CCM hii mbinu ya kuchapisha Kura za ziada 2025 tafuteni wizi mwingine

Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
21,496
37,789
Nimelisikia hili likilalamikiwa na ACT WAZALENDO maeneo mbali mbali kulikofanyika Uchaguzi mdogo wa udiwani Jana March 20, 2024. Nimesikia Kata ya Kasingirima Kigoma, imesemwa Kwa uwazi Kata ya Chipuputa Mtwara, limejitokeza dhahiri Kata ya Kabwe Nkasi mkoa wa Rukwa ambako DC Peter Lijualikali amepita vituoni na kushambulia wapiga Kura kama ilivyoandikwa mitandaoni na JULIUS MASABO wa ACT. Huu ni uhuni uliofanyika tangu Uchaguzi Mkuu 2020 na mpaka Leo unaemdelezwa.

Kinachofanyika Tume ya Uchaguzi inachapisha Kura za ziada kisha wanapewa DSOs chini ya melekezo ya Mkuu wa Wilaya. Siku ya Uchaguzi wanapewa wasimamizi wa Uchaguzi au mtumishi yeyote wa Tume mwenye kujinasinisha na CCM na hawa ndio wanaozipeleka kujazwa kwenye masanduku ya Kura.

Mtu anahoji wanaweka saa ngapi wakati vituo vina mawakala wa vyama vyote? Jibu ni rahisi Sana. Kote wanakopeleka kujaza Kura inatanguliwa na vurugu kwenye kituo na Polisi wanakuwa wameandaliwa kwa ajili ya kujifanya wanatuliza ghasia na kuwatoa wasimamizi Kwa usalama. Angalia kote wanakotuhumu ACT lazima vurugu zisizo na sababu zilianzishwa, kisha viongozi au mawakala wa ACT wakakamatwa kama waanzilishi wa vurugu na ndio Muda uchakachuaji unapofanyika.

Hii ni mbinu rahisi Sana kufanyika kwenye Uchaguzi mdogo hata ikigundulika, lakini ikigundulika wakati wa Uchaguzi Mkuu patàchimbika na haitakuwa rahisi kudhibiti hasira za Wananchi. Kipindi hicho Uchaguzi utakuwa ni nchi nzima na polisi wanahitajika Kila mahali tofauti na Uchaguzi mdogo ambapo Polisi wa mkoa mzima wanajirundika Kata moja au mbili zimazofanya Uchaguzi mdogo ndani ya mkoa husika.

2020 Majimbo ya Mtwara na Nkasi mchezo huu uligundulika na wapiga Kura na ukadhibitiwa vilivyo. Tulishuhudia watu walivyokaribia kuuana na wengine kuchomeana Mali sababu ya ujinga huu. Pale Kawe Halima Mdee na timu yake walikamata mabegi ya Kura feki lakini wakawa wamechelewa, na mwisho wakageuziwa kibao na Polisi kuwa wao ndio Wana Kura feki.

Nitoe wito Kwa Wenye dhamana ya kusimamia Uchaguzi Mkuu. Tafadhali tafuteni mbinu nyingine hii italeta maafa 2025.
 
Naambatanisha malalamiko ya Julius Masabo.
Screenshot_2024-03-20-22-36-39-251_com.twitter.android.jpg
 
kwa sababu zile zile za miaka nenda miaka rudi hayupo wa kuwaonea huruma wala haya 🐒

Muwe waungwana,
kubalini tu hamueleweki wala kukubalika kwa wananchi. Hamchaguliki 🐒
 
Lini kibaka akaacha fani yake? Tulishawaambia kupata uchaguzi huru na haki kwa katiba hii - ni ndoto.

Imefikia hatua CCM inaamua washinde kwa % ngapi afu ngapi wawape hao wapinzani tena kwa kuwachagua.
 
Boss umejitesa kweli kuandika yet haya na Hamna kitu cha maana. Sawa kura zimeibiwa proof iko wap
 
Nimelisikia hili likilalamikiwa na ACT WAZALENDO maeneo mbali mbali kulikofanyika Uchaguzi mdogo wa udiwani Jana March 20, 2024. Nimesikia Kata ya Kasingirima Kigoma, imesemwa Kwa uwazi Kata ya Chipuputa Mtwara, limejitokeza dhahiri Kata ya Kabwe Nkasi mkoa wa Rukwa ambako DC Peter Lijualikali amepita vituoni na kushambulia wapiga Kura kama ilivyoandikwa mitandaoni na JULIUS MASABO wa ACT. Huu ni uhuni uliofanyika tangu Uchaguzi Mkuu 2020 na mpaka Leo unaemdelezwa.

Kinachofanyika Tume ya Uchaguzi inachapisha Kura za ziada kisha wanapewa DSOs chini ya melekezo ya Mkuu wa Wilaya. Siku ya Uchaguzi wanapewa wasimamizi wa Uchaguzi au mtumishi yeyote wa Tume mwenye kujinasinisha na CCM na hawa ndio wanaozipeleka kujazwa kwenye masanduku ya Kura.

Mtu anahoji wanaweka saa ngapi wakati vituo vina mawakala wa vyama vyote? Jibu ni rahisi Sana. Kote wanakopeleka kujaza Kura inatanguliwa na vurugu kwenye kituo na Polisi wanakuwa wameandaliwa kwa ajili ya kujifanya wanatuliza ghasia na kuwatoa wasimamizi Kwa usalama. Angalia kote wanakotuhumu ACT lazima vurugu zisizo na sababu zilianzishwa, kisha viongozi au mawakala wa ACT wakakamatwa kama waanzilishi wa vurugu na ndio Muda uchakachuaji unapofanyika.

Hii ni mbinu rahisi Sana kufanyika kwenye Uchaguzi mdogo hata ikigundulika, lakini ikigundulika wakati wa Uchaguzi Mkuu patàchimbika na haitakuwa rahisi kudhibiti hasira za Wananchi. Kipindi hicho Uchaguzi utakuwa ni nchi nzima na polisi wanahitajika Kila mahali tofauti na Uchaguzi mdogo ambapo Polisi wa mkoa mzima wanajirundika Kata moja au mbili zimazofanya Uchaguzi mdogo ndani ya mkoa husika.

2020 Majimbo ya Mtwara na Nkasi mchezo huu uligundulika na wapiga Kura na ukadhibitiwa vilivyo. Tulishuhudia watu walivyokaribia kuuana na wengine kuchomeana Mali sababu ya ujinga huu. Pale Kawe Halima Mdee na timu yake walikamata mabegi ya Kura feki lakini wakawa wamechelewa, na mwisho wakageuziwa kibao na Polisi kuwa wao ndio Wana Kura feki.

Nitoe wito Kwa Wenye dhamana ya kusimamia Uchaguzi Mkuu. Tafadhali tafuteni mbinu nyingine hii italeta maafa 2025.
Hii mbinu ilitumika kwa miaka mingine tumeichoka sasa.
Wajaribu kubadilisha radha.
 
Uchaguzi kwa Tz ni kufa na kupona. Tumeshauana kwenye chaguzi kadhaa kwa mujibu wa ripoti. Mwishowe wezi watavaa kanzu safi wakiendelea na mfungo na wengine J2 Church na kwa wachungaji. Tunakosea sana. Ila CCM want la kujibia km kweli kuna mahakama huko Ahera tuendako some baada ya maisha haya
 
Back
Top Bottom