Max Melo kajitolea kutulinda, sisi tumeshindwa kumlinda, lakini vifungu hivi vinawapa nguvu polisi

Ruttashobolwa, hamna uongo hicho kilichoandikwa na huyo wanayetafuta jina lake kamili kina ukweli 99%! Kinachofanywa sasa ni serikali ya CCM kujaribu kubaki madarakani kwa udi na uvumba 2020 na kuendelea.
 
Yaani kimchezo mchezo JF inaweza ikafungiwa. JF ni kitu kikubwa sana, endapo itafungwa basi ni hasara kwa Taifa. Kinachoiponza JF nzima ni Jukwaa la Siasa, lakini kuna majukwaa mengine ambayo yana mchango mkubwa sana kwenye maisha yetu ya kila siku. Nimefaidika na ninaendelea kufaidika na Jamii Forums.

Mimi ni mmoja wa watu watakaoumia umia sana endapo kama itatokea, maana naona kama ndio tunaelekea huko kutokana na aina ya serikali iliyopo madarakani.

Eee Mwenyezi Mungu pigania JF yetu na wafanyakazi wake.
 
Sisi ni wavivu kujifunza huwa tunahisi kama mambo flani hayatuhusu hadi pale tunapogusws mojakwamoja kama hilii la jf.
 
Nyie ccm acheni undumilakuwili tutaendelea kuwasema kwakua nyie siyo Mungu wala atuogopi . Stupid.
 
Mlamba viatu wa Lowassa wewe uko upande gani? Maana wewe siyo CCM wala CHADEMA, Lowassa akisema leo yuko ACT Wazalendo utawaona CHADEMA kama mavi ya asubuhi
kisha nikaona kale ka wimbo ka UK ka taifa
1. God save our gracious Queen!

Long live our noble Queen!

God save the Queen!

Send her victorious,

Happy and glorious,

Long to reign over us,

God save the Queen.

2. O Lord our God arise,

Scatter her enemies

And make them fall;

Confound their politics,

Frustrate their knavish tricks,

On Thee our hopes we fix,

God save us all! .
 
2020
Ruttashobolwa, hamna uongo hicho kilichoandikwa na huyo wanayetafuta jina lake kamili kina ukweli 99%! Kinachofanywa sasa ni serikali ya CCM kujaribu kubaki madarakani kwa udi na uvumba 2020 na kuendelea.
hatufanyi makosa
tuliotumbuliwa ilhali mafisasi bado wapo ccm
tulionyimwa mikopo
tuliofurumishwa kwenye biashara zetu
tuliobomolewa nyumba
tuliobughudhiwa guest house
tulioondolewa kazini nida na nk
tuliokosa ajira za serikali
tulio funga biashara zetu
tuliopunguzwa makazini baada ya makampuni yetu kushindwa kujiendesha
wale wa tetemeko tena kijani msikanyage kabisa huku>>>>
tunaonyimwa kufanya biashara zetu
wauza shisha
tunaolazimishwa kupoteza muda masaa ma4 eti usafi kila jumamosi muda wa masaa ma 4 ni kudidimiza uchumi
....................... # tukutane 2020 #
 
Wasalaam wana JF,

Kwanza nimesikitishwa sana na kusumbuliwa na kushikiliwa kwa Melo kwa kile kinachoitwa kushindwa kutoa taarifa za baadhi ya wanachama kwa jeshi la polisi.

Melo ni shujaa maana anatupigania sana na ameendelea kutupigania na anasumbuliwa kwasababu yetu sisi lakini ni ukweli ulio wazi sisi tumeshindwa kumpigania au kuipigania JF hata mara moja...

Hakuna anayejua ni data za kina nani zinahitajika lakini ni ukweli ulio wazi sisi wanajf baadhi yetu tumekuwa tukiutumia mtandao huu vibaya na kweli JF admin wamekuwa wakifanya kazi kubwa kuturudisha kwenye mstari lakini wengine tumekuwa tukiwaona wao wabaya au kutuonea.

Pengine Melo anasumbuliwa kutokana na baadhi ya maandishi yetu hasa ya uongo, uchonganishi na matusi kwa viongozi au kwa Umma..., Lakini kwakuwa ni wajibu wake kulinda usiri wetu inabidi achukue mzigo wa kutulinda.. Ni wazi kuna baadhi ya mabandiko hapa yetu yanakuwa ni ya uongo, uchochezi japo mods hujitahidi kuyafuta lakini mengine yanakuwa yameshasababisha madhara na kusambaa...

Hawa mods wa JF akiwemo Melo hufanya kazi kubwa ya kutuweka kwenye mstari lakini tumekuwa viburi lakini tunasahau kuwa cyber crime act inawabana JF na wao ndio huwa wa kwanza kusumbuliwa tunapohitajika...

Ni lazima tuwe na huruma kweli kwa Melo na JF kwa kutoandika uongo au mambo tunayo yaona hayafai au yanavunja sheria za nchi na bahati mbaya mods wanapokuja kuyafuta yanakuwa tayari yameshazagaa na wengi wananukuu chanzo ni JF na tumekuwa tukitumia neno "tetesi" kusambaza uongo hadi inafikia baadhi ya taasisi kutuhumu JF moja kwa moja.

Ni vyema watu tukafahamu sisi ni sababu ya Melo kusumbuliwa na inasikitisha yeye anasumbuliwa kwasababu yetu na anatupigania lakini sisi hatumpiganii tunasubiri madhara yakishatokea ndio tunaanza kuongea.... Mfano watu wakipigwa ban kwa kukiuka sheria wataanza kusema eti oooh emenunuliwa oooh anabana uhuru oooh anatumika na serikali...

Melo ameendelea kutupigania bila kujali kashifa na matusi yetu tunayomtukana wanapokataa JF kutumika kuvunja sheria, leo hii anasumbuka kwakuwa sisi tumeshindwa kumlinda maana tunasahau kuwa yeye ana beba dhamana yetu...

Nilishasema sehemu kama JF wataona kuna kila sababu ya kufuta id yangu kwakuwa imekuwa ikisababisha usumbufu usio wa lazima ni bora waifute kuliko siku moja JF ikifungwa...ni bora nikaisoma JF kama mgeni kuliko kuwa sababu ya JF kufungiwa au wamiliki wake kusumbuliwa.

Lakini wana JF tunasahau kuwa haya ni matokeo ya cyber crime act (2015) ambayo imewapa nguvu kubwa sana jeshi la polisi kuomba taarifa ya mtu yeyote kutoka taasisi yeyote ile na anapokataa wao huiandikia mahakama kumshurutisha kutoa taarifan hivyo ni wazi Cyber crime act ina wapa nguvu sana polisi....

Tusome baadhi ya hivi vipengele vinavyo toa nguvu kwa jeshi la polisi kwenye sheria hii ya mitandao.
works when living in an age of tyrannical govt. power
 
View attachment 446122
View attachment 446123
View attachment 446124

View attachment 446125
View attachment 446127
Uliyoyaeleza katika comment yako yana ukweli asilimia 100. Lakini basi, vyombo vyetu vya ulinzi na usalama navyo visitumie hovyo sheria kama hizi katika utendaji wao wa kazi. Wasimnyanyase wala kumkandamiza mtu kwa ajili ya kuwafurahisha watu au kundi fulani.
Yanayomkuta ndugu yangu Melo ni matokeo ya kanunina sheria zilizotungwa kubana matumizi ya mtandao ambao kama kundi fulani litataka kukukomesha, basi, linafanya hivyo kwa " blessing" ya sheria hizi.

Huko Marekani, kampuni ya Apple imegoma kutoa "encryption" ya simu zake za iPhone.. lakini huwezi kuifanya issue hiyo kuwa criminal case na kumkamata mwenye kampuni ya Apple!

Sisi huku ni: KAMATA, WEKA NDANI policy..... Haya mambo yanazungumzika, sio kumkamata mtu kama jambazi.

Pole ndugu yangu Melo, tuko pamoja..
 
Wasalaam wana JF,

Kwanza nimesikitishwa sana na kusumbuliwa na kushikiliwa kwa Melo kwa kile kinachoitwa kushindwa kutoa taarifa za baadhi ya wanachama kwa jeshi la polisi.

Melo ni shujaa maana anatupigania sana na ameendelea kutupigania na anasumbuliwa kwasababu yetu sisi lakini ni ukweli ulio wazi sisi tumeshindwa kumpigania au kuipigania JF hata mara moja...

Hakuna anayejua ni data za kina nani zinahitajika lakini ni ukweli ulio wazi sisi wanajf baadhi yetu tumekuwa tukiutumia mtandao huu vibaya na kweli JF admin wamekuwa wakifanya kazi kubwa kuturudisha kwenye mstari lakini wengine tumekuwa tukiwaona wao wabaya au kutuonea.

Pengine Melo anasumbuliwa kutokana na baadhi ya maandishi yetu hasa ya uongo, uchonganishi na matusi kwa viongozi au kwa Umma..., Lakini kwakuwa ni wajibu wake kulinda usiri wetu inabidi achukue mzigo wa kutulinda.. Ni wazi kuna baadhi ya mabandiko hapa yetu yanakuwa ni ya uongo, uchochezi japo mods hujitahidi kuyafuta lakini mengine yanakuwa yameshasababisha madhara na kusambaa...

Hawa mods wa JF akiwemo Melo hufanya kazi kubwa ya kutuweka kwenye mstari lakini tumekuwa viburi lakini tunasahau kuwa cyber crime act inawabana JF na wao ndio huwa wa kwanza kusumbuliwa tunapohitajika...

Ni lazima tuwe na huruma kweli kwa Melo na JF kwa kutoandika uongo au mambo tunayo yaona hayafai au yanavunja sheria za nchi na bahati mbaya mods wanapokuja kuyafuta yanakuwa tayari yameshazagaa na wengi wananukuu chanzo ni JF na tumekuwa tukitumia neno "tetesi" kusambaza uongo hadi inafikia baadhi ya taasisi kutuhumu JF moja kwa moja.

Ni vyema watu tukafahamu sisi ni sababu ya Melo kusumbuliwa na inasikitisha yeye anasumbuliwa kwasababu yetu na anatupigania lakini sisi hatumpiganii tunasubiri madhara yakishatokea ndio tunaanza kuongea.... Mfano watu wakipigwa ban kwa kukiuka sheria wataanza kusema eti oooh emenunuliwa oooh anabana uhuru oooh anatumika na serikali...

Melo ameendelea kutupigania bila kujali kashifa na matusi yetu tunayomtukana wanapokataa JF kutumika kuvunja sheria, leo hii anasumbuka kwakuwa sisi tumeshindwa kumlinda maana tunasahau kuwa yeye ana beba dhamana yetu...

Nilishasema sehemu kama JF wataona kuna kila sababu ya kufuta id yangu kwakuwa imekuwa ikisababisha usumbufu usio wa lazima ni bora waifute kuliko siku moja JF ikifungwa...ni bora nikaisoma JF kama mgeni kuliko kuwa sababu ya JF kufungiwa au wamiliki wake kusumbuliwa.

Lakini wana JF tunasahau kuwa haya ni matokeo ya cyber crime act (2015) ambayo imewapa nguvu kubwa sana jeshi la polisi kuomba taarifa ya mtu yeyote kutoka taasisi yeyote ile na anapokataa wao huiandikia mahakama kumshurutisha kutoa taarifan hivyo ni wazi Cyber crime act ina wapa nguvu sana polisi....

Tusome baadhi ya hivi vipengele vinavyo toa nguvu kwa jeshi la polisi kwenye sheria hii ya mitandao.

View attachment 446122
View attachment 446123
View attachment 446124

View attachment 446125
View attachment 446127
Wasalaam wana JF,

Kwanza nimesikitishwa sana na kusumbuliwa na kushikiliwa kwa Melo kwa kile kinachoitwa kushindwa kutoa taarifa za baadhi ya wanachama kwa jeshi la polisi.

Melo ni shujaa maana anatupigania sana na ameendelea kutupigania na anasumbuliwa kwasababu yetu sisi lakini ni ukweli ulio wazi sisi tumeshindwa kumpigania au kuipigania JF hata mara moja...

Hakuna anayejua ni data za kina nani zinahitajika lakini ni ukweli ulio wazi sisi wanajf baadhi yetu tumekuwa tukiutumia mtandao huu vibaya na kweli JF admin wamekuwa wakifanya kazi kubwa kuturudisha kwenye mstari lakini wengine tumekuwa tukiwaona wao wabaya au kutuonea.

Pengine Melo anasumbuliwa kutokana na baadhi ya maandishi yetu hasa ya uongo, uchonganishi na matusi kwa viongozi au kwa Umma..., Lakini kwakuwa ni wajibu wake kulinda usiri wetu inabidi achukue mzigo wa kutulinda.. Ni wazi kuna baadhi ya mabandiko hapa yetu yanakuwa ni ya uongo, uchochezi japo mods hujitahidi kuyafuta lakini mengine yanakuwa yameshasababisha madhara na kusambaa...

Hawa mods wa JF akiwemo Melo hufanya kazi kubwa ya kutuweka kwenye mstari lakini tumekuwa viburi lakini tunasahau kuwa cyber crime act inawabana JF na wao ndio huwa wa kwanza kusumbuliwa tunapohitajika...

Ni lazima tuwe na huruma kweli kwa Melo na JF kwa kutoandika uongo au mambo tunayo yaona hayafai au yanavunja sheria za nchi na bahati mbaya mods wanapokuja kuyafuta yanakuwa tayari yameshazagaa na wengi wananukuu chanzo ni JF na tumekuwa tukitumia neno "tetesi" kusambaza uongo hadi inafikia baadhi ya taasisi kutuhumu JF moja kwa moja.

Ni vyema watu tukafahamu sisi ni sababu ya Melo kusumbuliwa na inasikitisha yeye anasumbuliwa kwasababu yetu na anatupigania lakini sisi hatumpiganii tunasubiri madhara yakishatokea ndio tunaanza kuongea.... Mfano watu wakipigwa ban kwa kukiuka sheria wataanza kusema eti oooh emenunuliwa oooh anabana uhuru oooh anatumika na serikali...

Melo ameendelea kutupigania bila kujali kashifa na matusi yetu tunayomtukana wanapokataa JF kutumika kuvunja sheria, leo hii anasumbuka kwakuwa sisi tumeshindwa kumlinda maana tunasahau kuwa yeye ana beba dhamana yetu...

Nilishasema sehemu kama JF wataona kuna kila sababu ya kufuta id yangu kwakuwa imekuwa ikisababisha usumbufu usio wa lazima ni bora waifute kuliko siku moja JF ikifungwa...ni bora nikaisoma JF kama mgeni kuliko kuwa sababu ya JF kufungiwa au wamiliki wake kusumbuliwa.

Lakini wana JF tunasahau kuwa haya ni matokeo ya cyber crime act (2015) ambayo imewapa nguvu kubwa sana jeshi la polisi kuomba taarifa ya mtu yeyote kutoka taasisi yeyote ile na anapokataa wao huiandikia mahakama kumshurutisha kutoa taarifan hivyo ni wazi Cyber crime act ina wapa nguvu sana polisi....

Tusome baadhi ya hivi vipengele vinavyo toa nguvu kwa jeshi la polisi kwenye sheria hii ya mitandao.

View attachment 446122
View attachment 446123
View attachment 446124

View attachment 446125
View attachment 446127
katika hali iliyo ya kawaida nadhani kutofautiana ni jambo la kawaida sana..na panapokuwa na watu zaidi ya wawili kuwa na mawazo tofauti ni kitu cha kawaida kabisa...JF ni jalada huru halihusiani na wala alipo responsible kwa chochote kitakachosemwa humu wao wanajaribu ku control how we say it...kama kuna tetesi na ukaandika ni tetesi si jambo baya kumekuwa na tetesi kuanzia enzi za YESU.
humu ndani kila mtu ana vision yake, mentality yake, strategy zake, plan zake na uelewa wake..to make it simple ili si tatizo la JF au wachangiaji wa JF ni tatizo la SERIKALI la kutaka tuwe na maono wanayotaka wao...hii nchi sio korea wala russia kwamba watu wasijadili mambo yanayohusu serikali kwa uhuru...hii nchi sio ya viongozi wa siasa..hii ni nchi ya watanzania wote wa rangi zote,wanene kwa wembamba,wafupi kwa warefu. hii ni Tanzania ya CUF,chadema,ccm,nccr,na vyama vyote vya siasa na wanaovisapoti vyama hivi wana haki ya kusema yaliyo moyoni mwao
Tanzania haikuwa na mwenendo mzuri,corruption zilikuwa kila kona,watu walimwaga habari humu na wengine ndio tukazifahamu na ndio zikaandikwa na magazeti mengine na vyombo vingine vya habari.
serikali haitaki TRANSPARENCY wala ACCOUNTABILITY ila inataka ituongoze wanavyotaka wao....through hii mitandao tumeona ni jinsi gani wananchi wameweza kupata habari kwa kina,na may be bila mtandao kama huu tusingeweza kuja kuzijua
hii si serikali ya kumaliza wafisadi.. waunde team yao itakayokuwa inafuatilia habari za mitandaoni na kuzifanyia KAZI..kuliko kuwasumbua wamiliki.
Mi napingana na HABARI ZOTE ZA UONGO ILA NDIO HASARA ZA KUWA NA INTERNET.
 
Back
Top Bottom