Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,566
Utafiti wa wiki moja uliochukua sampuli ya watu 30 ktk kila kata miongoni mwa kata za arumeru mashariki uliofanya na asasi ya Arusha raha press unaonesha kuwa Mgombea wa chadema Joshua Nassari anaongoza kwa kupata asilimia 78 za ushindi hivyo kumfagilia njia kijana huyo dhidi ya asilimia 20 za mgombea wa ccm Bw siyoi sumari.big up Nassari
Hivi ukitukanwa kuna kosa?
Peleka mautafiti yako huko!
Tunachofahamu na ndivyo itakavyokuwa ni kwamba Nassari ana zaidi ya 90%