Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

Daraja 2,chumba cha kwanza,Chadema 74,CCM 21.Bado uhesabuji unaendelea!kulikuwa na vurugu za hapa na pale,ccm walitaka kuingiza maboxs yenye kura bandia!wananchi wamekuwa wakali km pilipili.source Sunrise radio.

Haya mkuu!
 
Ni NCCR au CCM hayo matokeo ya chini???

Tunapokea matokeo achana na miubishi, kama unadhani umesoma vibaya, kanawe uso urudi kwenye kaskrini kako uadijasti hue, ubalansi fokasi na dpi za hako kaskrini, ni ushauri tu mkuu.
 
Daraja mbili bado vituo 9 kati ya 39 na chadema inaongoza kwa zaidi ya nusu ya kura alizopata CCM...hivyo kata hiyo sasa iko chini ya chadema.................peoplessssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssss
 
nilivyofungua huu uzi nilijua nitakutana na matokeo....

Hongera kwa kuwa wa kwanza kuleta uzi
 
Safari hii lazima kinyesi kiwatokee mdomoni CCM. Mkuu endelea kutupatia matokeo zaidi.
 
naomba wine DOMPO .... jikoni kata kilo moja maeneo ya mbavu .... kausha .... kachumbari .....karamu inaanza
 
24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom