Mazuri ya Edward Lowassa

Mzalendo halisi..Lowassa hajajenga shule ya wasichana Monduli (Maasae Girls Secondary School) Hii shule imejengwa na fedha ya wafadhili (makanisa ya kilutheri) kutoka Marekani. Mwanzilishi wa hii shule ni mzee mmoja hivi anaitwa David Simonson na mkewe Eunice wote wamarekani waliyelowea Tanzania, Dave alikuja kama mmisionari miaka mingi sana na anaishi Ilboru Arusha. Ila Lowassa alipata kuwa kwenye bodi ya hiyo shule miaka ya nyuma na sio sasa hivi.

Capitol Hill, you are right, mzee Simonson na mke wake, mama naomi (Eunice)ndio waanzilishi wa shule ya wasichana wa kimasai monduli. huyu mzee amesaidia sana kuwaendeleza wamasai kielimu.Lowassa hastahili kupewa credit za kujenga hiyo shule. Selian Lutheran hospital vile vile imejengwa kwa juhudi za mzee Simonson kutafuta sponsors marekani.
 
Majuzi nimesema kila muosha maiti naye lazima ataoshwa tu . Lowasa aliosha hakujua haya na yeye ameoshwa analalamika .Ama kweli wanadamu .
 
Nnaamini kabisa kuna mazuri aliyofanya..Je ni yapi hayo?

sidhani kama kunahaja ya kuyazunguza mazuri maana hiyo ndio ilikuwa kazi yake kuwafanyia mazuri taxpayers, nazaidi ya yote anatakiwa akelekwe mahakamani,avuliwe ubunge(kama aluitumi vibaya uPM atawezaje ubunge-SI MWADILIFU, afilisiwe na afungwe
 
Tunaomba spindoctor wa Lowassa achukue likizo na apumzike kama bosi wake. Hatuna interest in creating a false legacy for him.
In short Lowassa personally was
- Short-tempered
- Abusive
- Aggressive
- pursued intensively his personal interest
- a Bully
- greedy
and the list goes on.
His legacy - he left the nation with billions of shilings debt and a disfunctional economy with no surplus and a weak infrastructure.
Goodbye Lowassa and Good riddance

You will only enter the history books as a by line for being the lousy person you are and lousy job you did!
 
Mkuu, ukweli ni kwamba binadamu tuna hulka ya kupenda kuona mtu mwingine akianguka, tena basi mkubwa akianguka anakuwa na kishindo kikubwa na watu wengi zaidi wanafurahi. Sasa hapa kuna extremes; ukiwa mwema sana(wachache sana hawa) wengi watasikitika. lakini kama unamapangufu tena basi ya kawaida tu(hawa ndio wengi) utasikia miluzi ukianguka! Watu hupenda dramatic happenings!
Nikirudi kwenye hoja;
1. Mchapakazi kwelikweli (Uliza mtu yoyote ndani ya bongo alie wizara ya mifugo, wanamuita baba huyu kwa kuwarekebishia mambo).
2. Ni lobbyst bab kubwa, kitu ambacho kwa throat cutting competitions za sasa ni muhimu sana kwa kiongozi.
3. Mfuatiliaji mzuri wa issues.

Yote haya hayafuti madhambi yake hata kidogo! Vitu kamaa tamaa ya kujilimbikizia mali, jazba, nk.

Ni kweli maana kama ndio ingekuwa hivyo basi hata wale wezi wa kuku manzese wanaopelekwa keko au kuuawa na wananchi wenye hasira basi nao wasiende huko maana wana mazuri tena mengi tuu ambayo wameyafanya, hiyo hebu jaribu kumtupa huyu jamaa EL kwa wananchi wenye hasira hasa kandokando za ofisi za tanesco (akiy=tane na wanaoenda kulipa bill)

mi simo bwana
 
Mkuu, ukweli ni kwamba binadamu tuna hulka ya kupenda kuona mtu mwingine akianguka, tena basi mkubwa akianguka anakuwa na kishindo kikubwa na watu wengi zaidi wanafurahi. Sasa hapa kuna extremes; ukiwa mwema sana(wachache sana hawa) wengi watasikitika. lakini kama unamapangufu tena basi ya kawaida tu(hawa ndio wengi) utasikia miluzi ukianguka! Watu hupenda dramatic happenings!
Nikirudi kwenye hoja;
1. Mchapakazi kwelikweli (Uliza mtu yoyote ndani ya bongo alie wizara ya mifugo, wanamuita baba huyu kwa kuwarekebishia mambo).
2. Ni lobbyst bab kubwa, kitu ambacho kwa throat cutting competitions za sasa ni muhimu sana kwa kiongozi.
3. Mfuatiliaji mzuri wa issues.

Yote haya hayafuti madhambi yake hata kidogo! Vitu kamaa tamaa ya kujilimbikizia mali, jazba, nk.

Ni kweli maana kama ndio ingekuwa hivyo basi hata wale wezi wa kuku manzese wanaopelekwa keko au kuuawa na wananchi wenye hasira basi nao wasiende huko maana wana mazuri tena mengi tuu ambayo wameyafanya, hiyo hebu jaribu kumtupa huyu jamaa EL kwa wananchi wenye hasira hasa kandokando za ofisi za tanesco (akutane na wanaoenda kulipa bill)

mi simo bwana
 
Lowassa pamoja na ufisadi wake

Ni mfuatiliaji wa mambo pale anapoona atapata big credit kwenye public(mfano kunapotokea natural disaster ni wa kwanza kufika kwenye eneo husika)

jamani hiyo mbona ni kazi yake hapo apewe sifa ya nini
 
Hi guys!!

Tunasahau issue moja touching, tumuombe Mkuu wa Kaya aagize pasi yake na maswahiba wake izuiliwe hadi wasifa wake utakapo julikana. Iam serious on this!!
 
Mazuri yapi umeyaona?Ubabe?uporaji wa kodi zetu?

Nenda bandarini hapo TICTS kwenye kampuni ya Karamage na RA kama kuna lolote alifanya la maana zaidi ya kutembelea kuona dili zinaendaje na kutoa matamko yasiyotimizika mpaka leo.

wakati alipewa dhamana ya kutuongoza akatuibia mali zetu?

La kuvunda halina ubani?

Let him face casualty
 
Alikula rushwa sana,wakati alipokuwa waziri wa ardhi.
Kazi yake nakipato chake havilingani.
Anajuana sana namatajiri kuliko maskini.
Hulipa fadhila kwawana mtandao.
Nahulipa kisasi navitisho kwayule anaaemnyooshea kidole.
 
burningman_468x625.jpg

tuyaseme mazuri ya Lowassa baada ya yeye kufanyiwa kama huyu mjamaa,na ndio dawa ya mafisadi.steveD nimekosa Tools tu,kazi kwako..hope you know what i mean.

Source:daily mail Website.
 
Picha ya kusbulibiwa, thats pathetic, lakini its unfortunate kwamba nchi yetu tumeona ushabiki huo ndiyo utatusaidia kwenye maendeleo yetu.

Kwa haraka haraka,ninayokumbuka mimi;
OFISI YA WAZIRI MKUU (WAZIRI WA NCHI)
-Akiwa chini ya Malechela, tulimuona sana akisimamia vizuri sana kitengo cha natural disasters, kabla hajaiinga, hatukujua kama kipo na alifanikiwa sana.
- Akiwa kama Chief Whip bungeni, wakati Mzindakaya anasoma hotuba ya kuunga mkono kuthibitishwa kwa EL, alisema kwamba EL ndiyo aliyoleta hoja ya wabunge kukopeshwa magari, enzi hizo.
WAZIRI WA ARDHI
-Kabla hajaingia, it was a dead ministry, na wengi wetu tulikuwa hatujaisikia. Kipindi hicho ndiyo alismamia ile 'sera ya ardhi'
-Wakati huo wahindi walikuwa ndiyo wafalme pale wizarani, akaagiza kuvunjwa kwa mabati pale mnazi mmoja, na wengine wenye shule hapo upanga.
MAKAMU WA RAIS (WAZIRI WA NCHI)- MAZINGIRA
- Aliongeza sana awareness ya mambo ya mazingira nchini. Kizuri nikwamba EL ni mtu wa field, na alismamia mambo vizuri sana chini ya Dr Omar.
WAZIRI WA MAJI NA MIFUGO
- Kwenye wizara hii alifanya mambo ya kihistoria sana. Mambo ya mifugo yalikuwa yamekufa kabisa - ukienda sehemu yoyote mchini leo kwenye jamii za wafugaji, wanafahamu mkombozi wao ni nani, milele sekta ya mifugo haiwezikuandika historia yake bila kutaja jina la EL.
- Kwenye sekta ya maji, alijaribu kuonyesha tofauti. Ni sekta inayohitaji uwekezaji mkubwa sana. Chini yake, serikali illingia mkataba na City Water, thru World Bank, na baadaye akaja kutangaza kuuvunja, na mwaka huu tulisikia serikali imeshinda kesi na kulipwa pesa... Sikumbuki nani mwingine amewahi kufanya hivi nchini. SAsa hivi Dawasco aliyounda kwa kutumia wabongo peke yao is a big success story.
- Ziwa Victoria, nisiseme sana. Rafiki yangu mmoja mwandishi wa habari alikwenda na EL kwenye ziara kule Egypt kipindi hicho, walipokelewa kijeshi kama ziara ya rais,wakauliza kwanini, wakaambiwa ni ulinzi against wamisri waliokuwa na hasira. Watu wote wa kanda ya ziwa watamkumbuka milele wakati wakifungua mabomba yao kutumia maji yale. Hiyo treaty ya kikoloni ilivunjwa na EL, na akapata support ya Mkapa kupata fedha za ndani kufanya huo mradi.
WAZIRI MKUU
- Kusema ukweli, kazi iliyofanyika kwenye ofisi hiyo kwa kipindi cha miaka miwili ni y kutisha, sijui nianzie wapi. Wafanyakazi wa PMO walkija ofisi yetu, walikuwa wakituelezea mchakamchaka wa vikao kila siku na mwaziri tofauti kusimami mambo.
- Ambslo wengi tuliliona machoni ni jambo la elimu, tukumbuke baada ya miaka kumi, maana 2018, tutakuwa na vijana ambao wanaingia kwenye ajira, baada ya kumaliza sekondari na vyuo, kama siyo presha ya huyu jamaa, labda wangekuwa mtaani.

"Mnyonge mnyongeni, haki........"

Mtu mwingine anasema huyu ametuibia fedha za umma, tunaomba mfano mmoja tu wa ukweli - siyo minong'ono ya richmond - , au angalau utuambie rafiki mmoja wa kihindi aliyonaye huyu EL...

Ksms watu tutahoji staili yake ya kazi, tutakubaliana kwamba ilikuwa inampa maadui, kwahiyo alivofika juu, wakaona ni rahisi zaidi kumtungua.

Mimi isyo mchangiaji wa mara kwa mara, kwasababu nina safari za mikoani nyingi, lakini nimesema nichangie kuwapa wtu objectivity kwenye michango yenu. Tuendelee kumwombea rais yetu na serikali yetu ituvushe, bado safari ni ndefu... EL ametimiza wajibu wake, ndiyo shukrani tunayompa, basi na sisi twendeni tukatimize wajibu wetu.
 
KGBtz,

Sifa nyingi ya unazosema ni magazeti tu walimpa sifa kwani aliwahonga pesa nyingi ili kumpandisha kisiasa!

Hata hivyo heshima kubwa EL ni kuamua kujiuzulu- huu ni mfano wa kuigwa Tz na Afrika yote!
 
Naungana na baadhi ya waungwana hapo juu kuwa EL kuna mazuri aliyo yatenda ambayo aliya fanya kwa kulinda mitego ya ufisadi ndani ya serikali! Huyu jamaa wakati anatoa taarifa ya kujiuzulu bungeni alisema hakutendewa haki, alionewa, hakupewa nafasi ya kuhojiwa!! Jamani wana JF, mnakumbuka yafuatayo;

1. Engeneer wa Manispaa ya Temeke alifutwa kazi ghafla na kutakiwa kupelekwa mahakamani baada ya jengo mmoja kudondoka pale Keko - Hakumpa nafasi engineer ya kujieleza

2. Mkurugenzi wa wilaya moja (jina sikumbuki) alifutwa kazi ghafla baada ya taarifa kuonyesha kuna ufujaji mkubwa wa pesa - Naye huyu hakupewa nafasi ya kujitetea japo kuwa na nafasi hii hutolewa na Rais

3.Makamba ilibidi aingilie kati na kubeba mzigo wa watendaji wake kama Meya wa kinondoni Londa, na maengeneer wa manispaa ya Kinondoni baada ya EL kuwa washia moto mkali pale Shekilango kutokana na kusuasua ujenzi wa barabara ya Shekilango - Bila makamba kufanya hivyo hali ingekuwa mbaya kwa mukurugenzi na Engineer wa Manispaa na

Ndugu zangu, ''what goes around comes around'' na vitabu vitakatifu vinasema '' auaye kwa upanga hufa kwa upanga'' Rev. utanisaidia hapo!

Zaidi ya hayo, ninacho fahamu mimi huyu bwana alikuwa bingwa wa kutoa siku 10, 20, 30, 180 etc na baada ya hapo hafuatilia utekelezaji wake, kwa mfano;

1. Alitoa siku 30 kwa watendaji wa jiji la Dar kuhakikisha tatizo la traffic jams linaondolewa jijini Dar - Was this realistic wajemeni?
2. Aliunda kitu kama kamati fulani ya kufuatilia ujenzi jijini Dar, ambapo kamati hiyo pamoja na mengine ilipewa kazi ya kuangalia kama majengo yaliyopo yamejengwa kufuata sheria na mipango miji, kamati hii ilianzia Ilila na specifically K/koo - Kuna mtu anakumbuka matokeo ya kamati hiyo yalikuwa nini? Mimi sikumbuki chochote hapa!

Hii ni mifano michache tu ambayo inaonyesha jinsi huyu bwana EL alivyokuwa mtu wa kukurupuka kwenye maamuzi mengi sana!!
festog

Hilo sakata la manispaa lilikuwa na madhara mengi sana. Kumbuka kwamba ni wakati huo ambapo majengo mawili ya ghorofa ya Mtanzania wa asili ya Kiasia kule Masaki yalianza kubomolewa kwa chuki, wakati jamaa alikuwa kapata vibali halali kabisa kutoka halmashauri ya manispaa ya Kinondoni. Ndio hapa wale jamaa wa ardhi kinondoni wakapatilizwa. Kumbuka kwamba ni wakati huu huu ambapo kle Kariakoo watu walinyanyasika sana kwa kuambiwa kwamba wamejenga bila mpango yale maghorora yanayoibuka kwa fujo kila siku.
Ilikuwa noma sana.
Nitazidi kusisitiza kwamba "Kipimo unachowapimia wenzako, nawe utapimiwa hicho hicho, ila cha kwako kitajazwa zaidi, kitashindiliwa na kusukwa sukwa"
 
displayimage.php

Ndugu wanaJF baada ya Lowassa kujieleza hapo jana na kujaribu kujitetea kwa pointless hebu tumjadili nini mustakabali wake ki siasa kwa sasa na siku za usoni. Nawakilisha hoja hii kwa kutoa profile yake hapa pia nadhani ni nyema tukaanzisha thread za kuwachambua wanasiasa mbali mbali....

Edward Ngoyayi Lowassa (born 1953) is a former Prime Minister of Tanzania. He took office on December 30, 2005 and resigned on February 7, 2008.

Lowassa served as Minister of State in the Prime Minister's Office during President Ali Hassan Mwinyi's second term. He unsuccessfully sought the nomination of Chama Cha Mapinduzi (CCM) as its presidential candidate in 1995 and was then a backbencher in Parliament until he was appointed Minister of Water and Livestock Development following the 2000 election. He gained a high profile as a minister, but chose not to seek the CCM presidential nomination in 2005, to the surprise of many observers. The CCM chose Jakaya Kikwete as its candidate, and after Kikwete won the 2005 election he announced his nomination of Lowassa for the position of Prime Minister on December 29, 2005. Parliament overwhelmingly confirmed the nomination, with 312 votes in favor and two opposed, and Lowassa was sworn in December 30.[1]

Upon resigning, Lowassa informed the Tanzania Parliament that he had tendered his resignation to the President after being implicated in a report by a Parliamentary Committee investigating the awarding of a contract to Richmond Development Company LLC of Texas, USA for the supply of electricity to Tanzania Electric Supply Company Limited (TANESCO). According to the report, the Prime Minister used his position to circumvent the rules and influence the bid process in favor of Richmond Development Company. Further, the committee presented findings which showed that Richmond Development was an essentially bogus 'briefcase company', which fabricated and forged documents used during the bidding process. Lowassa has an extensive background in both parliamentary issues and government affairs. Lowassa is the first Prime Minister to have been forced to resign by a fraud scandal in the history of Tanzania.

Education

Lowassa received his undergraduate degree in Theatre Arts from the University of Dar es Salaam and a Masters Degree in Development Studies from The University of Bath in the United Kingdom.

Positions held

He held various positions in the government since the late 1980s:

* Minister for State, Vice President's Office - Environment & Poverty, 1988-1989
* Managing Director - Arusha International Conference Centre, 1989-1990
* Minister for State, Prime Minister's Office and First Vice President (Judiciary & Parliamentary Affairs), 1990-1993
* Minister of Lands, Human Settlement Development, 1993-1995
* Minister of Water and Livestock Development, 2000-2005
* Member of Parliament - Monduli Constituency, 1990-Present
* Prime Minister, 2005-2008

WADAU WENYE DATA ZAKE MBALIMBALI WASILISHENI HOJA
 
Zaidi ya kumjadili naona umeianzaisha hii thread kumpamba huyu fisadi. Data ulizozimwaga hapa haziwezi kumtoa ktk masters ya ufisadi aliyotunukiwa ktk bunge lililopita.
Tatu ndugu yetu mpendwa Mtade acha kutumiwa na acha kutumia mbinu za kiuandishi kumpamba huyu mtu ambaye badala ya kukaa kimya anaanza kupita huku na huko akiimba kuonewa. Hivi inaingia akilini kweli simba kuonewa na swala?
Jisafishe Mtade au la tutakusafisha sisi wenye macho safi yasiyo na boriti
 
Tumeshamjadili sana hapa JF. Fukua threads za mwanzoni mwa mwezi huu na utayaona tuliyoongea.
Vinginevyo hii thread haitakiwi kuwepo hapa.
 
Idimi, naanza kuingiwa na wasiwasi kwamba Mtade_Halisi na Pope ni mtu mmoja, na pengine kama si hivyo, ni watu waliojiunga JF jana kwa ajili ya kazi ya kumsafisha Edo. Just try to read between the lines.

Tunaelezwa kuna Agenda 21...a group specifically built to ascend someone back into power. Na inasadikika kuna vyombo vya habari au waandishi wamehongwa ili kumshafisha Edo. Is JF now being used for the purpose?
 
Back
Top Bottom