Matokeo jimbo la Arumeru mashariki yatakua hivi

Wana jf sijui kitu gani kitokee lakini nimeshazunguka kata kumi na tatu kati ya kumi na saba. Naona dalili ni kwamba hamna upinzani. Upinzani upo kata nne tu za barabara kuu. Kule kwingine naona CCM tu. Hapa mimi najua nashughulika na kata za barabarani tu. Naiona arumeru kama kwa Raza zanziba kule ndivyo ccm itashinda. Pia harakati za upinzani zimepoza kweli tofauti na igunga sijui nguvu iliishia huko. It is different. Happa kinachosaidia cdm ni umarufu binafsi wa mgombea. Lakini milaksti na juhudi kama zile za igunga sijaona labda bado. In short hapa ccm tunashinda labda dunia iishie tar 31 machi
Mkuu nilipo bold ndipo habari yako nzima ilipolalia, hicho kitu labda kimeshaanza kutokea, hujiulizi kwa nini leo hamkufungua kampeni kama mlivyopanga?. Halafu kitu kingine this time husemi kwa tambo kama ulivyokuwa unafanya Igunga achana na Uzini ambapo hata kipofu alijua. Igunga pamoja na mikiki mikiki yako uliambulia difference ndogo sana, unategemea nini jimbo hili ambalo mko ugenini?
 
Wana arumeru mashariki bila shaka mwajitambua vzur>ni wakat mwingne mnaletewa mbiv na mbich mchague moja(Watukuza rushwa na watukuza haki) kaz kwenu CDM ipo kwa ajil yenu/yetu sote
 
Haya mechi bado haijachezwa mashabiki wameanza kushangilia ushindi tambueni Refa wa uchaguzi ni wa CCM kupewa penalt dk 90 kawaida!!!!!
 
Mwigulu juzi siyoi akichukua fomu ilikuwa aibu,2lizomewa njia nzima.msafara wenyewe haukuwa well organised,ilipooza.NLIMUONEA JAMAA HURUMA pale sekei ccm wilaya.KUBALI huwezi kiri udhaifu.da truth and tha real situation ni hili: HALI YENU ARUMERU NI TETE MUGULU
 
Kwani Sheikh Yahya alikuachia mikoba yake??

mr zero,hapa hapahitaji mnajimu wala mikoba! Ni tathimini isiyohitaji utafiti,ukubali ukatae.UKICHANGANYA NA HAYA MADUDU WAYAFANYAYO JUU YA KUWAKOROGA MADAKTARI!! Mauti ni yenu.
 
Wana jf sijui kitu gani kitokee lakini nimeshazunguka kata kumi na tatu kati ya kumi na saba. Naona dalili ni kwamba hamna upinzani. Upinzani upo kata nne tu za barabara kuu. Kule kwingine naona CCM tu. Hapa mimi najua nashughulika na kata za barabarani tu. Naiona arumeru kama kwa Raza zanziba kule ndivyo ccm itashinda. Pia harakati za upinzani zimepoza kweli tofauti na igunga sijui nguvu iliishia huko. It is different. Happa kinachosaidia cdm ni umarufu binafsi wa mgombea. Lakini milaksti na juhudi kama zile za igunga sijaona labda bado. In short hapa ccm tunashinda labda dunia iishie tar 31 machi
Mwigulu LM Nchemba, binafsi ninafarijika sana kuona watu kama nyinyi wenye dhamana na vyama vyenu, imejiunga jukwaa hili. Hii inasaidia sana to put things right kwa sababu mara nyingi watu huzua la kuzua na likiachwa hugeuka ndio ukweli.

Nakushauri uwe na moyo wa chuma wa uvumilivu na ustahimilivu wa hali ya juu, maana humu sio uwanja wa kidumu chama cha mapinduzi, humu ni hoja kwa hoja!.Mwenzio Nape tuliishi nae vizuri kabla haukwaa ulaji alionao sasa, sasa hapa anapaogopa kama kituo cha polisi kutokana na ustahimilivu mdogo ndidi ya mashambulizi ya members humu. Hata Dr. Kigwa nae alikuwemo sana ila sasa hapa ni kama polisi post kwake! Nakuomba uwe mgumu kuvumilia yote.

Kuhusu uchaguzi Arumeru, nimesema hivi
Mkuu Beko, asante kwa utabiri, uchaguzi Arumeru ulishamalizika zamani na matokeo ndio kama hayo ila the other way round!. Kinachoendelea sasa ni kutimiza tuu matakwa ya kikatiba kutimiza sheria, taratibu na kanuni!.

Hata hivyo, kushinda huku kwa CCM sio kuwa CCM ndio inapendwa sana!, la hasha!, Sioi atashinda kwa sababu zingine, ambazo mimi ninazijua na naamini na wewe Mchemba unazijua!.

Nimesema mara nyingi humu jukwaani kuwa CCM inashinda chaguzi nyingi sio kwa sababu, inapendwa sana, no, CCM inashinda kwa sababu ina capitalize on ignorance ya Watanzania!, tutafika mahali, wale ignorant watakwisha, na waliolala wataamka, hivyo there will be no more capitalization on ignorance, na CCM itaanguka kama Mbuyu!.
 
Mwigulu ivi una akili? Shule za kata alizopropose lowahasa zinawamaliza coz somehow inawazibua raia akili.ENZI YA ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI ZISHAPITA.mi nipo arumeru,nipo usalama ila sichanganyi kazi na siasa but Ccm ni chali huku
 
Majeshi yapi (Duh ww kweli ni mbumbumbu hata somo la uraia hujasoma, tukusaidiaje sasa? kukusaidia ni ww kujitoa humu) wewe **** (Ndio umeandika nn hii sasa? hata kuandika hujui?) unayoyazungumzia (Ww kumbe ni bubu asante kwa kutujuza) haya yanayouwa watanzania kila kukicha kama CHADEMA (A group of insane people in Juda) chama cha kazikazini (Mbona liko wazi na ushahidi ni ww mwenyewe) CCM (Chama Dume) mnatafuta (Kwani madini hayo?) nini Arumeru (Mbunge Sioi) .....Je unataarifa (Sina na sina haja yakuzijua kwani ww si mkweli kawape familia yako) kuwa chadema (Chama cha kikabila kaskazini) ina wabunge (Wangapi?) wengi (Wangapi?) kutoka kanda ya ziwa au ni huko ni kazikazini (Hujui hata pande za dunia , kweli maimuna) ....Tuondolee (Nini ?) ujinga(Kumbe, ndio maana una fikra mgando) hapa JF (Great Thinkers tu ndio wanaotakiwa na ww haumo)

Jitoe jitoe humu huna jipya mzee, soma comments zote zilizo kuwa bolded na ujibu moja baada ya nyingine


Mbona jibu ni rahisi ni kwamba; Tumbo Laponza ******! Upo?
 
Kumbuka (Ww huna kumbukumbu mpaka unategemea JF?) kuwa makamanda (Makamanda uchwara) toka Rombo, Moshi Mjini, Arusha Mjini, na Hai (Majimbo CDM chama cha kikabila cha kaskazini) watakua (Lini ?) wanaongoza ulinzi (Duh kweli wajinga wali wao, majeshi si yapo) wa kura, Arumeru walishachoka (Mbona familia nawe imekuchoka husemi) na laana (Ndio nn? weka tafsiri yake) ya CCM (Chama Tawala na chenye dola) na sasa (Duh unakumbuka kujifunisha shuka kumekucha) wako makini ile mbaya (Nzuri itakuwaje sasa ?)

Toa ***** wako humu JF si sehemu yako

nimeamini umetawaliwa na UJINGA ww! ivi unawezaje kuongea bila AIBU kwa kutamka CDM chama cha UKABILA na iringa, mbeya hii nayo ni mikoa ya kazkazini? hivi ARUSHA na MOSHI kuna ukabila upi hapo kati ya waarusha au maasai na MOSHI? CDM ni chama cha waelevu, wapenda haki na wenye uchungu na nchi hii inayo megwa na magwiji wa CCM kama watakavyo! hii inchi itarudi tunako taka tu, hiyo ujue nakuambia iwe kwa kumwaga damu au vyovyote vile.... NGUVU ya umma ita lirudisha taifa hili mahali tunako taka. SOMA ALAMA ZA NYAKI, usitaje mambo ya UKABILA hapa JF, baada ya kujadili reality......
 
ndugu wadau wa JF, yafuatayo yatakua matokeo ya kura za ubunge jimbo la Arumeru. Hii ni kwa Mijibu wa utafiti binafsi nilioufanya kabla hata ya kampeni kuanza

CHADEMA betwee 65%-70%
CCM arround 30%
All other parties less than 5%

Nawakilisha.

Utafiti tunaouamini ni wa Dr.Banna tu.period
 
Mbona jibu ni rahisi ni kwamba; Tumbo Laponza ******! Upo?

Mbona (Huna uhakika wale wale wenye fikra mgando) jibu (Lipi?) ni rahisi (Gumu ni lipi?) ni kwamba; Tumbo (Duh kumbe huna tumbo, sasa una nn ?) Laponza (Kivipi ? toa ushahidi wakisayansi) ****** (Ndio umeandika nn sasa hapa?) ! Upo (Duh, kweli wajinga wali wao, mtu unamuona then unauliza tukuitaje sasa majununu au?

 
Back
Top Bottom