Matiti kutoa maziwa.....

H N

Member
Oct 17, 2011
34
3
Habari zenu wana JF,

Mimi ni mwanamke 26yrs nina kama miezi miwili tangu nigundue tatizo la matiti yangu kutoa maziwa.Mwanzo nilihisi nitakuwa nina mimba ila nimejaribu kucheki hakuna na mzunguko wangu wa hedhi upo kawaida kabisa!

Ninaomba msada wenu nina tatizo gani au ni kawaida?huwa yanatoka nikiyabinya.

Natanguliza shukrani.
 
kumbe unajitomasa mwenyewe hapo ni sawa na wanaume kupga nyeto.mtafute shemej fasta aje kukusahdia utajickia mwepec kama nyoya

umenifikiria vibaya huwa nafanya hivyo ili kujua km bado yanatoka au la...ila huwa sina maana nyingine BB
 
nenda kamwone daktari kwanza halafu ushauri wa kwenye keyboard na post via mobile utafuata baadae..
 
nenda kamwone daktari kwanza halafu ushauri wa kwenye keyboard na post via mobile utafuata baadae..
nilienda kumwona dr akaniambia inawezekana nikawa na mimba nikapima ikaonekana sina akaniambia itaisha taratibu ndo maana najichek ila bado yanatoka....
 
nilienda kumwona dr akaniambia inawezekana nikawa na mimba nikapima ikaonekana sina akaniambia itaisha taratibu ndo maana najichek ila bado yanatoka....

basi usijali kama ushamwona daktari ambae wewe unamwini..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom