matokeo kidato cha nne 2012/2013

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
5,759
5,289
FAILED.jpg

sasa unashangaa nini!!! Hayo ndio matokeo yako uliyokuwa uanyaulizia kila siku
 
Wajipange tu kuzurura mtaani na kujibwetekea tu kama hana hela yakurudia ndo kitu kitakacho fuata apo coz hana namna tena.
 
mwaka wao huuu maana sijawahi ona graf ya ufahuru inaongezeka ni kila mwaka nafuu ya uliopita sasa hapo ndo shazi mtaani karibuni mtaani ila msikate tamaa maana maisha ndo kipimo cha akili yakiwashinda na hayo basi ninyi ndo kwish neh.
 
Mleta mada unakifahamu kidato cha nne..!!?? au ndo vile darasa la nne ukaona inatosha ukakimbilia u dj..!?? pole

mmmh we unadhani udj kama siasa ambazo zinaenda kwa propaganda na porojo kibaoo....u deejay wito mkuu akili zaidi inahitajika
 
Kwa waliofaulu hong era sana na msibweteke na majibu Haya watu wanatoka na one ya point 7 ,six anatoka na dv 0 .waliofeli poleni na muchukulie Kama ni changamoto kwenu!simama ulipoanguka chagua njia ya kupitia mpaka utimize ndoto zako.kila laheri
 
Back
Top Bottom