Yote mawili au moja?Habari za saa hizi wakuu,nimepata tatizo la MATITI yanauma sana na kutoa maziwa mazito sielewi naomba msaada
Yote mawiliYote mawili au moja?
Whatever.. Huenda ni dalili za uvimbe kwenye titi/matiti.Yote mawili
Habari za saa hizi wakuu,nimepata tatizo la MATITI yanauma sana na kutoa maziwa mazito sielewi naomba msaada
Kwa dalili hizo zinaonyesha unaweza ukawa na mimba na kama sio hivyo, basi angalia inaweza ukawa na saratani ya matiti, nenda kamuone daktari kwa msaada zaidiHabari za saa hizi wakuu,nimepata tatizo la MATITI yanauma sana na kutoa maziwa mazito sielewi naomba msaada
Jitahidi kwenda hospitali ufanyiwe vipimo. Pole sana.Habari za saa hizi wakuu,nimepata tatizo la MATITI yanauma sana na kutoa maziwa mazito sielewi naomba msaada
Asante mkuu,ni chuchu sio yoteKwa dalili hizo zinaonyesha unaweza ukawa na mimba na kama sio hivyo, basi angalia inaweza ukawa na saratani ya matiti, nenda kamuone daktari kwa msaada zaidi
Asante mkuu, ni chuchu sio yoteJitahidi kwenda hospitali ufanyiwe vipimo. Pole sana.
Asante mkuu, ni chuchu sio yoteGalactorrhea: Causes, Symptoms & Treatment
Galactorrhea happens when one or both breasts unexpectedly produce milk or a milk-like discharge. It can happen in people who aren’t pregnant or breastfeeding.my.clevelandclinic.org
Jana mwisho mkuu, halafu ni chuchu ndio zinaumaMara ya mwisho kugegeduana ilikuwa mwaka gani? Tuanzie hapo
Itakauwa jamaa alizi ng'ata sana wakati wa rahaJana mwisho mkuu,halafu ni chuchu ndio zinauma
Hata cancer huanza kwa nodule za chuchu.Asante mkuu,ni chuchu sio yote
Hujatoa mimba kweli?Habari za saa hizi wakuu,nimepata tatizo la MATITI yanauma sana na kutoa maziwa mazito sielewi naomba msaada
Sio kweliItakauwa jamaa alizi ng'ata sana wakati wa raha
Hapana mkuuHujatoa mimba kweli?
Basi mama, pole. Kamuone daktari. Usipuuzie tafadhali.Hapana mkuu