NECTA imedanganya umma kidato Cha pili matokeo ni mabaya mno

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Aug 8, 2021
2,205
3,009
Yaani hii nchi sijui tunaelekea wapi, kipindi cha nyuma matokeo ya kidato Cha pili na nne, watu walikuwa wanayafanyia analysis. Na serikali ilikuwa inawajibika aswaa kuboresha Elimu.

Sasa hivi kila mtu anawaza uchaguzi, matokeo ya kidato Cha pili yanatisha na kutia hasra, Cha kushangaza watu wamekaa kimya.

Ukichukua shule 20 za serikali unazozijua wewe ukalinganisha matokeo ya kidato Cha pili ya mwaka huu na uliopita utaona shule hizo zote ufahulu umeshuka. Cha kushangaza NECTA wanasema ufahuru umeongezeka how come.

Hali mbaya ndugu zangu, shule hazina walimu, madarasa hayatoshi, vitendea kazi hamna, kinachobaki ni NECTA kupika data eti performance imeongezeka.

Serikali ajiri walimu wa kutosha, jengeni madarasa ya kutosha, ongezeni vifaa vya kujifunza na kujifunzia.

Chini ni matokeo ya shule za serikali ya CCM.
20240110_205215.jpg
Screenshot_20240110-205905.jpg
 
Yaani hii nchi sijui tunaelekea wapi, kipindi cha nyuma matokeo ya kidato Cha pili na nne, watu walikuwa wanayafanyia analysis. Na serikali ilikuwa inawajibika aswaa kuboresha Elimu.

Sasa hivi kila mtu anawaza uchaguzi, matokeo ya kidato Cha pili yanatisha na kutia hasra, Cha kushangaza watu wamekaa kimya.

Ukichukua shule 20 ukalinganisha matokeo ya kidato Cha pili ya mwaka huu na uliopita utaona shule hizo zote ufahulu umeshuka. Cha kushangaza NECTA wanasema ufahuru umeongezeka how come.

Hali mbaya ndugu zangu, shule hazina walimu, madarasa hayatoshi, vitendea kazi hamna, kinachobaki ni NECTA kupika data eti performance imeongezeka.

Serikali ajiri walimu wa kutosha, jengeni madarasa ya kutosha, ongezeni vifaa vya kujifunza na kujifunzia.

Chini ni matokeo ya shule za serikali ya CCM.View attachment 2867708View attachment 2867709
Samia katuharibia elimu yetu
 
Hii ya kupika records ni kila, sielewi hata kwann hawataki kukubali kuwa nchi imewashinda
 
Ukichukua shule 20 ukalinganisha matokeo ya kidato Cha pili ya mwaka huu na uliopita utaona shule hizo zote ufahulu umeshuka. Cha kushangaza NECTA wanasema ufahuru umeongezeka how come.

Hali mbaya ndugu zangu, shule hazina walimu, madarasa hayatoshi, vitendea kazi hamna, kinachobaki ni NECTA kupika data eti performance imeongezeka.
Watakuambia unamchukia mpemba
 
Yaani hii nchi sijui tunaelekea wapi, kipindi cha nyuma matokeo ya kidato Cha pili na nne, watu walikuwa wanayafanyia analysis. Na serikali ilikuwa inawajibika aswaa kuboresha Elimu.

Sasa hivi kila mtu anawaza uchaguzi, matokeo ya kidato Cha pili yanatisha na kutia hasra, Cha kushangaza watu wamekaa kimya.

Ukichukua shule 20 ukalinganisha matokeo ya kidato Cha pili ya mwaka huu na uliopita utaona shule hizo zote ufahulu umeshuka. Cha kushangaza NECTA wanasema ufahuru umeongezeka how come.

Hali mbaya ndugu zangu, shule hazina walimu, madarasa hayatoshi, vitendea kazi hamna, kinachobaki ni NECTA kupika data eti performance imeongezeka.

Serikali ajiri walimu wa kutosha, jengeni madarasa ya kutosha, ongezeni vifaa vya kujifunza na kujifunzia.

Chini ni matokeo ya shule za serikali ya CCM.View attachment 2867708View attachment 2867709
Dah! Hiyo shule ya sekondari ya Diplomasia imetisha sana! Sijui hata iko Mkoa/Wilaya gani eti!!
 
Yaani hii nchi sijui tunaelekea wapi, kipindi cha nyuma matokeo ya kidato Cha pili na nne, watu walikuwa wanayafanyia analysis. Na serikali ilikuwa inawajibika aswaa kuboresha Elimu.

Sasa hivi kila mtu anawaza uchaguzi, matokeo ya kidato Cha pili yanatisha na kutia hasra, Cha kushangaza watu wamekaa kimya.

Ukichukua shule 20 ukalinganisha matokeo ya kidato Cha pili ya mwaka huu na uliopita utaona shule hizo zote ufahulu umeshuka. Cha kushangaza NECTA wanasema ufahuru umeongezeka how come.

Hali mbaya ndugu zangu, shule hazina walimu, madarasa hayatoshi, vitendea kazi hamna, kinachobaki ni NECTA kupika data eti performance imeongezeka.

Serikali ajiri walimu wa kutosha, jengeni madarasa ya kutosha, ongezeni vifaa vya kujifunza na kujifunzia.

Chini ni matokeo ya shule za serikali ya CCM.View attachment 2867708View attachment 2867709
Nchi Ina shule 20? Punguza kuvimbiwa ujinga
 
Back
Top Bottom