Matokeo jimbo la Arumeru mashariki yatakua hivi

Kura za kweli za CCM 20% watakazoiba(kuchakachua)35% Jumla ya kura za ccm ni 55% na hawa CDM kura zote ni 40% uwezo wa kuchakachua hawana. Asilimia zitakazobaki na zile zilizochakachuliwa za ccm ni kura zitakazo haribika.Sasa ccm watatumia mwanya huo wa kuharibika kwa kura kuchakachua.

Ni mtazamo tu!!

Kumbuka kuwa makamanda toka Rombo, Moshi Mjini, Arusha Mjini, na Hai watakua wanaongoza ulinzi wa kura, Arumeru walishachoka na laana ya CCM na sasa wako makini ile mbaya
 
This time sahau kusikia chadema wakilalamika kwamba wamechakachuliwa huku meru wanashinda kwa ushindi ambao hautafaa kuchakachua na wamepanga safu za makamanda kila kijiji mawakala ni wazoefu kumbuka wale waliosimamia lema, mbowe na ndesamburo wakashinda wote watakuwa arumeru............. this time ushindi ni lazima, wanaccm wengi mpaka mabalozi washaikana ccm na wameahidi kuchagua CDM wengine wanafanya kimya kimya tu hawajitangazi ila sisi tulioko nao vijijini tunajua hata juzi pale kata ya maji ya chai kuna wajumbe walikoswakoswa na chadema & TAKUKURU waliporudi vijijini wameona wanahatarisha maisha yao kwa kuisaidia ccm ( wameshaanza kuogopa)

Big up sana mkuu hii ni habari njema kama itakuwa hivyo.
 
ndugu wadau wa JF, yafuatayo yatakua matokeo ya kura za ubunge jimbo la Arumeru. Hii ni kwa Mijibu wa utafiti binafsi nilioufanya kabla hata ya kampeni kuanza

CHADEMA betwee 65%-70%
CCM arround 30%
All other parties less than 5%

Nawakilisha.

Utafiki wa RAI ambao ni wa kisayansi na ulio fuata weledi wote wa kitafiti tayari umeisha weka wazi kuwa CCM itashinda kwa >70% . Huu wa kwako tunauita utafiti uchwara na wa ki layman

Kumbuka kuwa makamanda toka Rombo, Moshi Mjini, Arusha Mjini, na Hai watakua wanaongoza ulinzi wa kura, Arumeru walishachoka na laana ya CCM na sasa wako makini ile mbaya

Kumbuka (Ww huna kumbukumbu mpaka unategemea JF?) kuwa makamanda (Makamanda uchwara) toka Rombo, Moshi Mjini, Arusha Mjini, na Hai (Majimbo CDM chama cha kikabila cha kaskazini) watakua (Lini ?) wanaongoza ulinzi (Duh kweli wajinga wali wao, majeshi si yapo) wa kura, Arumeru walishachoka (Mbona familia nawe imekuchoka husemi) na laana (Ndio nn? weka tafsiri yake) ya CCM (Chama Tawala na chenye dola) na sasa (Duh unakumbuka kujifunisha shuka kumekucha) wako makini ile mbaya (Nzuri itakuwaje sasa ?)

Toa ***** wako humu JF si sehemu yako

Utafiki wa RAI ambao ni wa kisayansi na ulio fuata weledi wote wa kitafiti tayari umeisha weka wazi kuwa CCM itashinda kwa >70% . Huu wa kwako tunauita utafiti uchwara na wa ki layman

Usayansi na weledi upi? labda kwa wazazi wako..
 
Kumbuka (Ww huna kumbukumbu mpaka unategemea JF?) kuwa makamanda (Makamanda uchwara) toka Rombo, Moshi Mjini, Arusha Mjini, na Hai (Majimbo CDM chama cha kikabila cha kaskazini) watakua (Lini ?) wanaongoza ulinzi (Duh kweli wajinga wali wao, majeshi si yapo) wa kura, Arumeru walishachoka (Mbona familia nawe imekuchoka husemi) na laana (Ndio nn? weka tafsiri yake) ya CCM (Chama Tawala na chenye dola) na sasa (Duh unakumbuka kujifunisha shuka kumekucha) wako makini ile mbaya (Nzuri itakuwaje sasa ?)

Toa ***** wako humu JF si sehemu yako

Majeshi yapi wewe **** unayoyazungumzia haya yanayouwa watanzania kila kukicha kama CHADEMA chama cha kazikazini CCM mnatafuta nini Arumeru.....Je unataarifa kuwa chadema ina wabunge wengi kutoka kanda ya ziwa au ni huko ni kazikazini....Tuondolee ujinga hapa JF
 
Usayansi na weledi upi? labda kwa wazazi wako..

Usayansi (Napo huujui? kweli ufukara wa fikra mbaya sana ) na weledi (Napo huujui? kweli udumavu wa fikra wako mbaya sana) upi? labda (Huna uhakika kama kawaida yako kila kitu hujui) kwa wazazi (Ww kumbe huna wazazi, au mambo ya watoto wa mitaani ? )

Jitoe jitoe JF huna jipya ni bora ukatumia nguvu zako kulima
 
lete yako we mwenye akili timamu mwenye kujua uchakachuaji na biashara ya shahada za kura

lete (Kumbe huna ?) yako we mwenye akili timamu (Ndio wanaotakiwa humu JF , kwa vile umeisha declare hauna hufai kuwemo humu JF) mwenye kujua uchakachuaji (Tueleze huwa wanachakachuaje ? step by step) na biashara ya shahada za kura (Tueleze inakuwaje? malipo yanafanyikaje? na kama ulivyosema ni biashara risiti zinatolewaje? kodi zinakusanywaje kwenye hiyo biashara?)

Tupe majibu ya maswali hapo juu ndio tukuamini humu JF ukishindwa jitoe JF

Majeshi yapi wewe **** unayoyazungumzia haya yanayouwa watanzania kila kukicha kama CHADEMA chama cha kazikazini CCM mnatafuta nini Arumeru.....Je unataarifa kuwa chadema ina wabunge wengi kutoka kanda ya ziwa au ni huko ni kazikazini....Tuondolee ujinga hapa JF

Majeshi yapi (Duh ww kweli ni mbumbumbu hata somo la uraia hujasoma, tukusaidiaje sasa? kukusaidia ni ww kujitoa humu) wewe **** (Ndio umeandika nn hii sasa? hata kuandika hujui?) unayoyazungumzia (Ww kumbe ni bubu asante kwa kutujuza) haya yanayouwa watanzania kila kukicha kama CHADEMA (A group of insane people in Juda) chama cha kazikazini (Mbona liko wazi na ushahidi ni ww mwenyewe) CCM (Chama Dume) mnatafuta (Kwani madini hayo?) nini Arumeru (Mbunge Sioi) .....Je unataarifa (Sina na sina haja yakuzijua kwani ww si mkweli kawape familia yako) kuwa chadema (Chama cha kikabila kaskazini) ina wabunge (Wangapi?) wengi (Wangapi?) kutoka kanda ya ziwa au ni huko ni kazikazini (Hujui hata pande za dunia , kweli maimuna) ....Tuondolee (Nini ?) ujinga(Kumbe, ndio maana una fikra mgando) hapa JF (Great Thinkers tu ndio wanaotakiwa na ww haumo)

Jitoe jitoe humu huna jipya mzee, soma comments zote zilizo kuwa bolded na ujibu moja baada ya nyingine

ndugu wadau wa jf, yafuatayo yatakua matokeo ya kura za ubunge jimbo la arumeru. Hii ni kwa mijibu wa utafiti binafsi nilioufanya kabla hata ya kampeni kuanza

chadema betwee 65%-70%
ccm arround 30%
all other parties less than 5%

nawakilisha.
no research, no data, no data no right to talk, hapa jf sio mahali pa propaganda kama magazeti ya rai na udaku, tafadhali tuambie utafiti umefanyaje sample size na parameters zote ulizotumia kuna analyse data zako. Always jaribu ku post issue ya kufikirisha na kuchangamsha akili, sio kukurupuka tu na kupost upuuzi ambao any fool can do it!!jf is the home og great thinkers!!!
 
lete (kumbe huna ?) yako we mwenye akili timamu (ndio wanaotakiwa humu jf , kwa vile umeisha declare hauna hufai kuwemo humu jf) mwenye kujua uchakachuaji (tueleze huwa wanachakachuaje ? Step by step) na biashara ya shahada za kura (tueleze inakuwaje? Malipo yanafanyikaje? Na kama ulivyosema ni biashara risiti zinatolewaje? Kodi zinakusanywaje kwenye hiyo biashara?) tupe majibu ya maswali hapo juu ndio tukuamini humu jf ukishindwa jitoe jf

duh!! Siku hizi na ma-cd wanaingia jf!!!!??
 
Attachments

  • Photo0093.jpg
    Photo0093.jpg
    62.4 KB · Views: 19
Utafiti wa wiki moja uliochukua sampuli ya watu 30 ktk kila kata miongoni mwa kata za arumeru mashariki uliofanya na asasi ya Arusha raha press unaonesha kuwa Mgombea wa chadema Joshua Nassari anaongoza kwa kupata asilimia 78 za ushindi hivyo kumfagilia njia kijana huyo dhidi ya asilimia 20 za mgombea wa ccm Bw siyoi sumari.big up Nassari
 
Siku nyingineNdg Bashe ukitaka kuendesha propaganda kwa faida ya CCM-Lowassa katika jimbo lolote nchini kwa kutumia nyenzo hii ya kitalaam kiitwacho 'UTAFITI' eti kwa kudaiwa kufanywa na li-Rai la bila Jenerali Ulimwengu of all newspapers in the country, basi ni muhimu ukanakili moja kwa moja hii sentensi fupi lakini la ki-ufundi wa hali ya juu kukidhi vigezo vyote kama ilivyoandikwa kwa njia ya kuaminika kitaalam hapa chini.

Mhe Vicent Nyerere na msaidizi wako hapo Arumeru Mashariki, sasa tunawaombeni sana kuongeza juhudi ili ushindi wa Kamanda Nassari uongezeke walau kwa 10 % zaidi ya jinsi ambavyo huu utafiti makini unavyotubashiria hapa.

Kazi iendelee na somo la uraia mbeeele kama tai vijiji vyote hapo jimboni.

Utafiti wa wiki moja uliochukua sampuli ya watu 30 ktk kila kata miongoni mwa kata za arumeru mashariki uliofanya na asasi ya Arusha raha press unaonesha kuwa Mgombea wa chadema Joshua Nassari anaongoza kwa kupata asilimia 78 za ushindi hivyo kumfagilia njia kijana huyo dhidi ya asilimia 20 za mgombea wa ccm Bw siyoi sumari.big up Nassari
 
Siku nyingineNdg Bashe ukitaka kuendesha propaganda kwa faida ya CCM-Lowassa katika jimbo lolote nchini kwa kutumia nyenzo hii ya kitalaam kiitwacho 'UTAFITI' eti kwa kudaiwa kufanywa na li-Rai la bila Jenerali Ulimwengu of all newspapers in the country, basi ni muhimu ukanakili moja kwa moja hii sentensi fupi lakini la ki-ufundi wa hali ya juu kukidhi vigezo vyote kama ilivyoandikwa kwa njia ya kuaminika kitaalam hapa chini.

Mhe Vicent Nyerere na msaidi

yani utafiti ukiwa tofauti na chadema ni batili? Kwani utafiti kilichofanya uuamini na uupuuze ule wa rai ni nini? Tafiti zote mbili ziko kipropaganda! Huwezi kusema kwa kuwa flani kahojiwa na kasema ataipigia ccm basi tunaashumu walobaki nao watapigia ccm,thats nonsense! Matokeo ni kura si tafiti be matured guys
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom