Matokeo Biharamulo: Chadema yaongoza Mijini, CCM vijijini!

Je hivyo vituo sita vina wapiga kura wangapi??

hapo ccm ndipo wanapowapiga bao wapinzani...hata ikibaki kata moja ...utashangaa wanafidia mashimo yote kwenye kata moja...hata kama wanadaiwa kura 600 na kituo kina wapiga kura 400....utashangaa kura zinakuwa nyingi kuliko waliojiandikisha....

its too early elections to call...
 
kwisha kazi.....
kitu ninachoweza kusema CCM haikubaliki b'mulo hata wakishinda.......

Mkuu si useme vyema tu kwamba haikubaliki hata wakiendeleza jadi yao ya kuiba kura na 'kuKivuiti' matokeo?

Lakini trend ilivo sasa 2010 kibarua kizito!
 
Matokeo yanazidi kuingia gizani hapa CCM naamini wamebanwa sana .Si kawaida yao hata mara moja maana ni wepesi wa kutoa vijembe .
 
hawa jamaa ni hatari hasa wanapobaini kuna kushindwa...nilisha shuhudia kigoma mjini mara mbili, temeke enzi za nccr.......chadema wanatakiwa kuwa makini kweli kweli....kituo kimoja kinaweza kikawa na wapiga kura 1200!!!!!kesi baadaye.
ndo msemo wanao penda kuwaambia vijana wao kwenye makambi.....iba kura...kesi baadaye
 
Wizi wa CCM unavyotupa presha iko siku tutachoka na hizi presha zetu na kufanya vioja.
Matokeo tafadhali kama yamepatikana.
Asanteni sana mnaohangaika kwa ajili ya wengi najua ground zero iko kazi.
 
Taarifa kamili ni kwamba Chadema wamerudia mambo ya tarime .Chadema imeshinda Biharamulo habari za uhakika ,unaweza kupiga hapa na kuujua ukweli +255 787 474 707

Hongera sana Chadema
 
Awali:

Ingawa matokeo rasmi hayajatangazwa, CHADEMA inaelekea wameweza kuwashinda kwa karibu kabisa CCM kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika Biharamulo hii leo.

Mpaka zinapatikana hesabu za mwishomwisho kukiwa bado kituo kimoja cha Nyabugombe B chenye wapiga kura 394 CHADEMA ilikuwa ikiongoza kwa 50.6% huku CCM ikiifuatia kwa karibu ikiwa na asilimia 48.8% ya kura zote na TLP ikiwa imejinyakulia 0.55% ya kura zote.

Matokeo yanatarajiwa kutangazwa rasmi punde

Lakini matokeo ambayo yamejumlishwa mpaka dakika hii ni haya:

CHADEMA: 17,313

CCM: 16,682

TLP: 187

Turnout ilikuwa 39.24%
(incredible!)

========================================

UPDATE 1...

Matokeo ya kituo kwa kituo tuliyoyapata toka kwa mwakilishi wa JF jimboni humo yameambatanishwa hapa chini kama attachment:

i511_matokeobiharamulomagharibi.jpg

========================================

UPDATE 2.

Tume ya uchaguzi imesema hivi:

CCM: 17,561 = 51%

CHADEMA: 16,670 = 48.4%

CHADEMA wameyakataa matokeo kwani wanadai matokeo ya kata 3 yamegeuzwa tofauti na walivyosaini wasimamizi wa matokeo na yalivyohesabika vituoni!

========================================

Update 3.

Tume ya Uchaguzi imemtangaza mgombea wa CCM kama mshindi kwa kura zinazoonyeshwa kwenye Update ya awali ingawa CHADEMA wameyakataa matokeo ya vituo 9 kati ya vituo 237 vya uchaguzi!

Attachments

  • RESULTS.xls
    170.5 KB · Views: 321
Last edited by a moderator:
Hongera sana chadema, pole Lyatonga Mrema & TLP, poleni ccm, acheni kushabikia na kulinda ufisadi vinginevyo 2010 itakuwa mbaya sana.
 
yeah.... safi sana CHADEMA.... safi sana kumuangusha Goliati........wakuu Pasco, Invi, na wengine wote.,..... twawashukuru sana kwa kutuletea nyeti mpaka dakika ya mwisho............

Taratiiiibuuuu tunaikaribia 2010, wabebe Raisi lakini Bunge litakuwa biriani.... a small amount of everybody kuongeza chumvi na upinzani na kuzidisha kasi ya maendeleo.....
 
Hongereni CHADEMA. Hii inaleta matumaini kuwa siku sio nyingi hii nchi inaweza kuwa ya Watanzania wote na sio wateule na wapembe wao.
 
Back
Top Bottom