Matiti kutoa maziwa.....

Pole sana. Hebu google 'ductile papilloma' halafu usome dalili zake uone kama unazo. Kifupo hiyo ni tatizo ambalo sio kansa ila linahitaji vipimo zaidi. Dr wa wanawake hatakusaidia sana, unahitaji kumuona specialist wa manyonyo. Ni-pm kama utahitaji contact dr kama upo dar. Usiache kufuatilia tafadhali
Ahsante sana itabid nikamwone dr wa akina mama sababu nadhani niliyemwona hakuwa sahihi....
 
nakuPM king'asti i real need the help
 
Ahsante sana itabid nikamwone dr wa akina mama sababu nadhani niliyemwona hakuwa sahihi....

kama auna mtoto wewe bado ujawa na sifa ya kuitwa mama utamsumbua dk BURE.but usiofu ni matatizo ya kawaida dada
 
sidhani kama nitamsumbua kwani ndo napoelekea kwenye umama sio mbaya nikajua baadhi ya vitu kabla sijafikia huko

may be umekula vyakula vyenye vichocheo vya kuproduce maziwa ya mama kwa mtt kwa sana.but all da best ukipona urudi kutoa majibu yatatusahdia for future.
 
ilo ni tatizo mdogo wangu charu hosp fasta, kwa kawaida matiti hayatakiwi kutoa maziwa otherwize umejifungua au mtoto mchanga analinyonya hata kama sio mzazi maziwa yanaweza toka,
 
sawa ndg nitafanya hivyo
 
habari zenu wana JF...
Mimi ni mwanamke 26yrs nina kama miezi miwili tangu nigundue tatizo la matiti yangu kutoa maziwa ....mwanzo nilihisi nitakuwa nina mimba ila nimejaribu kucheki hakuna na mzunguko wangu wa hedhi upo kawaida kabisa!!!!!!
Ninaomba msada wenu nina tatizo gani au ni kawaida?huwa yanatoka nikiyabinya..
Natanguliza shukrani ......

Nipe ninyonye hadi yakauke
 
you could be pregnant, but you should also bear in mind that sometimes there can be an abnormality with your milk hormone, for whatever reason the milk hormone kicks in and it can also lead the rest of your body to respond by thinking it's pregnant and producing other pregnancy symptoms.

Go and c the Dr. for more explanation
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom