- Thread starter
- #21
Kura za kweli za CCM 20% watakazoiba(kuchakachua)35% Jumla ya kura za ccm ni 55% na hawa CDM kura zote ni 40% uwezo wa kuchakachua hawana. Asilimia zitakazobaki na zile zilizochakachuliwa za ccm ni kura zitakazo haribika.Sasa ccm watatumia mwanya huo wa kuharibika kwa kura kuchakachua.
Ni mtazamo tu!!
Kumbuka kuwa makamanda toka Rombo, Moshi Mjini, Arusha Mjini, na Hai watakua wanaongoza ulinzi wa kura, Arumeru walishachoka na laana ya CCM na sasa wako makini ile mbaya