Kyachakiche
JF-Expert Member
- Feb 16, 2009
- 983
- 207
Kutoka waliojiandikisha 19,000,000 hadi waliopiga kura 9,000,000!!!!!!!!!
una element ya ukweli na busara, ila kidogo umechakachua kasehemu... you didnt expect chadema kushinda kiti, neither did i, tatizo ni kwamba baada ya watu kumchoka gafla JK na msomali wake walimtupa JK chini, na kusema ukweli kama sio wizi, angeambulia around 45-50% na chadema 35-45%Is better we become positive thinkers....CCM kushinda kwa asilimia 64 inaonyesha kukua kwa demokrasia ya vyama vingi....siyo lazima Upinzani ushinde kiti cha Urais ndiyo Uchaguzi uonekane huru na waHaki....afterall, CHADEMA kushinda kiti cha Urais mwaka huu is the last thing I would expect to happen....
JK amepoteza umaarufu mkubwa kutokana na kundesha nchi kwa ubabaishaji na kwa kisanii. Mwaka 2005 alipata asilimia 84. Kaporomoka kwa asilimia 20!! Ni anguko kubwa, kwa tafsiri yoyote.

Kufuatana na habari katika Nipashe ya leo, matokeo ya mwisho ya urais kwa wagombea wakuu watatu ni kwamba Kikwete kapata kura milion 5.169, Dr Slaa kura milioni 2.193 na Prof Lipumba kura mil 0.649. Kwa mahesabu ya haraka haraka ni kwamba Kikwete kaambulia asilimia 64 ya jumla ya kura za watatu hao na Dr Slaa asilimia 27.3, Lipumba asilimia 8.0. Kama zikijumlishwa na za wagombea wengine, zilizoharibika nk -- asilimia hizo zote zitateremka na huenda JK kwa mfano akaambulia asilimia 61 hivi.
Inawezekana TCIB walikuwa sahihi kidogo?
Halafu adha hii itatupata sote haitabagua kwa kuwapendelea waliompa kura.Penye red: Wananchi wengi wana hofu kwamba pindi atakapomaliza mwaka 2015, bei ya sukari itakuwa sh 8,000/- kwa kilo. Mwaka 2005 aliikuta sukari ikiuzwa sh 450/- kwa kilo na sasa imefikia karibu 2,000/- kwa kilo.
Hiyo ni sababu mojawapo ya yeye kukataliwa na wengi mwaka huu.
Huu si ushindi kwa CCM na Kikwete, maana wao walitaka 80%++. Kutoka asilimia 80 kushuka kuja 65 si ushindi bali ni kushindwa.
ukimfuata Juha na wewe utakuwa juha tu....... Zawadi Ngoda tabiri basi mwisho wa dunia utakuwa lini.
Kufuatana na habari katika Nipashe ya leo, matokeo ya mwisho ya urais kwa wagombea wakuu watatu ni kwamba Kikwete kapata kura milion 5.169, Dr Slaa kura milioni 2.193 na Prof Lipumba kura mil 0.649. Kwa mahesabu ya haraka haraka ni kwamba Kikwete kaambulia asilimia 64 ya jumla ya kura za watatu hao na Dr Slaa asilimia 27.3, Lipumba asilimia 8.0. Kama zikijumlishwa na za wagombea wengine, zilizoharibika nk -- asilimia hizo zote zitateremka na huenda JK kwa mfano akaambulia asilimia 61 hivi.
Inawezekana TCIB walikuwa sahihi kidogo?
PAMOJA na kuchakachua kwa kiasi ambacho hakijapata kutokea hapa nchini, bado wameambulia 65% tu. Hii inakuonyesha kwamba Kikwete alikuwa ameshindwa uchaguzi huu, tena kushindwa kwa aibu.
I'm not sure atakuwa anajisikiaje kukaa pale magogoni huku akijua yeye ni MWIZI tu...just like a common and ordinary thief in Kariakoo