Matokeo Biharamulo: Chadema yaongoza Mijini, CCM vijijini!

Tumechoka na mambo haya afadhali kusiwe na uchaguzi kabisa maana kuna fraudness kibao huko. Am getting sick with all things about this election man
 
pasco, tafadhali tupatie tarakimu tu sio longa longa. tafsiri ya hizo tarakimu tutafanya wenyewe.

macinkus
 
Turn out ni ndogo chini ya 40%. Matokeo yote yatapatikana kabla ya saa 2 usiku huu.

Sasa wameshanunua shahada na kuziharibu, watu watapiga kura vipi? Na hiyo ndiyo safari kuelekea 2010. Kazi muhimu inayoendelea ni kununua shahada. Kampeni zikifika wahudhuriaji wengi ambao hawawezi kupiga kura.
 
Sasa wewe Pasco?? unasema CHadema wanaongoza mijini haya ya vijijini yako wapi?? umeyapata tayari au ni tetesi tu??
 
Wakati tukiendelea kusubiri matokeo, kiongozi mwingine wa Chadema kamwagiwa kemikali, na gari la Chadema lapata ajali, viongozi wake wawili wa Biharamulo, wamejeruhiwa, wote wako hospital ya Biharamulo.
Mbowe, Dr. Slaa, Zitto na viongozi wengine wako hapo hospital.
 
Oh, masikini poleni sana. Mungu awajalie mpone haraka!

Pasco asante kwa info, ila saa 2 inakaribia ina maana huko hamna mawasiliano ya simu? walau ungepata taarifa za huko vijijini kwani kwa jiografia ya huko, ni kazi kweli kufika vituo vingi in person!
 
Bw. Masatu,

Vijana shupavu na jasiri wa Chadema hawasaini Fomu za matokeo pale kituoni mpaka "kieleweke". Wakala wa Chadema wanajua wana-deal dhidi ya agents wazoefu ktk wizi na janjajanja. Matokeo ya majumuisho ktk kituo kikuu cha Jimbo hayatiwi saini na Mgombea kama hashindi na haridhiki na mwendendo mzima wa uchaguzi.

But I repeat, whatever the results of Biharamulo, "Operesheni Sangara" must continue countrywide hasa vijijini; viongozi wapya wakisimikwa ktk kila ngazi kuanzia chini kabisa.

It is a matter of relief and optimism, that new recruits into Chadema in their hundreds, are erstwhile ccm members disappointed with the regime's handling of ufisadi and what can be called the "plundering of the public purse".

Teachers, doctors, agricultural extentionists and other professionals in public service are all in arrears in respect of salaries and other emoluments due to them because money has been syphoned into top leaders' pockets. Endless seminars, warshas and kongamanos attracting huge allowances for big shots are continuing.
 
Last edited:
Sasa wewe Pasco?? unasema CHadema wanaongoza mijini haya ya vijijini yako wapi?? umeyapata tayari au ni tetesi tu??
Sio tetesi ni trend, matokeo yaliyopatikana ni ya town tuu, ya vijijini yanashuka kwenye vyama vyenyewe.
Ila taarifa nilizonazo sasa ni kuwa Chadema wanazidi kufunika vijijini. Samahani sijaweza kuweka data za idadi ya kura kwa sababu hiyo ni kazi ya waandishi wa habari.
 
Chadema,

Mkitoka Biharamulo endeleeni na "Operesheni Sangara" vijijini Mkoa wote wa Kagera. Halafu mikoa mingine yote Tz bara. Hakuna kulala, mpaka mafisadi na chama chao wang'oke. Dhuluma, ubadhirifu ziiiiiiii 2010.
Umeshatoa mchango wa usafiri au unaandika hapa JF operation inahaitaji fedha changia kabla mafisadi hawajaiteka halafu tutoke "kwa fisadi A twende kwa fisadi B" fikiri
 
Sio tetesi ni trend, matokeo yaliyopatikana ni ya town tuu, ya vijijini yanashuka kwenye vyama vyenyewe.
Ila taarifa nilizonazo sasa ni kuwa Chadema wanazidi kufunika vijijini. Samahani sijaweza kuweka data za idadi ya kura kwa sababu hiyo ni kazi ya waandishi wa habari.

tarakimu kama zipo hadharani mytu yeyote anaweza kuziyumia. sielewi kwanini iwe ni kwa wandishi wa habari ru

macinkus
 
Umeshatoa mchango wa usafiri au unaandika hapa JF operation inahaitaji fedha changia kabla mafisadi hawajaiteka halafu tutoke "kwa fisadi A twende kwa fisadi B" fikiri

Eeee sawa, kama tunaenda kwa fisadi B, vyema, acha basi na huyo fisadi B afisadi kidogo, kwani fisadi A naona hadi kavimbewa, hadi anawaita watu wasio raia waje kufisadi kwa raha zao! Damn!
 
Sasa haya mambo ya kumwagiwa tindikali ni janja ya CCM au vipi?? Mbona kabla ya kusihi kuanza kusema matokeo ya vijijini ulikuwa unayasema matokeo ya mijini tu?? Hivi tunakwenda wapi?? Hongera sana kwa kazi nzuri sana toka huko B, ramulo
 
Mafisadi wa CCM wakiwekwa pembeni angalau kwa kipindi kimoja cha miaka mitanoa watajifunza na kujirekebisha, vinginevyo watajua wa TZ bado hawajaumia na kuendelea kufisadi zaidi
 
Kati ya Kata 7, za Biharamulo, Chadema inaongozo kata 4, tatu matokeo hayajajumlishwa.
 
Nimepitia vituo vingine vitatu vya vijijini upande wa kabila la Wasubi, Chadema ni fumika bovu!, imeigaragaza CCMM kwa marjin kubwa.
Tunakuamini sana Ndugu yetu Pasco, hivyo wewe huru katika kutoa mawazo na hata matokeo ya huko. Mimi naona trends zako za mwanzo zilikuwa kama zile za busanda na sasa ndio unaanza kutoa matokeo huru yasio na bias kwa yoyote yule. Tunahitahi kujua na kuona demokrasi inafanya kweli kule biharamulo
 
Kati ya Kata 7, za Biharamulo, Chadema inaongozo kata 4, tatu matokeo hayajajumlishwa.

Hizo tatu kwanini hayaja jumlishwa? ama ndo wana anza kuzikiteto na kuzibusanda?

Lakini 4/7 ni dalili njema.. twasubili kwa hamu mkuu.
 
Back
Top Bottom