Elections 2010 Matokeo ya mwisho: JK aambulia 61.17%

yuko wapi Makamba na 85% yake.
Achana na kilaza asiyeelewa kauli zake mwenyewe...Ukimuuliza sasa hivi juu ya hiyo kauli atakwambia ulimnukuu vibaya!
Kama ccm watataka warudishe chembe ya heshima yao, basi wamfute kazi kibabu huyu!
 
kweli MWITA umesema, ndiyo maana Kiravu anahaha kona zote kuhakikisha hizo asilimia za synovate inapatikana.

Mwisho wao utafika, hata KANU nayo ilikuwa hivyo.
 
Umechoka, nenda kapumzike. Waache watu wachambue mambo hapa. We matokeo Mfano jana Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi anamnong'oneza mkurugenzi Kiravo kua haya ya Ubungo hayajarekebishwa, wakaachia pale na wala hayakutangazwa kabisa. Yarekebishwe nini wakati yamesainiwa na mawakala wote na wakaridhika nayo? Uchakachuaji hautaiacha tume hivi hivi, ni dhambi kubwa na Mungu anaiona, sijui siku ya Mwisho wataenda kujibu nini kwa Mola.Pia waliopiga kura ni chini ya 20% ya wa Tanzania na pia ni chini ya 50% ya waliojiandikisha kwa maana hiyo amabao hawakupiga ukizichanganya na zile zilizoharibika utaona Rais atashinda sii zaidi ya 28% ya watu wote waliojiandikisha kupiga kura.
 
Kama NEC itasema kashinda kwa asilimia 'X' ni sahihi kabisa, kama mtanzania mwingine anabisha, yeye zake alizokusanya atueleze ni ngapi na sio kupiga mikelele tu! Tumechoka, thanks

nkosiyamakosini
  • profile.png
    View Profile
  • forum.png
    View Forum Posts
  • message.png
    Private Message
  • article.png
    View Articles
  • add.png
    Add as Contact
user-online.png
Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
Join DateThu Nov 2010Posts17Thanks0Thanked 0 Times in 0 Posts Rep Power0
 
CCM HUREEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE, HUO NDIO ushindi wa kishindo tulio sema, wapinzani ziiiiiiiiiiiiiii ziiiiiiiiiiiiiiiiii ziiiiiiiiiiiiiii zaidiiiiiiiiiiii.
 
Ni asilimia ngapi ya watanzania wamemchagua rais? Hii nafikiri inabidi kujadiliwa pia. Je shimbo na wenzake na wamehusika kusababisha watu wasipige kura?

Mnajua kuwa ndani ya Vikosi kwa SHIMBO kuna kituo JK amepata kura 2 !!!!

Ushahidi upo ni mkoani KAGERA.
 
Naona Nipashe katika website yao wameupdate matokeo -- soma hapa:

Tume ya Uchaguzi (Nec) imetangaza matokeo ya majimbo yote 238 ya urais na mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete, ameibuka na jumla ya kura 4,911,057 akifuatiwa na mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, aliyepata kura 2,028,177.

Nafasi ya tatu katika matokeo hayo ambayo ambayo yamekuwa yanatangazwa tangu Jumatatu wiki hii imekwenda kwa mgombea wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, ambaye amepata kura 618,406.

Kwa matokeo hayo sasa ni dhahiri Kikwete ametetea kiti chake, lakini idadi ya waliojitokeza kupiga kura ikiwa imeporomoka sana kulingana na idadi ya watu zaidi ya milioni 19 waliokuwa wamejiandikisha kupiga kura mwaka huu.
 
Why waste your time discussing lies? Haya siyo matokeo ya kura ila ni matokeo ya vijana waliokuwa na miraji kikwete pale upanga wakiaandaa matokeo yao. Unfortunately wakilipwa sh. 46 millions per day ili watengeneze matokeo hayo. watanzania amkeni. Amini Kiwete raisi wa wapiga kura wa upanga atavuruga hii nchi kifisadi kwani anajua harudi tena kuomba kura kweni. Shame upon him Jambazi hili linaloshirikiana na maswahiba wake aliowaweka ili walitetee.
 
Kama NEC itasema kashinda kwa asilimia 'X' ni sahihi kabisa, kama mtanzania mwingine anabisha, yeye zake alizokusanya atueleze ni ngapi na sio kupiga mikelele tu! Tumechoka, thanks

mmechoka??!!!
hilo neno siyo zuri sana kwa kiswahili cha kawaida. mara nyingi linasikika sana klinik. sa you approach 9 months the more kuchoka.
nwayz pole
 
Penye red: Wananchi wengi wana hofu kwamba pindi atakapomaliza mwaka 2015, bei ya sukari itakuwa sh 8,000/- kwa kilo. Mwaka 2005 aliikuta sukari ikiuzwa sh 450/- kwa kilo na sasa imefikia karibu 2,000/- kwa kilo.

Hiyo ni sababu mojawapo ya yeye kukataliwa na wengi mwaka huu.

Mimi nadhani bei za vitu mbalimbali zikifika huko ndio wananchi wataelewa uhusiano wa serikali, siasa na hali za maisha yao ya kila siku. Nina imani watajitokea wengi zaidi kupiga kura kwenye uchaguzi ujao ili kuamua mustakabali wao kwa miaka ijayo. Mwaka huu waliojitokeza kupiga kura ni takribani asilimia 47 ya wote walioandikishwa na waliomchagua rais ni takriban asilimia 26 tu ya waliojiandikisha. Kwa maana kwamba waliomchagua rais ni takriban asilimia 12.5 tu ya wananchi wote nchini. Hii siyo dalili nzuri hata kidogo kwa demokrasia ya kweli nchini.
 
Juzi nilimwona Makamba anaongelea wanaochukua fomu za uspeaker akiwa mnyongeeeeeeeeeeeeee.
Naona asilimia 80 bado inamuumiza kichwa
 
Sorry wakuu! natoka nje kidogoooo...!hivi idadi ya wabunge wa upinzani kama wote wakivote kubadirika kwa katiba na wachache wa chama tawala(wasiopenda UFISADI) wakadondokea ktk kusupport ratiba mpya hivi ni possible kuibadiri!?? hata kama mafisadi hawataki!??:A S confused::A S confused::A S confused:
 
huwezi pendwa na wengi na vilivile huwezi chukiwa na wengi hivyo basi kuchukiwa na wengi inamaanisha nini?
 
Hata kama kura zingekuwa hazijaibwa Kwa aliyeshinda hana cha kujivunia kwani amechaguliwa na 26% only of eligible voters
 
Nani anajua watatagaza rasmi matokeo ya urais ili watu tujisogeze kwenye TV tukaangalie Imani ya wananchi kwa JK imeshuka toka 80% mpaka sitini something ni jambo la hatari.
naombeni jibu WANAJF.
 
Dr.Slaa umeshinda kilichotokea tumeibiwa. hizo kura za CCM ni za kubuni tu. Kama walijua watachakachua kulikuwa na ulazima gani wa kutumia resources za nchi kiasi hiki. Usalama wa TAifa mmeonyesha ninyi ni machumia tumbo. Mna ndugu waliomasikini na wanahitaji kiongozi serious lakini mmezika ndoto zao. Lawama hizi ziwafikie popote mlipo. Nguvu ya umma inakuja kwa nguvu zote 2015.

Dr. SLAA you will always be my hero! You have made those who adore and believe in true democracy proud! Hata kama mambo yamekuwa hivyo yalivyo, lakini historia ya taifa hili haitakuwa kama ilivyokuwa! Na huu ni mwanzo tuu! HONGERA!:yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield:
 
Enzi ya kushinda kwa kishindo ....sasa ni historia!!!!!!!!

....Na kama sisiem walitegemea.... about 80% win... na majmbo yote kwa ubunge...

Kiuweli wahesabu kuwa wameshindwa..kwa kiasi kikubwa..!!!
 
Why waste your time discussing lies? Haya siyo matokeo ya kura ila ni matokeo ya vijana waliokuwa na miraji kikwete pale upanga wakiaandaa matokeo yao. Unfortunately wakilipwa sh. 46 millions per day ili watengeneze matokeo hayo. watanzania amkeni. Amini Kiwete raisi wa wapiga kura wa upanga atavuruga hii nchi kifisadi kwani anajua harudi tena kuomba kura kweni. Shame upon him Jambazi hili linaloshirikiana na maswahiba wake aliowaweka ili walitetee.

Mheshimiwa Nginda;

Unaweza kufafanua zaidi juu ya hili swala... limeongelewa sana... !
 
Back
Top Bottom