hashycool
JF-Expert Member
- Oct 2, 2010
- 6,555
- 2,829
hayaaa...unatakaee..
We simu yako imechakaa (ni nzee) mpaka phone book imechanika!!!
cheki hili nalo lirefu mpaka linaona kesho
hayaaa...unatakaee..
We simu yako imechakaa (ni nzee) mpaka phone book imechanika!!!
thethetehe.. duh! kuna watu sio wa kuwachokoza duh!..
cheki hili nalo kwa kuvamia vamia tu....tumbo kubwa msosi kwa jirani
We HC ni mbaya mpaka unawafanya watoto vipofu walie, na pia mpaka mama wako kabla hajakunyonyesha lazima awe kalewa chakalii!:bump2::bump2:
Na wewe HC mwambie huyo rafiki yako Mentor alivyo mbaya mpaka madereva wanaweka picha yake ktk madirisha ya magari yao kama an anti theft device! unataka unataka unataka!....:smile-big:
Na wewe HC mwambie huyo rafiki yako Mentor alivyo mbaya mpaka madereva wanaweka picha yake ktk madirisha ya magari yao kama an anti theft device! unataka unataka unataka!....:smile-big:
twende twende yaani we ni mchoyo wa thanks ka jf account ya rose
masikio kama popo
Du!!duh! unataka enhe.....we bibi yako muongo hadi alipokufa watu hawakuamini....
Eeehhh jamani siku yangu inakuwa poa wekeni mambo
we vipi? cheki ndo maana mmekomaa hadi kwenu leo mmetumia concrete mix kama breakfast
Hashy: wewe ni mfupi mpaka kukinyesha wewe ndo unakuwa wa mwisho kujua..
Dena Amsi: Hayaaa..nyinyi tv yenu ni local mpaka undertaker wa wrestling anaitwa Massawe
Loyal Citizen: Usimcheke mwenzio wakati na yenu ni ndogo mpaka watu wa kusoma habari wanachuchumaa ndo muweze kuwaona vizuri..
Raia fluani: Dada zako ni wabaya mpaka baba yenu ameandika kwenye geti, "Marry 1 get 2 free"..teh teh teh..
Katavi: Paka wenu ni mzee amebakisha siku moja awe simba..
Unata unataka...
Hashy: wewe ni mweusi mpaka ile siku ulizaliwa madokta walishtuka, "Yesu na Maria, kameungua..."
Twende twende..
Mwangalie kwanza, wewe ni mchafu mpaka ukilalia mashuka masafi unapatwa na homa!!!!
mwangalie kwanza...wewe ni mchoyo mpaka ukimeza mate unajificha!!