Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,271
- 2,025
Ili kunusuru Fedha za Wananchi kwa ajili ya Uchaguzi wa Madiwani wa Kata 23 ambao TUME ya UCHAGUZI imeutangaza naiomba TUME ya UCHAGUZI ifanye UTEUZI tu Kama Ilivyowateua Wabunge wa VITI MAALUM 19 wa CHADEMA.
Utaratibu ule ni mzuri kwani UNAOKOA Fedha nyingi za UMMA kwa ajili ya kufanya Chaguzi ukizingatia Mwaka 2025 kuna UCHAGUZI MKUU wa hao hao Madiwani.
Soma:
- Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza Uchaguzi mdogo wa madiwani kwenye kata 23 za Tanzania Bara