Arushaone
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 15,136
- 13,258
Safi sana, msalato mikononi mwa cdm
Mkuu MSATULAMBALI ni ya kweli hayo? Naomba utupie takwimu kama alivyofanya Deus F Mallya hapo juu.
Last edited by a moderator:
Safi sana, msalato mikononi mwa cdm
Vituo vipo 30, cheki hapo juu nitakuwa nabadilisha namba 2 Mkuu. Hadi sasa CHADEMA inaongoza vituo 8 kati ya 10
Safi sana, msalato mikononi mwa cdm
Kupitia simu ya kiganjani, kutoka Rombo, mchezo umeisha Magamba chaliiii.
Vituo vipo 30, cheki hapo juu nitakuwa nabadilisha namba 2 Mkuu. Hadi sasa CHADEMA inaongoza vituo 8 kati ya 10
Mbona huku Deus anasema Rombo wewe unasema Msalato???? Upi ukweli????
Daraja II shule ya msingi C-3 CCM 57, chadema 60 na NCCR 0
wanaripot kutoka maeneo 2 tofaut rombo anaripot deus na mwingine anaripot kutoka dom! Tupo pamoja makamanda endeleen ku2juza
Kati ya vituo 11 ambavyo vimeshatoa matokeo hadi sasa, CHADEMA imeongoza kwenye vituo 9, CCM 2
Kwa uwiano wa kura ni huu hadi sasa:
CCM 400
CHADEMA 767
Kwa uwiano wa kura ni huu hadi sasa:
CCM 400
CHADEMA 767
weka data mkuu acha mzaha