Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

mliopo endeleeni kutujuza basi maana ushindi wa cdm ndio ukombozi wa kweli dhidi ya magamba!
 
TARATIBU ZA UCHAGUZI,ni kwamba baada ya vituo kufungwa ndipo zoezi la kuhesabu kura linaanza.kura kutoka vituo mbalimbali katika kata zinajumlishwa.na matokeo yanatangazwa.!!!

Kwa mtiririko niliouonyesha hapo juu itachukua muda kupata matokeo,kwani ni lazima yadhibitishwe na wasimamizi na mawakala wa vyama husika.!!!!
TUVUTE SUBIRA.!!!
 
Mpaka sasa Bangata huko Arumeru Magharibi Chadema inaongoza kwa tofauti ya kuru 150, Daraja mbili kwa tofauti ya kura 1240. Atown ni full shangwe, ngome ipo salama. Magamba chaliii
 
24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom