kweli kabisa,i really miss him too in Tanzania leadership anamabaya yake but mazuri ni mengi kuliko mabaya hope 2015 atarudi
 
Ni kweli Lowasa alikuwa mtendaji mzuri na uwajibikaji wake safi lakini. Hivi kama mtu ulikuwa Shehe au Padri au Mchungaji alafu siku Ukafumaniwa Na Mke wa mtu. Hivi wewe utakuwa bado unafaa kuendelea na hivyo vyeo?!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:painkiller:
 
lw mchapa kazi mzuri sana,hata mie natamani arudi hata kesho huyu jmaa mwingine ni bendera fata upepo,mi sijui hata anafanya nini
 
mbunifu alibuni njia 3 dar kupunguza foleni,amewezesha maji ya ziwa victoria kutumika kahama kwa kuukataa mkataba wa wakoloni na egypt,alianzisha mradi wa maji dar hatimae wachina wakalaza bomba maeneo mengi cha ajabu kaondoka dawasa wanasema hawana source ya maji kupitisha ktk miundombinu mipya,alimkalia makamba kooni barabara ya shekilango ikajengwa,alikua hataki kabisa report za uongo.imagine lowasa rais,magufuli waziri mkuu nchi ingesonga mbele
 
ndo we wakuuliza utajenga nyumba kama hauna uhakika wa mtu kuja kukaa? ndiyo, jenga kuna siku tu mtu mhitaji atajitokeza kuja kukaa kwenye hiyo nyumba, so are for schools, kama alijenga bila kuwa na uhakika na waalimu mbona walimu wanazaliwa kila siku, si bora hata hizo zipo? na kama unasema alitumia mabavu, bora anayetumia mabavu kufany akitu kinachoonekana kuliko anayetumia maneno laini halafu hakuna chochote kinatendeka. haujui kama udictator wakati mwingine ni bora kuliko demoncracia?

"Mpenda chongo huita kengeza".
 
Jamani mimi i looove Lowasa, yes anamapungufu lakini kazi anafanya bwana watu walikuwa wanamwogopa. Alikuwa hasiti kufanya decision mtu anayeweza kuamrisha watu kuwa sasa hv kuna foleni sana tufanye nini and then wanakuja na njia wanajaribu (njia tatu). Pia nakumbuka kuna jamaa singida alikosea prevelence ya HIV jamaa alituma watu the same week kwenda kuangalia hali halisi kule. Na all in all jamaa na watumishi wabovu ilikuwa ni tofauti kabisa na walikuwa wanamuogopa. Harafu alimbeba sana kikwete mwanzoni. Mrudishenio jamani
 
tatizo wenye hila na wavivu wako wengi sana na ndio waliomzulia mambo yoote hayo kuwa Lowasa fisadi. Lowasa ni tajiri toka siku nyingi na lishawahi kumpeleka Kikwete na private Jet Butiama ndo mwalimu akalalamika. Hivyo wavivu walimpikia majungu tuuu ili wanendelee kutega na ndo maana jamaa alikuwa na hasira sana siku ile bungeni maana alijua.
 
hahhhaa unajua ni bora uwe na mtu mwenye mapungufu lakini kazi anafanya kuliko uwe naye mwenye mapungufu kazi hafanyi. Mapungufu (kept constant)
 
huyu jamaa ni mtenda kazi safi, tz hatuhitaji watu waliozubaa, wenye maneno malaini vitendo vichache...kitendo chake cha kushabikia matumizi ya maji ya victoria kilimfanya mkuuu wa nchi kumchukua kwasababu jk ana interest na waarabu wa kaskazini....hatujui waliongea nini na waarabu na alipewa nini hata akamtosa rafiki yake kipendi aliyemsaidia sana kuupat ahata huo urais.....unafikiri ulikuwa ni uaminifu wa jk au usafi wake? nooooo, bora lowasa kuliko kikwete na pinda. mara mia.
 
Harafu Malaria usimfananishe Lowasa na Pinda. Pinda ni mwanasiasa, wanasiasa bomba linavuja hapa anakwambia wameshalidhibiti na halivuji tena wakati wewe unaona linavuja. Kwa hiyo pinda hajafanya kitu cha kugusa watu wengi zaidi ya kulia bungeni. Lakini Lowasa mlimuona wenyewe kule Dawasa, bjia tatu, mkuu wa mkoa n.k
 
huyu jamaa ni mtenda kazi safi, tz hatuhitaji watu waliozubaa, wenye maneno malaini vitendo vichache...kitendo chake cha kushabikia matumizi ya maji ya victoria kilimfanya mkuuu wa nchi kumchukua kwasababu jk ana interest na waarabu wa kaskazini....hatujui waliongea nini na waarabu na alipewa nini hata akamtosa rafiki yake kipendi aliyemsaidia sana kuupat ahata huo urais.....unafikiri ulikuwa ni uaminifu wa jk au usafi wake? nooooo, bora lowasa kuliko kikwete na pinda. mara mia.

Kaka tatizo watu tunasikiliza maneno ya wanasiasa wakizulumiana bungeni na kutupotezea viongozi wazuri kwa maslahi yao binafsi. Akina mwakyembe wale hawana hata uchungu na nchi walikuwa na interest zao lakini walijua jamaa akiwepo hakipiti kitu pale. sijaona mtu pale, hivi kumbukeni hosea alipoibua issue ya posho mbili mliwasikia waheshimiwa wapenda nhci wameongea? na ilipotokea pesa za majimbo bunge zima liliunga mkono. angalieni jamani ....
 
Back
Top Bottom