King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,823
- 24,787
Pole sana. Hebu google 'ductile papilloma' halafu usome dalili zake uone kama unazo. Kifupo hiyo ni tatizo ambalo sio kansa ila linahitaji vipimo zaidi. Dr wa wanawake hatakusaidia sana, unahitaji kumuona specialist wa manyonyo. Ni-pm kama utahitaji contact dr kama upo dar. Usiache kufuatilia tafadhali
Ahsante sana itabid nikamwone dr wa akina mama sababu nadhani niliyemwona hakuwa sahihi....