Matiti kutoa maziwa.....

you could be pregnant, but you should also bear in mind that sometimes there can be an abnormality with your milk hormone, for whatever reason the milk hormone kicks in and it can also lead the rest of your body to respond by thinking it's pregnant and producing other pregnancy symptoms.

Go and c the Dr. for more explanation
Lactation without pregnancy usually occurs in women who are of childbearing age. It is seen the most women who are affected by this symptom are between the ages of 16 and 40. Lactation without pregnancy is usually caused by high levels of hormones responsible for production of milk.
High hormone levels in a woman can be caused by natural changes in the body that occur in every woman during specific periods in her life. Hormone levels can also increase if you are taking certain medication and once you stop the medication, the lactation will cease. Other reasons for lactation without pregnancy include unnoticed miscarriage, which is dismissed as painful menstruation, and glandular problems that cause hormone imbalance.
Usually lactation without pregnancy is harmless but it could be an indication of a greater problem in the body. If you are lactation because of hormonal imbalance, it is important that you get imbalance corrected or it could lead to serious issues.
If you are lactating without pregnancy, you should immediately visit your doctor to ensure that there is nothing wrong with your health. A doctor is the best person to figure out why you are lactating and he or she will take the necessary steps to remedy the situation. If lactation without pregnancy is caused by natural adjustments of hormones in the body, it is best to wait for the hormones to adjust to their normal levels.
It has been seen that most cases of lactation without pregnancy resolve on their own with time. However, occasionally medical intervention is required if there is an underlying health condition.

Lactation Without Pregnancy
 
Sio kawaida matiti kutoa maziwa kama haunyonyeshi, Hii inamaanisha kwamba una hormonal imbalance na kwa maana hiyo prolactin hormone iko juu na ndo inasababisha matiti kutoa maziwa.
Kwa baadhi ya watu huwa wanakuwa na uvimbe kichwani (prolactinoma) ambao husababisha dalili kama hizo. Ni vema usipuuzie na ukapata wataalamu muafaka wakusaidie tatizo ulilonalo. Pole ndugu
Ni tatizo linalotibika usiwe na hofu lakini.
 
Hiyo kitu sijawai sikia lakini hebu tafuta daktari bingwa wa kinamama kutakuwa na tatizo kwenye homoni zako bbe
 
Its very common kwenye jamii yetu kwa sasa, nafikiri wataalamu inabidi watufanyie utafiti, uzuri ni kwamba ni tatizo linalotibika lakini.
 
Lactation without pregnancy usually occurs in women who are of childbearing age. It is seen the most women who are affected by this symptom are between the ages of 16 and 40. Lactation without pregnancy is usually caused by high levels of hormones responsible for production of milk.
High hormone levels in a woman can be caused by natural changes in the body that occur in every woman during specific periods in her life. Hormone levels can also increase if you are taking certain medication and once you stop the medication, the lactation will cease. Other reasons for lactation without pregnancy include unnoticed miscarriage, which is dismissed as painful menstruation, and glandular problems that cause hormone imbalance.
Usually lactation without pregnancy is harmless but it could be an indication of a greater problem in the body. If you are lactation because of hormonal imbalance, it is important that you get imbalance corrected or it could lead to serious issues.
If you are lactating without pregnancy, you should immediately visit your doctor to ensure that there is nothing wrong with your health. A doctor is the best person to figure out why you are lactating and he or she will take the necessary steps to remedy the situation. If lactation without pregnancy is caused by natural adjustments of hormones in the body, it is best to wait for the hormones to adjust to their normal levels.
It has been seen that most cases of lactation without pregnancy resolve on their own with time. However, occasionally medical intervention is required if there is an underlying health condition.

Lactation Without Pregnancy
thanx mbonea..
 
Sio kawaida matiti kutoa maziwa kama haunyonyeshi, Hii inamaanisha kwamba una hormonal imbalance na kwa maana hiyo prolactin hormone iko juu na ndo inasababisha matiti kutoa maziwa.
Kwa baadhi ya watu huwa wanakuwa na uvimbe kichwani (prolactinoma) ambao husababisha dalili kama hizo. Ni vema usipuuzie na ukapata wataalamu muafaka wakusaidie tatizo ulilonalo. Pole ndugu
Ni tatizo linalotibika usiwe na hofu lakini.
ahsante sana mganga wa jadi...
 
Hormone inbalance asingepata period kama kawaida,ingekua hana mzunguko kamili. Anahitaji kufanyiwa cytology ya hiyo discharge kuona kama kuna chochote. Ultrasound ya titi itasaidia kuona physically changes in the ducts za maziwa,coz mammography haitaonesha kitu kwa sababu umri wake bado mdogo (note this,ukiambiwa ufanye mammo waulize kwa umri wangu itaonesha nini? Manake wezi tu!)
Afu na hii I'd yako kama mafua ya ndege,shauri lako,hahaha
 
sorry... kwani mammography inaonesha kuanzia umri gani?
teh teh eti I'd kama mafua ya ndege....
 
Aina ya vyakula ndio tatizo angalia lishe yako vizuri nama kupunguza vyakula vya proten zaid na utumie matunda , vegetables na ngano zaid pia vyakula vyenye and get carb-choosy about all your food. Ukiona mabadilko ndan ya siku 14 ni PM ok!
 
Hormone inbalance asingepata period kama kawaida,ingekua hana mzunguko kamili. Anahitaji kufanyiwa cytology ya hiyo discharge kuona kama kuna chochote. Ultrasound ya titi itasaidia kuona physically changes in the ducts za maziwa,coz mammography haitaonesha kitu kwa sababu umri wake bado mdogo (note this,ukiambiwa ufanye mammo waulize kwa umri wangu itaonesha nini? Manake wezi tu!)
Afu na hii I'd yako kama mafua ya ndege,shauri lako,hahaha
KIng'asti , prolactin hormone haina issue yoyote kwenye menstrual cycle, najua wajua menstrual cycle inategemea estrogen,progesterone, FSH,na LH hormone tu. Kwa watu wenye prolactinoma kwa sababu iko kwenye pituitary gland ndo inaweza ku disturb na hizo hormone ni nyingine, ingawa napo sio lazima sana. Mammography kwa jina lingine ndo breast ultrasound (mammo-breast graphy- ultrasound ) ambayo haina msaada wowote hapo, hata cytology haitasaidia kitu. Matibabu ya HN ni cheap na simple. Aende kwa wataalamu atapona.
 
Mimi sioni tatizo kwa matiti kutoa maziwa kwa maana ndio kazi yake. Ningeshangaa ungeniambia maziwa yanatoka kwenye makalio
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom